Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa ata kama anaumwa na ndio anakufa, basi ndo wakuogopewa huyo. Mana ashajua hana maisha so hato ona atabu kuingia kwenye nuclear war.

Cha msingi wa Afrika tulifunge kamba bara letu lisogee south pole wakidundana kwa nuclear huku yasitufike😅
 
Waziri wa mambo ya nje wa Russia ameionya Finland kwamba iwapo itajiunga na NATO ,Russia haitasita kuchukua hata za kijeshi.
Linkhttps://edition.cnn.com/2022/05/12/europe/finland-leaders-join-nato-intl/index.html.

Hapo hapo Finland keshasaini mkataba baina yake na UK endapo atashambiliwa na nchi yoyote UK ataingia direct kumsaidia Finland katika kipindi chote akijiandaa kujiunga NATO.

Binafsi sipendi vita maana ni maisha ya watu,ila kuna dalili tosha hii vita lengo kubwa ni kuiangusha Russia, tunamlaum Putin ndie kaanzisha ila kuna namna mtego ulitegwa Russia akanasa nachoomba Putin apunguze jazba maana Finland ni mtego mwingine, ukizingatia wameshamchosha kiuchumi ,ajikite kuyabeba hayo majimbo mawili apite hivi hawa jamaa siyo, wanamuundia propaganda kila kukicha .
 
Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi. Vyanzo mbadala vinapatikana...
Frustrated and thwarted, What's the problems with you?

"Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi."

Screenshot_20220513-070657-01.jpg
Is that 7% to you right? ProNATO mna tatizo Gani?
 
Waziri wa mambo ya nje wa Russia ameionya Finland kwamba iwapo itajiunga na NATO ,Russia haitasita kuchukua hata za kijeshi.
Linkhttps://edition.cnn.com/2022/05/12/europe/finland-leaders-join-nato-intl/index.html.
...
Bado hayo majimbo hayabebeki kirahisi kwani Ukraine ataendelea na vita kabambe vya kuyakomboa.
 
Frustrated and thwarted, What's the problems with you?

Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi.

View attachment 2222334 Is that 7% to you right? ProNATO mna tatizo Gani?

Sikuiona Comment ya jamaa nimemla block, Huwa sijui anawaza kwa kutumia nini. Finland Gas ni 94 yote anatoa Russia, Oil 68 yote atoa Russia.

Eti mbadala, kama wanaopokea below 30% wamekosa yeye mwenye 68 atautolea wapi? Bangi zingine bana 😂
Screenshot_20220513-071706-01.jpeg
 
So, its confirmed that Admiral Makarov has not been sunk. She was seen coming into the Sevastopol and also seen operating alongside her fellow sister Essen near Sevastopol. This makes 2 of the 3 Ukrainian claims of ships sunk false. Only Moskva was actually sunk but boy was that a big loss.
#εpsilon
 
Sikuiona Comment ya jamaa nimemla block, Huwa sijui anawaza kwa kutumia nini. Finland Gas ni 94 yote anatoa Russia, Oil 68 yote atoa Russia.

Eti mbadala, kama wanaopokea below 30% wamekosa yeye mwenye 68 atautolea wapi? Bangi zingine bana [emoji23]View attachment 2222336
[emoji23] Block?

Ok I heard that Ukrops are winning so hard that they only lost 4 towns within 48hour and Russia has reached Severodonetsk.

They keep winning, that's impressive.
 
Ukraine has successfully struck Russia's air defenses and support vessels at Zmiinyi Island (Snake Island) with Bayraktar drones.
According to Ukrinform, the UK Ministry of Defense said in its latest intelligence update published on Twitter.

"Ukraine has successfully struck Russian air defenses and resupply vessels with Bayraktar drones. Russia’s resupply vessels have minimum protection in the western Black Sea, following the Russian Navy’s retreat to Crimea after the loss of the Moskva," the statement said.

The ministry added that Russia’s current efforts to augment its forces on Zmiinyi Island offer Ukraine more opportunities to engage Russian troops and materiel.

Earlier reports said that Bayraktar drones near Zmiinyi Island destroyed a Russian Serna landing craft, two Raptor assault boats, a small landing craft and a Tor surface-to-air missile system, killing 80 invaders.

On February 24, Russian President Vladimir Putin announced a full-scale invasion of Ukraine. Russian troops are destroying infrastructure and residential areas of Ukrainian cities, towns and villages using artillery, multiple rocket launchers and ballistic missiles.
Source:British Intel
 
A French volunteer Adrien Boquet told in an interview with French media about the war crimes committed by the Nazi militants of the Azov regimen in Ukraine. He described the real situation in the war-torn country which is hidden by the Western media.

Adrien Boquet is a former French serviceman, author of the book “Get Up and Walk Through Science”. He described his experience of his three-week humanitarian mission in Ukraine in an interview on Sud Radio France.
======
Askari wa Ukraine wamedhamilia kuwamaliza wayaudi na waafrika.
Na bado Kuna watu hawaelewi hawaambiwi kuhusu ushetani wa hawa jamaa.
=====
Jisomee hapa chini.

“I am fully responsible for what I say. There on the spot I witnessed war crimes. I’ve seen a lot of war crimes. I am talking only about those that I saw myself on the spot, and only those that were committed by the Ukrainian military. But not the Russian military… I do not claim that the Russians did nothing… But I confirm the war crimes committed by the Ukrainian military.” he said.
“Azov fighters are everywhere. With neo-Nazi stripes. It shocks me that Europe supplies weapons to neo-Nazis. The symbols of the SS are embroidered everywhere on their uniforms. They not hide their views. They advertise them. I worked with these people and treated them. They openly say that they are ready to destroy blacks and Jews,” he added
 
Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi. Vyanzo mbadala vinapatikana. Viongozi wanajua wanachofanya. Wananchi wanadai nchi iingie NATO.
Putin anapata kitu ambacho hakutegemea.
Mwezi wa Februari asilimia 20 za wananchi walipenda kujiunga na NATO. Hali imebadilika tangu uvamizi na taarifa kuhusu jinai za Urusi huko Bucha. Sasa ni asilimia 70 wanaopenda nchi iiingie NATO.
Mambo yanakwenda kinyume Kabisa maatarajio ya Putin
 
Pigo Moja la kombora la Bei rahisi Toka UKRAINE laharibu kifauru Cha Urusi Cha mamilioni ya pound🤔

 
Juzi mbona alikuwa anaonekana Yuko fit? Hizi habari kama ni kweli ni Jambo jema Ila sidhani kama zina ukweli ndani yake
 
Wilaya ya Yuzhnoye katika mkoa wa Severodonesk umeangukia kwenye mikono ya Warusi.mapigano makali sasa yapo kwenye wilaya ya Severodonesk.





Kuna tetesi kuwa vikosi vya Ukraine vimepanga kuondoka kwenye mikoa ya Kramatorsk na Sloviansk kuogopa kuzungukwa na vikosi vya Urusi kama ilivyotokea Mariupol.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Russia ameionya Finland kwamba iwapo itajiunga na NATO ,Russia haitasita kuchukua hata za kijeshi.
Linkhttps://edition.cnn.com/2022/05/12/europe/finland-leaders-join-nato-intl/index.html.
Hapo hapo Finland keshasaini mkataba baina yake na UK endapo atashambiliwa na nchi yoyote UK ataingia direct kumsaidia Finland katika kipindi chote akijiandaa kujiunga NATO.
Binafsi sipendi vita maana ni maisha ya watu,ila kuna dalili tosha hii vita lengo kubwa ni kuiangusha Russia, tunamlaum Putin ndie kaanzisha ila kuna namna mtego ulitegwa Russia akanasa nachoomba Putin apunguze jazba maana Finland ni mtego mwingine,ukizingatia wameshamchosha kiuchumi ,ajikite kuyabeba hayo majimbo mawili apite hivi hawa jamaa siyo ,wanamuundia propaganda kila kukicha .
Hakuna cha mtego wala nini ni uoga tu unaowafanya wajikusanye kila mara. Mwanaume yuko peke yake hana wasiwasi.

Na wala Putin hana jazba unamuona hata kwenye speech zake yuko very calm! Kama kuna mtego basi ni mtego wa panya unaotumika kumtega tembo (useless).

Urusi hawezi akaogopa pact ya Finland na UK. Hao wote mabwana wadogo tu hawana maajabu. Urusi level zake ni NATO nzima na wala sio hivyo vinchi.

Hao wote hakuna atakayejiunga na nato akawa salama dhidi ya jeshi kubwa na lenye nguvu la urusi. Tuko hapa
 
Frustrated and thwarted, What's the problems with you?

"Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi."

View attachment 2222334 Is that 7% to you right? ProNATO mna tatizo Gani?
Huyo jamaa ni special case
 
Sasa ata kama anaumwa na ndio anakufa, basi ndo wakuogopewa huyo. Mana ashajua hana maisha so hato ona atabu kuingia kwenye nuclear war.

Cha msingi wa Afrika tulifunge kamba bara letu lisogee south pole wakidundana kwa nuclear huku yasitufike[emoji28]
Afya yake itadhoofisha upambanaji na utekelezaji madhubuti wa jeshi lake hasa pale hatua ya kuchukua maamuzi magumu endapo yanaweza igharimu ardhi yake pia. Waandamizi watamuona anachukua maamuzi hayo sio kwa weledi ila kwa kuwa yeye ameona anakaribia kupoteza maisha.
 
Back
Top Bottom