Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee unaongea upupu tu unanipotezea muda wangu. Sipendi ubabaishaji.
Neno Hamburger limetokana na mji ukiopo ujerumani. Acha ubabaishaji iki tujadiliane vizuri.

Nikikwambia USA haina utamaduni maana ni nchi iliyoanzishwa siyo muda mrefu sana. I meanzishwa miaka ya 1776.

Halafu hakuna sehemu nimekubaliana na ideas zako ambazo hazina mashiko.

Ukipata elimu vizuri njoo tujadiliane.
Msaidie ufaransa wana lugha yao, uk, hispania, urusi kwa uchache atutajie lugha ya us kwa kifupi ni taifa lisilo na utamaduni
 
Kabla ya vita:
[emoji635]Operesheni maalum haitozidi masaa 72
[emoji635]Tutaiteka Kyiv
[emoji635]Tutamwondoa Madarakani Zelensky
[emoji635]Yeyote atakayeingilia atakiona cha mtema kuni.

Miezi 2 Baada ya uvamizi:
[emoji635]Kipaumbele ni Donbas na nguvu yote inahamia huko.

[emoji2379][emoji2379][emoji2379]
 
Vyovyote itakavyokuwa ama itakavyoandikwa ila bado maana itabaki palepale kuwa Finland ana mkataba na Russia.

Mataifa makubwa yapo makini sana na usalama wa mataifa yao. Sisi huwa tunaangalia kwa sura tofauti ila waoa wanaangalia kwa jicho la utofauti kabisa!

Kwa sasa dunia imesonga mbele kwani nyakati za sasa ni za mashaka kuna silaha za maangamizi za nuclear.

Ukileta mtafaruku wa kutishia amani usalama wa Taifa kubwa unadhank watakichekea? Wao watakachojali ni kulinda usalama wao tu! Hayo masuala mengine ya kusema sijui ni makatili mtayajua wenyewe! Na hivi ndivyo hekima ya kihistoria inavyotuambia.
Russia alikuwa na mkataba wa kuilinda Ukraine pia, ila ndiye aliyeanza kuimega taratibu taratibu.

Nchi neutral zimepoeza imani waliyokuwa nayo kwa Urusi na wanaona wajiunge NATO kwani usalama wao utakuwepo huko. Wakifanikiwa kujiunga ni wazi watakuwa wameondokana na vitisho vya kushambuliwa na Urusi.
 
Kabla ya vita:
[emoji635]Operesheni maalum haitozidi masaa 72
[emoji635]Tutaiteka Kyiv
[emoji635]Tutamwondoa Madarakani Zelensky
[emoji635]Yeyote atakayeingilia atakiona cha mtema kuni.

Miezi 2 Baada ya uvamizi:
[emoji635]Kipaumbele ni Donbas na nguvu yote inahamia huko.

[emoji2379][emoji2379][emoji2379]
Naomba references ya masaa 72 tafadhali
 
Russia alikuwa na mkataba wa kuilinda Ukraine pia, ila ndiye aliyeanza kuimega taratibu taratibu. Nchi neutral zimepoeza imani waliyokuwa nayo kwa Urusi na wanaona wajiunge NATO kwani usalama wao utakuwepo huko. Wakifanikiwa kujiunga ni wazi watakuwa wameondokana na vitisho vya kushambuliwa na Urusi.
Baada ya mapinduzi ya mwaka 2014 basi taifa la UKRAINE lilipoteza hio status yakutokua upande wowote wakataka kujiunga nawauaji wa NATO
kinachoendelea hapo UKRAINE nikama baba anamkanya mwanawe nakumkumbusha kwamba wewe nimtoto nautaendelea kua mtoto
UKRAINE kupitia RAHISI wao wameharibu wenyewe nchi yao naubaya zaidi nilazima watakaa chini na RUSSIA wataongea (yaani hili nilazima sijajua lini ila lazma wakae chini na RUSSIA) wataongea halaf muafaka utafikiwa najamaa hawatajiunga na NATO naimeshaongezeka pia wasijiunge na EU halaf hapa ndio mtajua kulikua na maana gani ya COMEDIAN kuiingiza UKRAINE matatizoni
Mwisho:-hao Nodric hakuna atakaejiunga na NATO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
These politicians mind is totally wrecked, so those 90k civil servants wataishije kwenye hali ngumu hiyo walionayo.

📝 "Perhaps the golden era is over. We have never spent less on groceries before than we do now, and the decline has been long and gradual. So I suspect food costs will go up in the long run. In historical terms, this will not be very much, but it will still require adjustments to the family budget...” King said.

As reported, Prime Minister Johnson ordered the British government to lay off more than 90,000 civil servants in order to cut public spending.

Mind you, sanctions against Russia is "working", Russia is "Collapsing" 🤣.
 
Ahahaha

Mtego wa panya huwanasa wote
 
Kamanda wa batallion ya Azovstal katika jiji la Mariupol amewaomba wananchi wa Ukraine wafanye juhudi ya kuwaokoa na kwamba hawana haja ya kuambiwa wamekufa mashahidi.Amesema hali huko shimoni ni mbaya sana na kwamba waliokuwa hawajaowa wanaomba watoke salama wapata kufanya hivyo na wle wenye wake na watoto hawataki kusikia jambo jengine ila kuona familia zao. Yule kamanda wa mwanzo kuomba msaada mpaka kwa papa inasemekana hatimae alifanya njama na Urusi na kutoroka.
Msemaji mwengine wa jeshi la Ukraine ametoa maelezo ya haraka isiyo kawaida kama kwamba yuko mbioni kiasi kwamba maelezo hayo yanapingana na taarifa za jana kwamba wameangamiza batallion nzima ya Urusi iliyokuwa ikijaribu kuvuka mto Siverskyi .Katika taarifa ya leo amesema bado wanaendelea kusukumana na nguvu kubwa ya Urusi inayovuka mto huo.Taarifa yake imekiri kuwa jeshi la Urusi limeongeza kwa kiasi kikubwa jeshi na vifaa katika kudhibiti majimbo ya Luhansk Sloviansk na Donetsk.
Katika kujichanganya kukubwa msemaji huyo amesema jeshi la Urusi linafikiria kujiondoa kutoka maeneo yanayouzunguka mji wa pili kwa ukubwa wa Kharkiv.
Tupe source vinginevyo ni propaganda za RT na Tass.
 
Back
Top Bottom