Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia focused on Kharkiv withdrawal - Ukraine​

In its daily update, the Ukrainian military said that Russian troops are focused on withdrawing troops from the city of Kharkiv.
Efforts focused on maintaining occupied positions and supply routes, the general staff of the armed forces said.
Russia's "main goal is to establish full control over the territory of Donetsk, Luhansk and Kherson oblasts and ensure the stability of the land corridor with the temporarily occupied Ukrainian Crimea," it said on Facebook.
Article share tools

Hizi ndio propaganda za kishoga. Unapigwa halafu unawatangazia watu kuwa mgomvi wako anakukimbia.

Waseme ya kwao pekeee, wasiwazushie warusi kuhusu kile wanachopendelea kitokee ili wapate pa kupumulia.
 

Russia focused on Kharkiv withdrawal - Ukraine​

In its daily update, the Ukrainian military said that Russian troops are focused on withdrawing troops from the city of Kharkiv.
Efforts focused on maintaining occupied positions and supply routes, the general staff of the armed forces said.
Russia's "main goal is to establish full control over the territory of Donetsk, Luhansk and Kherson oblasts and ensure the stability of the land corridor with the temporarily occupied Ukrainian Crimea," it said on Facebook.
Article share tools
Kharkiv haina issue. Mapigano ya hapa ingekuwa zaidi ya Mariupol. Second largest city ambayo ingabadili hii vita mazima. Sasa Odessa ikae chonjo.
 
Putin hana muda mrefu wa kuendelea kuwa madarakani.....soon kuna mabadiliko ya utawala yatatokea na Kiongozi mpya atakayeingia hawezi kuwa na siasa kali kama za Putin maana russia ipo hoi kwa sasa ili kuwaplease wananchi kiongozi atakayeingia atajikuta hana budi kukubaliana na masharti kadhaa ya jumuia za kimataifa. Kwa kifupi upo sahihi Putin hii vita hashindi hata afanyeje. Kadiri muda unavyokwenda ndivyo russia anazidi kupoteza Kyiev alishafurushwa, leo Kharkiv kafurushwa jana platoon yake nzima wamekufa kifo kibaya yaan ni majanga baada ya majanga. Yaan muda unavyozidi kwenda hakuna advancement yoyote ya maana Putin anayofanikiwa na ni kama vile kategewa kadiri muda unavyoenda ndivyo anavyozidi kupewa kichapo taratiibu na anajikuta hana namna lazima arudi nyuma.
Mmegeuka watabiri

Pro nato bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni leo mzee ndio unatambua hili au wafaham toka mwanzo? Dah [emoji23] Ase njooni mshuhudie huku mzee wetu leo kaamua atueleze ukweli [emoji119][emoji847]
abdulqadirj
Jesus Mlokozi
Champagnee
Bwana Utam
wa kupuliza
triga
babu na mjukuu
1954
Mtoto wa nzi
DeepPond
Sikirimimimasikini
lee van cliff
ras jeff kapita
NYUNDO YA MOTO
Ask HQ
zipompa
DINHO
Liwagu
bibingi
manning
MR MAJANGA
kilwakivinje

Na wadhamini wa haja [emoji23] mdogo angu Coco Master na Shabiki mwenzangu bobby_Barbosa_9
Hao jamaa wakupuuzwa kwamba wao wanajua kuliko biibiisii ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona
Wala sijakupa ripoti toka RT CTGN au SPUTNIK
Nimenukuu tokea hapo BIIBIISII nanaendelea tena kukuuliza
Kati ya wewe na biibiisii wanaosema wamekufa watu elf moja nani wakuaminiwa!!?
Ama unapingana na biibiisii kwamba hawajafa watu elf moja !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]

Komaa nae huyo hadi akiri either yeye au BBC nani yuko sawa... Asijizungushe zungusheeee.
 
Mafanikio ya Ukraine wamechukua Luhansk, Donesk, Kharson, Kharkiv, Mariupol na sasa wanaelekea Moscow.... Urusi wamefurushwa ... Wamemaliza silaha ma chakula pia wanajeshi wamegoma Amri ya kupigana vita..... Hureeeeeeee hureeeeee hureeeeee Ukraine.
Hizo ndio zao.
 
Mlokoz, mm sina tatizo na yote unayoyaeleza isipokuwa sijataka tu yawe sehemu ya mjadala kwa sababu historia, nia, maono na upana wa sababu za matukio yanayotokea ni mapana sana kuyaunganisha na tukio la Urusi na Ukraine katika umoja wake.
Tunaposema USA kwa Russia ni mchumba muwe mnatuelewa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Tunaposema USA kwa Russia ni mchumba muwe mnatuelewa.
Wewe jieleze kile kinachokufanya ufurahi ila unyonge wa USA na ukubwa wa Russia hauna maana kwako wewe Mtanganyika hata ukiwahusudu kwa kiwango kikubwa.

Mazuri wanayoyafanya kwa mataifa mengine ndiyo yanayostahili kusifiwa na ndiyo yenye maana.
 
Personally napenda ku appreciate maoni ya watu coz one head can't contain all intellectuals. Nashukulu kuna direct nijielimishe niwazo zuri ila napenda kukushauri nawewe ujifunze namna bora ya kufanya analysis. Analytical mind sio kama wewe hauna objective information umechukua upande tayari umekosa scientific credibility.
Analytical mind ni kuongea uhalisia. Political mind ni kupaka rangi hata kitu ni kibaya. Mimi naongea facts from evidences. Kama na wewe upo na hizo information zilete. Scientific objections hazinaga kitu cha upande.

Science inaongea kitu kilivyo. Mf hatuwezi tena kuanza kuongelea suala la gravitational force maana tunajua kuwa kitu kikirushwa juu kinarudi chini. Maana kuna gravitational force ambayo tayari tunaijua kuwa ni 9.8. Huu sio mjadala tena.
 
1) Wanajaribu kutuma silaha huko Ukraine lakini zinaishia mikononi mwa warusi. Ni kujitoa ufahamu tu ya mufikiri eti NATO wakianzisha vita na Urusi watashida.

2) Urusi ni taifa lenyenguvu sana. Technology yao ni ya kiwango cha juu. USA ya miaka ya nyuma siyo hii ya sasa. Imejaa maigizo. Ndio maana kwa sasa huko USA mambo yanaongewa tu lakini utelezaji ni sufuri. Demokrasia imeifanya nchi hiyo iwe dormant.

3) Hivi unajua kwamba only china has the vision kwamba kufika 2030 magari ya madogo nchi nzima yatakuwa yanatumia umeme!?

4) China kwa Urusi ni mtumwa. Na huyo china yupo kuwagonga wa magaribi kiuchumi. Na kwa mgogoro huu wa Ukraine utaiweka china juu sana kiuchumi.
kaka unaishi katika dunia ya ajabu....
1) Wanatuma silaha Ukraine; ni kawaida upande mmoja inakamata silaha kadhaa kutoka upande mwingine. Ila nisipokosei silaha nyingi za NATO zinafika katikati ya magari, vifaru, ndegevita na miili ya Warusi, si mkononi mwao

2) tekinolojia ya Urusi? Hmm. Nilituma jana uchambuzi wa droni yao Orlan 10 iliyofika mkononi mwa Ukraine. Walikuta kamera yake ni ya Canon EOS Rebel T6i, chipsi za GPS-tracker ni HC4060 2H7A201 na STC 12LE5A32S2 35i kutoka China, starter generator PTN 78020 kutoka Texas Instruments, injini yake kutoka kampuni ya Saito (Japani), chipsi nyingi kutoka Marekani na Ulaya, pamoja na moja inayotenegezwa Urusi (ambayo ni kopi ya Marekani). Wanatumia tekonolojia kwa sababu wanayo wenyewe iliyo bora? Au sababu hawana? Na sasa hawawezi kupata vipuri tena isipokuwa kwa njia ya magendo. Makampuni ya China hayauzi tekinolojia y akisasa kwa sababu Wachina wenyewe wanatengeneza kwenye msingi wa hataza za Marekani - wanapaswa kufuata vikwazo. - Juzi Ukraine walikuta GPS ya mkononi kwenye ndegevita ya Kirusi waliyoangusha wakaona rubani hakuweza kutegemea kifaa chake cha kirusi...

3) kwanza china haitafikia kubadilisha magari yote kuwa umeme, pili nchi nyingi pamoja na EU wanakataza kuuza magari ya petroli na diseli kuanzia 2035.

4) China mtumwa wa Urusi? Uchumi wa Urusi ni asilimia 10 za China. Jitu mtumwa wa kibete? Hongera sana!
 
Back
Top Bottom