Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Back to Uchumi.
Tatizo unapoongelea uchumi unajikita kwenye eneo moja tu la GDP. Unashindwa kabisa kuingia ndani na kuona yaliyomo je, yamo!?.

1. Unatakiwa uanze kwa kuongelea Assets kwanza ndio uendelee upande mwingine. Mzee kwenye suala la asset sitaki hata kuliongelea zaidi maana unajua ninakoelekea.

4. Unatakiwa ujue USA serikali yake inaishi kwa liabilities. Yaani serikali ipo na madeni zaidi ya 159% ya GDP. Je, kwa upande wa uchumi tunaposema Utajili ni Liabilities au Assets. Hiyo nakuachia wewe utueleze.

Mdogo wako huyo [emoji23] akifanikiwa kujibu hilo swali la 4 inavyotakiwa bila kupindisha aweke number nimtumie na ya kutolea [emoji847]
 
Mkuu acha kujifariji na story zako.
Hii Dunia inahistoria ndefu na ilishakaliwa na wababe wengi kwa nyakati tofauti.
Kjlishakuwa na dola ya kigiriki kkafanya zake kwa kiwango cha ubabe wake ikaanguka na kupita kwa zama zake. Kulikiwa na Dola la Kirumi kwa wakati waka likafanya yake kwa u babe wake na likapita kutokana na zama zake.
Bahati mbaya huyo Mrusi hakuwai kufikia viwango vya wababe hao wa dini yeye akiwa na USSR hakuweza kuiconka hii planet A kwani hakubahatika kuwa na vigezo vya kutosha.

Kwa sasa ukubali ukatae hizi ni zama za USA na hilo halina ubishi na huyu mwamba US hakuwai onyesha kucha zake mkajua Uimara wake. Laiti nakwambia Siku kima mmoja akajichanganya eidha kwa bahati mbaya au makusudi ndio mtajua ni kwanini mnyama US huwa hataki kupigana moja kwa moja.
Kama ulisha wai sikia B2 na siku zikaambiwa ziingie mzigoni, hapo bado hujagusa mizigo mingine toka bahari tofautitofauti.

Binafsi tunapoizungumzia Urusi tunapaswa ukilinganisha na kina UK, France, Germany, Korea na China. Ila huyu Mnyama US tumwache kabisa kwani hapo hatuzungumzi Nuclear power kisha tukaishia hapo na kuanza kutishana.
US ni mambo ya Economy, Tec, Intelligence nk.

Kwa sasa tuendelee kutazama hii filamu na kuinjoi jinsi Mbuzi anavyomtafuna MBWA Polepole kwa raha zake
Utoto.
Kama unakiri kwamba kulikuwa na dola kadhaa zilizotawala na kuanguka,vipi usiamini kwamba huyo USA naye ataanguka!?

Na kwanini asiwe mrusi ndio atakayemuangusha.

Kumfananisha mrusi na Germany au Uingereza ni kumkosea heshima. Kwani hao wote wamegeuka makoloni ya America ili tu awalinde na mrusi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Ninakushukuru tena sana. Kwa kuamua leo tujadili kwa mapana. Najua wengi watapata elimu. Hata Coco Master Coco reborn coco stim mkazi wa pale nirobary atapata kidogo.

Pili hebu jaribu kutizama settings za siku yako maana kila wakati unakosea kuandika maneno kadha wa kadha mf: badala ya Umri umeandika Umbri na badala ya Number umeandika nomber. So jaribu kuangalia usije ukajikuta unaandika matusi.

Back to topic.
UMESEMA KWAMBA
VITA huamuliwa na mambo matatu
1: Uchumi / Economic
2: Intelligence
3: Technology

Nivyema tunapoongelea masuala ya uchumi tupate kujua tunaongelea nini. Maana uchumi ni jambo pana mno. Wengine wanaishia kuongelea GDP pekee yake.

Tukiongelea uchumi kwa kulinganisha Assets na Madeni utajikuta kunanchi leo hii wadai wake wakiamua kuchukua pesa zao nchi hiyo itabaki kama burundi. Sasa masuala ya uchumi kwa pande hizi mbili je, unafikiria tuongelee liabilities au tuongelee assets!? Mimi nakuachia kwanza hili suala ili tuweze kupata upana zaidi.

Pili tunaongelea intelligence. Hapa ndipo utakapoitaka Russia. Hivi unajua waanzirishi wa nchi ya Israel ni immigrants toka Russia!? This world is very complex. Siwezi nikaongea zaidi. Nakuomba uje na information za kuanzia ndio twende zaidi.

Tatu unaongelea Technology. Nimejaribu kuelezewa hapo juu.

1. Russia ndiyo nchi pekee ye nuclear weapon. Jumlisha nchi zote duniani hawafikii Russia.

2. Russia ndio nchi pekee yenye hypersonic missile mpaka leo.

3. Juzi Russia wamezindua ICBM hatari hakuna wa kunusa pua.

Hayo machache. Unadhani technology ipi na nchi ipo yenye technology ya juu kijeshi kudhidi Russia!?

Karibu sasa ubongo wako uchangamke.
Umemsahau Yuri Gagarin na Outer space technology.
 
[emoji23]

Weeee unatusema sie Pro NATO wazee wa kuita Chungwa kua Limao.

"Ukraine is winning"
"More weapons please we run out of ammunition"
M@+ae mara ooh "Russia is advancing we call the world to stand with us kumpiga Russia..."

Ukraine is winning, Glory to Ukraine.

A is B, B is M and M is D... Yet A is not D. Hao ndio Ukraine na dada zake kutoka Magharibi ya mbali.
HAWAELEWEKI YANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninakushukuru tena sana. Kwa kuamua leo tujadili kwa mapana. Najua wengi watapata elimu. Hata Coco Master Coco reborn coco stim mkazi wa pale nirobary atapata kidogo.

Pili hebu jaribu kutizama settings za siku yako maana kila wakati unakosea kuandika maneno kadha wa kadha mf: badala ya Umri umeandika Umbri na badala ya Number umeandika nomber. So jaribu kuangalia usije ukajikuta unaandika matusi.

Back to topic.
UMESEMA KWAMBA
VITA huamuliwa na mambo matatu
1: Uchumi / Economic
2: Intelligence
3: Technology

Nivyema tunapoongelea masuala ya uchumi tupate kujua tunaongelea nini. Maana uchumi ni jambo pana mno. Wengine wanaishia kuongelea GDP pekee yake.

Tukiongelea uchumi kwa kulinganisha Assets na Madeni utajikuta kunanchi leo hii wadai wake wakiamua kuchukua pesa zao nchi hiyo itabaki kama burundi. Sasa masuala ya uchumi kwa pande hizi mbili je, unafikiria tuongelee liabilities au tuongelee assets!? Mimi nakuachia kwanza hili suala ili tuweze kupata upana zaidi.

Pili tunaongelea intelligence. Hapa ndipo utakapoitaka Russia. Hivi unajua waanzirishi wa nchi ya Israel ni immigrants toka Russia!? This world is very complex. Siwezi nikaongea zaidi. Nakuomba uje na information za kuanzia ndio twende zaidi.

Tatu unaongelea Technology. Nimejaribu kuelezewa hapo juu.

1. Russia ndiyo nchi pekee ye nuclear weapon. Jumlisha nchi zote duniani hawafikii Russia.

2. Russia ndio nchi pekee yenye hypersonic missile mpaka leo.

3. Juzi Russia wamezindua ICBM hatari hakuna wa kunusa pua.

Hayo machache. Unadhani technology ipi na nchi ipo yenye technology ya juu kijeshi kudhidi Russia!?

Karibu sasa ubongo wako uchangamke.
Mkulungwa nimekupa ushauri wa bure kama elder jikite kuokota habari na kupachika humu, mambo ya International relations wewe ni layman.
 
Kwanza nashukuru kwa ustaharabu uliouonyesha katika maandishi yako. Pia sipendi nikukwanze kwa hizo typing error zinazotokea kwenye maandishi yangu. Nisamehe kwani natumia hizi simu janja.

Nashukuru kwa kukubaliana nami kuwa tujadiliane kwa kuangalia yale maeneo matatu.

Kwa sasa nipo njiani nitapita maeneo flani kwa ajili ya manunuzi kido kisha back to my home place, hivyo nitakuwa na muda mzuri wa kuandika with supporting documents/evidence.

Mwisho kutokana na umbri wako mkubwa naomba nikusalimie kwa mfumo tuliourithi toka kwa mkoloni, SHIKAMOO ...

Nikutakie mjadala mwema na nakuhaidi nitarudi baadae ili tuendelee kuelimishana
 
Karibu sana. Hapa tunapojadiliana wengi wanapata elimu.
 
Aiseee huuu unyutral mandaz wako ndio unaonichoshaga.
Hii dunia tokea inaumba n kwa ajili ya wenye nguvu ,ushawishi hakuna taifa litakalokuja kukutendea wema bila kunufaika hiyo n never ever.
Hivyo huu mjadala sio wa kipumbavu hapa kuna wanasayansi,wanasiasa,wafanyabiashara n.k wanafuatilia huu uzi kwa ukaribu ili kupanga future zao.
Sasa kama ww uko hapa kusimpasize am sorry.....
Usilazimishe mambo,
Narudia ili huo umaandazi unaosema uupigie mstari, linaloendelea ni kuwa Tsh msimamo wake ni huu:

SINA USHABIKI NA USA, SINA USHABIKI NA URUSI. NALAANI AU KUSAPOTI TENDO LINALOFANYWA NA HIZO NCHI MBILI.

Kuna yule mkenya anatetea NATO, aliitetea kwa kuiponda Tz na nikaungana na wapenzi wa Urusi kumshambulia. Kama hukunielewa pale endelea kuchoka.
 
Kwanza nikurekebishe kiswahili kidogo japo mimi siyo mwalimu wa kiswahili.
Badala ya kuandika nazani hebu andika nadhani.

Back to topic:-
Nimejaribu kukueleza mambo mengi ili kidogo upate ABC za Russia.
USA huwa wanasherehekea uhuru wao waliopata mwaka 1776. Kipindi hicho Urusi ipo na imekula Millennium na inaelekea kula ya pili.

USA ni kikundi cha wafanya biashara kadha wa kadha. Wapo hapo kwaajili ya maslahi yao wenyewe. Huku Russia ipo pale kama taifa lenye historia yake na utamaduni wake. USA haina utamaduni wake. Is a big tent.

Huyo huyo USA tulimpatia nafasi kujipima ubavu wake huko Vietnam nadhani unakumbuka namna alivyoangukia pua.

Basi tusiongelee masuala ya Vietnam tuongelee tu issue za miaka ya 2000s. Juzi kati tu. Sujui issue ya Afghanistan ilipovamiwa na USA ulikuwa na umri wa miaka mingapi. Lakini nakupatia ndo ndo ndo tu. USA mpaka leo wanahaha hawajui cha kufanya.

Nisiende mbali sana, kuna nchi ya Waajemi inaitwa Iran hao USA kila siku wanabweka tu na sanctions kibao. Wamefanya nini!?

Nikikuambia huyu USA kwa Russia ni mchumba uwe unaelewa. Achana na movie za akina Rambo watazififisha akili zako. Unatakiwa ujue hizo ni movie zinatengenezwa kwenye computer are not real.

Nimejaribu kukupatia conflict iliyopo arctic ocean Russia anawaburuza USA na washirika wake. Wamebaki kupiga kelele tu kwenye media.

Kama unataka tujadili hebu leta hoja zito zenye mashiko utuoneshe ni wapi USA anaweza kupambana na Russia.
russia mwenyewe amekung'utwa (kashindwa vita) na Duchy of poland, sweden Lituania, France, Turky, Britain, Japan, Latvia, Estonia, Georgia, Ukraine, na unaona kabisa kuna nchi nimezilist hapo baada ya kushindwa vita hizo nchi zikawa huru, aliisaidia ethiopia kivita ili eritrea isijitenge akapigwa eritrea ikajitenga, na serikali ya kikomunist ya ethipoia ikaanguka, Afghanistan palimshinda (na ni sababu mojawapo iliyopelekea ussr kuvunjika na kwenye vita hii afghanistan alisadiwa na USA) Chechen urusi kala kichapo, russia ni nchi ambayo ni matokea ya kuvunjika kwa soviet union na USA alikuwa nyuma ya kuvunjika huko.

Russia ni muumin wa ujamaa ambao ulishamshinda na imebidi tu afuate ubepari na ndipo maliogarch walipogawana keki ya taifa na watu akina Abhamovich kuibuka-wizi wa mali za taifa huo. Warusi wanapiga hela za michongo kwao na kuwekeza western.

Huo ujamaa wa russia hakuna popote ulipoonyesha kufanikiwa na ndiyo maana hata Tz ipo hapa ilipo. China ilibadili gia angani baada ya kuona ujamaa haulipi na ndiyo maana china trading partner wake mkubwa ni US. Russia kiuchumi (GDP) hata top ten haipo inashindwa na nchi kama india, brazil.
 
russia mwenyewe amekung'utwa (kashindwa vita) na Duchy of poland, sweden Lituania, France, Turky, Britain, Japan, Latvia, Estonia, Georgia, Ukraine, na unaona kabisa kuna nchi nimezilist hapo baada ya kushindwa vita hizo nchi zikawa huru, aliisaidia ethiopia kivita ili eritrea isijitenge akapigwa eritrea ikajitenga, na serikali ya kikomunist ya ethipoia ikaanguka, Afghanistan palimshinda (na ni sababu mojawapo iliyopelekea ussr kuvunjika na kwenye vita hii afghanistan alisadiwa na USA) Chechen urusi kala kichapo, russia ni nchi ambayo ni matokea ya kuvunjika kwa soviet union na USA alikuwa nyuma ya kuvunjika huko.
Russia ni muumin wa ujamaa ambao ulishamshinda na imebidi tu afuate ubepari na ndipo maliogarch walipogawana keki ya taifa na watu akina Abhamovich kuibuka-wizi wa mali za taifa huo. Warusi wanapiga hela za michongo kwao na kuwekeza western. Huo ujamaa wa russia hakuna popote ulipoonyesha kufanikiwa na ndiyo maana hata Tz ipo hapa ilipo. China ilibadili gia angani baada ya kuona ujamaa haulipi na ndiyo maana china trading partner wake mkubwa ni US. Russia kiuchumi (GDP) hata top ten haipo inashindwa na nchi kama india, brazil.
Kwanza ndugu nakushauri ujifunze matumizi ya paragraph. Upo na mawazo mazuri lakini yanakosa mtiririko kwasababu huna elimu ya mwandiko.

Urusi ilikuwepo kabla ya USSR. Najaribu kutafuta namna ya kukujibu lakini naona uwezo wako ni mdogo mno wa kubeba mambo.

USHAURI:-
Jaribu kukuza kwanza uwezo wa kufikri kwa kula dagaa, mifupa ya samaki, asali na maziwa. Ukifanya hivyo kwa mwaka mmoja utapa improvement.

Asante.
 
Usilazimishe mambo,
Narudia ili huo umaandazi unaosema uupigie mstari, linaloendelea ni kuwa Tsh msimamo wake ni huu:

SINA USHABIKI NA USA, SINA USHABIKI NA URUSI. NALAANI AU KUSAPOTI TENDO LINALOFANYWA NA HIZO NCHI MBILI.

Kuna yule mkenya anatetea NATO, aliitetea kwa kuiponda Tz na nikaungana na wapenzi wa Urusi kumshambulia. Kama hukunielewa pale endelea kuchoka.
Izo laana au sifa zako zinafaida ganii kwenye hii dunia ya wababe
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Am done.
 
Najua unatamani sana kupata madini mengi sana yaliyomo kichwani mwangu. But huwa sitoi bure madini haya.

Kwa manufaa ya jukwaa hili nitatoa machache tu.

Dunia ya sasa ni inter depending. Conflict ya huko Ukraine ipo na effects za moja kwa moja kwenye nchi yetu:-

1. Kitamaduni
2. Kiuchumi
3. Kiulinzi
4. Kisiasa.

Sasa kama unaanza kuleta sympathies, mimi kwa kweli siendeshwi kwa emotions.

Hapa tunaongelea facts:-
Nimekutajia sababu kwanini mimi na wenzangu tunashabikia urusi!? Sasa wewe leta sababu zako kutokana na msimamo wako tuweze kuuona na tujadili. Ndio watu wenye akili na wanaojiamini hufanya hivyo.

Mtu muoga anakuwa anajificha ficha tu haweki msimamo wake.

1. Nimesema tumechoka na vitisho vya wamagharibi na USA. Kila kukicha kuwatesa waafrica. Unajua mipango yao ya biological labs!? They want to remove african genes. Kwa sababu hatuna nguvu wa kututetea ni yule aliye agaist nao ambaye ni Russia.

2. Nilikueleza kuwa hawa walikaa Berlin na kugawana bara letu la Africa. Tulikuwa tunaishi kama waafrica.

Nimekueleza mengi tu. Lakini wewe unakuja na sympathy.

Njoo na hoja tujadili.
Unashabikia Urusi sababu umechoka na vitisho vya USA kwa nchi yako na Africa na una mambo mengine mengi unayoyataja. Sawa. Tuanze na vitisho.....

Unaamini Ukraine atakaposhindwa utakua umefanikiwa kwa kiwango gani kukwamisha huo ubabe? Tuanze na hili la unabe kisha tutaamia kwenye mengine meengi unayoyazungumza.

Halafu, Hakuna imotion wala sypmth inayoletwa hapa, Unachukua mambo meeeeengi ya duniani na kuyaweka kwenye jambo moja la Ukraine na Urusi na kufanya kujadiliana na wewe iwe ngumu sababu unakuja na tendo na kulipachika kwenye nchi nzima na matendo yake yote hata yale ambayo sina tatizo nayo.

Huo mchanganyo ndo ninaoukwepa kwa muda sasa ila hunielewi. Sasa twende, naomba unipe jibu la swali nililokuuliza ili nikulete nipotaka usimame. Nataka nikufanye uzungumze hoja moja baada ya jingine. Kisha utakuta kuna mambo nayasapoti kutoka kwako na kuna mambo nitayapinga.
 
Back
Top Bottom