Huenda kuna mtu ameku quote ukachanganya na mm au huenda nimeku quote ukanielewa tofauti. Siwezi kubishana kati ya USA na Urusi nani mbabe ila ninaipinga Urusi kuivamia Ukraine.
Hapa kinanchonifanya niingie humu ni mada hii,
Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo.
Kama unataka tubishane kwa hoja basi wewe simama katika kutetea uvamizi wa Ukraine na mm nisimame katika kupinga uvamizi wa Ukraine lakini sio tubishane nani mbabe kati ya USA na Russia.
Nilikuuliza swali una lijua bomb linaitwa
Father of All Bombs!? Nikaona unachanja mbuga. Tunapoonglea Russia unatakiwa uielewe hiyo nchi.
Ipo miaka mingi kabla hata ya USA kuwepo. Na kumekuwa na migogoro kati yake na majirani miaka na miaka. Na urusi wamekuwa wakipambana karne na karne. Je unaijua sababu ya migogoro hiyo!?
Migogoro hiyo inatokana na hazina kubwa iliyomo ndani ya ardhi ya Urusi. Mataifa ya ulaya yamekuwa yakidondosha udenda kuweza kumilk ardhi ya Urusi. Taifa lolote likiweza kuidhibiti urusi litakuwa tajiri na kiranja wa dunia.
Hawa warusi wamekuwa wakipigana vita miaka na miaka.
1. Wamepigana na Mongols
2. Wamepigana na Persian empire
3. Wamepigana na Napoleon (France empire)
4. Amewahi kuwa gonga mjumuiko wa England, France na takata.
5. Amewahi kuwagonga Ottoman Empire.
6. Amewahi muwagonga wajapani.
7. Amewahi kuwagonga Astro-Hungary empire.
8. Alingonga Hitler second wolrd war.
Orodha ni ndefu mno. Hao warusi wanacholigania ni maslahi ya nchi yao tu. Ukikaa nao vizuri hawana shida na mtu.
Poland anawajua warusi, Finland anawajua warusi, Sweden anawajua warusi.
Hizi nyege wanazozionesha nakuhakikishia zitawatokea puani.
Fanya yote lakini usimchokoze mrusi.