Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
UK waizi vile visiwa nivya ARGENTINA kabisa jamaa wamevikwapuaArgentina ana mzozo wa kihistoria na Uingereza!
Halaf MSM kimyaa kama hawajui kama jamaa kaviiba
UK waizi vile visiwa nivya ARGENTINA kabisa jamaa wamevikwapuaArgentina ana mzozo wa kihistoria na Uingereza!
Habari za picha.Ukraine wana wasaidizi wazuri wa propaganda.Kama batallion nzima inaangamizika kihivyo kusingekuwa na vita tena.
HABARI ZA HIVI PUNDE: Picha ya vifaru vya Urusi vilivyoshambuliwa na kuharibiwa na Ukraine wakati wa jaribio la kuvuka mto
Mtaalamu wa masuala ya usalama na mhudumu wa zamani wa Uingereza Justin Crump anasema juhudi za Urusi "zimeshindwa pakubwa". Lakini anasema madai ya Ukraine ya kuwaangamiza zaidi ya wanaume 1,000 huenda sio kweli.
Akizungumza na BBC, Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la usalama la Sibylline Ltd anakadiria kuwa zaidi ya Warusi 140-180 waliuawa.
Anaeleza kuwa magari 70 au 80 yaliripotiwa kuharibiwa katika shambulio la Ukraine.
View attachment 2223077
Dah!.. nimenukuu maelezo ya walioziona, sijawahi hata kuziona.Tuambie kwny nyaraka zilizowasilishwa na Russia Ni nyaraka gani ambazo wewe uliona zime-miss.
UKRAINE watamuondoa siwanampiga au wanapigwa UKRAINEMbona mnaogopa kuusema ukweli?
Russia aondoe majeshi yake yote ndani ya Ukraine hapo ndipo vita itakapokwisha. Mrusi yeye nani mpaka aachiwe nchi ya watu. Mimi naona sasa ni wakati muafaka kwa Urusi kulipia kile alichokifuata.
Hii kauli inaonesha nani anaongoza huko fieldRussia yabadili msimamo kuhusu Ukraine kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU)...yasema kuwa msimamo wa Russia wa sasa ktk jambo hilo ni Ukraine kusahau kabisa kujiunga na EU.
Russia yasema imeamua kubadili msimamo huo kutokana na vitendo vya uadui vya Umoja wa Ulaya na kauli za uadui za viongozi wa umoja huo dhidi ya Russia ktk kipindi hiki cha operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine. Umoja wa Ulaya (EU) umekuwa sawa sawa kimtazamo na NATO, na hivyo lazima Russia iende na msimamo mmoja kwa NATO na EU ktk suala la Ukraine.
Hiyo ndio raha ya kuwa mbabe na kushinda mechi zako ktk uwanja wa vita, mara zote mshindi wa vita huwa ktk nafasi nzuri ya kuweka matakwa yake, na huwa yanatekelezwa...hakuna namna.
View attachment 2222439View attachment 2222440
Urusi ilivyo Kwa sasa haihitaji nchi za NATO zote kuishambulia.Uingereza yenyewe ikitia timu kuisaidia UKRAINE, Urusi bila nukes itaomba poo[emoji848]
Woote wataziachia nisuala la muda tuuUswizi yaamua kutofautiana na Marekani+NATO, yaziachia mali za Russia ilizozizuia kutokana na mzozo wa Ukraine...Serikali ya Uswizi imesema haiwezi kushikilia mali za Russia kibubusa, wakati hakuna sababu zozote za msingi za kufanya hivyo.
Taasisi ya kimarekani yalalamikia msimamo huo wa serikali ya Uswizi na kuiita Uswizi kuwa muwezeshaji mkubwa wa harakati za Putin. Serikali ya Uswizi imekemea upotoshaji huo, na Rais wa Uswizi ameitaka serikali ya Marekani kurekebisha huo upotoshaji alipozungumza na waziri wa mambo ya nje wa Marekani
View attachment 2222496 View attachment 2222497
Mbuzi kwenye mahakama ya Fisi
Kwani Urusi wana askari wangapi Ukrain??Habari za picha.Ukraine wana wasaidizi wazuri wa propaganda.Kama batallion nzima inaangamizika kihivyo kusingekuwa na vita tena.
Nukta moja muhimu ameisahau.Nayo ni kudhoofika kwa Ukraine kutaidhoofisha sana Israel na itakuwa ni fursa wapalestina kuongeza nguvu kupambana na madhalimu wao wa takriban karne nzima.Haya chini ni kile alichoandika Medvedev kwenye Channel yake dak kadhaa zilizopita. Mnazionaje hizo Points zake nilizoz-bold hapo chini
View attachment 2222421
FRIDAY THE 13TH
What will happen next, or the World after anti-Russian sanctions (not a forecast at all)
1. A number of global supply chains of goods will collapse, a major logistical crisis is possible, including the collapse of the activities of foreign airlines that are prohibited from flying over Russian territory.
2. The energy crisis will intensify in those states that have imposed “shooting in their own feet” sanctions on the supply of Russian energy carriers, further growth in fossil fuel prices will continue, and the development of the digital economy in the world will slow down.
3. A full-fledged international food crisis will come with the prospect of starvation in individual states.
4. A monetary and financial crisis is possible in some countries or communities of countries, associated with the undermining of the stability of a number of national currencies, galloping inflation and the destruction of the legal system for protecting private property.
5. New regional military conflicts will arise in those places where the situation has not been peacefully resolved for many years or the significant interests of major international players are ignored.
6. Terrorists are becoming more active, believing that the attention of Western authorities today is diverted to a showdown with Russia.
7. New epidemics will begin, caused by the rejection of honest international cooperation in the sanitary and epidemiological sphere or by direct facts of the use of biological weapons.
8. There will be a decline in the activities of international institutions that have not been able to prove their effectiveness in the course of settling the situation in Ukraine, such as, for example, the Council of Europe.
9. New international alliances of countries based on pragmatic rather than ideological Anglo-Saxon criteria will be formed.
10. As a result, a new security architecture will be created, in which de facto, and then de jure, the existing realities are recognized:
a) the weakness of Westernized concepts of international relations such as "Order based on rules" and other senseless Western junk;
b) the collapse of the idea of an American-centric world;
c) the presence of interests respected by the world community in those countries that are in an acute stage of conflict with the Western world.
Sio wewe tu unayejiuliza hilo swali bali wachambuzi wengi wanajiuliza juu ya ufanisi wa jeshi la anga la Urusi kwenye hii vita
Sijui ni wangapi,ila yuko huru kuanza kuchukua mgambo kutoka mataifa yenye uhusiano mzuri nao kama vile Syria.Kwani Urusi wana askari wangapi Ukrain??
Umejibu kinyonge mno,inaonyesha jinsi gani unavyosononeka na ulivyokata tamaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongereni karibuni mnaingiaia MOSCOW
Haaa kwanza ukraine hawakuwa na hivyo vifaa ndio wanapewa sasa washabiki wa Putin wee acha tuUzuri wa Ukraine akikupiga analeta na picha. Lakini hawa wengine wanasema wamelipua meli 3, ndege 4, helicopter 3, drones 30 za Ukraine pale snake island lakini hakuna picha hata moja.
Naona propaganda zenu na BBC hamjaacha mpaka wayukraini waishekaka ni kichapo cha mbwa mwizi - Vifaa ya kivita vya nchi za magharibi ni balaaa
Teh teh teh taratibu mnaanza kumkubali Comedian Zelensky kwa dozi ya kutwa mara tatu anayompa Putin.Ni kweli ila umeongeza chumvi mno.
Logistic yao kama mbio za mwenge?Urusi hakuwa na aircover hata ya recon drone?
Labda cake ya birthdayNiliwambia hapa kupiga Domo si kufanya kazi Mrusi anaimega Ukraine kama vile kipande Cha cake Kwa Raha zake.