Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sources nyingi sana zinasema kwa mwaka 2022 GDP yake itashuka kutoka ilipokuwa 2021 na hii ni fact wala haihitaji kujua uchumi kwa vikwazo alivyowekewa, gharama za kugharamia vita inayoendelea, uzalishaji wa huduma na bidhaa ambazo tayari ushapigwa dafrau hiyo GDP inapandanje kwa mfano?
Walitegemea GDP ingeshuka maana walitegemea vikwazo vinge sababisha sarafu yake kuporomoka lakini matokeo yamekuwa tofauti kabisa.

Nadhani hata nchi za magharibi zinashangazwa na uimara wa sarafu ya Urusi.
 
Oh!! Unataka nikuletee ushahidi wa Biological Labs za Ukraine!? Unataka nizibebe hizo Labs niweke hapa JF!?

Unataka ushahidi gani!?

Kuhusu Finland na Sweden. Leo leo tu Rais wa Finland kapiga simu kwenda Rusia unajua ameambiwaje!?

‼️ 🇷🇺 🇫🇮 Putin told Finnish leader Niinista that abandoning the traditional policy of military neutrality would be wrong, there are no threats to Finland's security

Ukimaliza tuwekee Bio labs za Russia ama hakuna??
 
McConnell & Co, mzee wa filibuster ndani ya Kiev. Meanwhile, Putin is living under full isolation. Xi anabweka kwa mbaaali, he has no guts to show full support,he can't visit his dying friend in moscow.
 
Sasa mwanangu unataka nikuambie vitu unavyo vipenda wewe!?

Kila kitu nimekiweka wazi unaendelea kuzunguka pale pale tu.

Acha kujifungia kwenye chumba kidogo cha akili. Panua ubongo wako. Najaribu kukutafunia kila kitu laki hola. Unataka nikujibu unavyopenda. Mimi sikujibu unavyopenda bali natoa uhalisia.

Kumbuka tunaongelea operation iliyopo Ukraine. Halafu wewe mwenyewe ulikataa kuongelea Russia vs USA. Halafu wewe mwenyewe unaleta mada ya Russia vs USA. Hebu jaribu kujiatambua basi mwanangu maana unaonekana hujui hata unachokisimamia.

Je, unataka tuongee USA vs Russia au unataka tuongelee Operation ya Russia ndani ya Ukraine!?

Ninavyokuona upo na msongo wa mawazo. Huelewi kipi cha kuongelea.

USHAURI:-
Nenda kamuone daktari kwanza, maana ukiendelea kuzubaa utajikuta unaongea pekee yako barabarani.
Tuzungumzie hoja yako ya ukandamizwaji wa Africa na USA inayokufanya usapoti Urusi kwenye hii mada ndipo tuamie kwenye hoja nyingine:

Majibu yako sasa,
Vitu unavyovipenda ndo uambiwe, kamuone daktari, operation vs Ukrane. Hahaha.
 
hahahahaha, kumbe na wewe huzijui maabala unazozungumzia?
umesahau umedai hii vita ni sababu ya maabala zilizo ukraine mpakani na rusia, za magonjwa ya congo hahahahaha
Anaongea mambo mengi sana. Parapanda inalia tu. Pooooooo pooooooo
 
hahahahaha, kumbe na wewe huzijui maabala unazozungumzia?
umesahau umedai hii vita ni sababu ya maabala zilizo ukraine mpakani na rusia, za magonjwa ya congo hahahahaha
Sasa mzee mbona kama unaleta ujinga tena. Umeongelea issue ya Sweden na Finland. Nakuuliza huko Finland na Sweden ni maabala gani.

Wewe leta kitu wazi tujadili kama watu wenye akili.
 
Wayahudi ni watu hatari sana, Yaani zelensky ameforce mpaka vita imekuwa sio kati ya Rusia na Ukraine, bali ni kati ya na democratic world.
Ukraine is fighting for the interests of all democratic Nations, including Tanzania.

"Thank you for your leadership in helping us in our struggle not only for our country, but also for democratic values and freedoms,"
 
Up until 24th February 2022, outside Ukraine, a very tiny number of people were knew about Zelensky, TODAY.

ZELENSKY has become an icon, a rolemodel of leadership, Juzi Biden kadai the guy is Churchill of our time.
 
haya ni kama maoni tu, hakuna evidence umeweka.

Pili, zaidi ya malalamiko yasiyo na ushahidi juu ya maabala, Sababu alizosisema Rusia za kuivamia Ukraine haipo hata moja inayohusiana na hayo mambo ya maabala?

Leo Rusia wanadai Finland na Sweden wakijiunga NATO itareact, nako wana hizo maabala?
Nyie NATO bana

Yaani hapo umesema mwenyewe RUSSIA anataka kureact kwa FINI kwaajili ya kutaka kujiunga NATO
Hapo hapo unauliza kuhusiana na maabala(maabara ndio sahihi)
Kila mtu atapimwa kwa kipimo kinachomstahili MKUU
Huyu UKRAINE kapimwa sababu ya MAABARA MANAZI nakutesa na kuua watu kule DON BASS

Nahuyo FINI na wenzie watapimwa kwasababu ya NATO hiki RUSSIA wamekieka wazi mbona
Sasa hapo napo umeuliza swali wakati jibu unalo mwenyewe MKUU !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mzee mbona kama unaleta ujinga tena. Umeongelea issue ya Sweden na Finland. Nakuuliza huko Finland na Sweden ni maabala gani.

Wewe leta kitu wazi tujadili kama watu wenye akili.
usipaniki, hamna haja ya kutukanana. relux and compose yourself, we are not at war my friend, i believe we are all worried about what is going on in Ukraine, no vex.

back to point.
wewe umedai Rusia kaishambulia Ukraine sababu hapo Ukraine kuna maabala, ndo nakuuliza anawatishia Finland na Sweden NA WAO WANAMAABALA.
 
Unauliza swali hapo hapo unanyoonya mikono kuwa You are done. Unataka ujibiwe au uachwe uendelee na mambo mengine? Usipojibu nitachukulia kuwa umeamua kuendelea na mambo mengine jambo ambalo ni sahihi pia.
Hizi n mechi za BIG BOYS......(wapambanaji, mariski teka,wenye uthubutu) ngoja nikujibu kwa mfano...M n mdau wa utalii ivyo basii kutokana na huu mtanganange naona soko la east likiamka ivyo kuacha kutegemea west west kma nikiwa na visent vya kutosha ntatafuta wataalam wa kufundisha vijana kichina, kirusi kutokana na demand inapoelekea hence will make money na nchi yangu pia itapata kipato kupitia uthubutu wangu.
 
Tuzungumzie hoja yako ya ukandamizwaji wa Africa na USA linalokufanya usapoti Urusi kwenye hii mada ndipo tuamie kwenye hoja jingine:

Majibu yako sasa,
Vitu unavyovipenda ndo uambiwe, kamuone daktari, operation vs Ukrane. Hahaha.
Issue hiyo nimeiongelea long time. Au unataka tuendelee kuongelea kitu hicho hicho!?
Nimekueleza:-
1. USA wanaleta demokrasia kwa matakwa yao na mambo ya ushoga. Na Ukraine ndiyo ilikuwa kituo cha kutengeneza uovu wa kila aina hapa dunia kwa kufadhiliwa na USA.

2. USA walimuua Gadaffi ambaye alikuwa akipgania umoja wa africa. Waliharibu Libya, kwa sababu hakuna wa kuwakemea. Lakini kukiwepo na bipolar, security duniani na Africs itakuwa imara.

3. Marekani anatengeneza biological decease. Majaribio ya magonjwa hayo ni Africa. Au mwenzagu unaona sawa!?

4. Ni wao wanaopanga uchumi uweje. Kwasababu ya petrodollar. Lakini kukiwa na balance of power africa na dunia tutapumua.

Sasa hapa wewe unakuja na ngonjera. Unataka tuongelee suala hilo hilo kila wakati.

Ndio maana ninasema you are slow learner. Activity your Brain.
 
Nyie NATO bana
Yaani hapo umesema mwenyewe RUSSIA anataka kureact kwa FINI kwaajili ya kutaka kujiunga NATO
Hapo hapo unauliza kuhusiana na maabala(maabara ndio sahihi)
Kila mtu atapimwa kwa kipimo kinachomstahili MKUU
Huyu UKRAINE kapimwa sababu ya MAABARA MANAZI nakutesa na kuua watu kule DON BASS
Nahuyo FINI na wenzie watapimwa kwasababu ya NATO hiki RUSSIA wamekieka wazi mbona
Sasa hapo napo umeuliza swali wakati jibu unalo mwenyewe MKUU !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi, huyo bosi mwenzako kadai hiyo vita inayoendelea huko ni sababu Ukraine kuna Maabala, sio hayo mambo ya kujiunga NATO, ndo naamuliza na hivyo vitisho wanavyopewa Finland na Sweden ni sababu nako kuna maabala au nini?

mbona swali liko wazi sana?
 
Back
Top Bottom