Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kisu cha UKr kimempitia huyu Jamaa hapa chini 👇

Screenshot_20220512-190242.png
 
Uswizi yaamua kutofautiana na Marekani+NATO, yaziachia mali za Russia ilizozizuia kutokana na mzozo wa Ukraine...Serikali ya Uswizi imesema haiwezi kushikilia mali za Russia kibubusa, wakati hakuna sababu zozote za msingi za kufanya hivyo.

Taasisi ya kimarekani yalalamikia msimamo huo wa serikali ya Uswizi na kuiita Uswizi kuwa muwezeshaji mkubwa wa harakati za Putin. Serikali ya Uswizi imekemea upotoshaji huo, na Rais wa Uswizi ameitaka serikali ya Marekani kurekebisha huo upotoshaji alipozungumza na waziri wa mambo ya nje wa Marekani

SmartSelect_20220513-094049_Chrome.jpg
Screenshot_20220513-094313_Chrome.jpg
 
Kumbe lugha inaanza kubadilika.
Jana tulisikia kutoka marafiki wa Putin: Finland hakuna kujiunga na NATO!!
Leo: Hakuna atakayejiunga na nato akawa salama.
Ni dhahiri tangu uvamizi wa Ukraine Finland iliona si salama hivyo wananchi wengi walisukuma serikali kujiunga na NATO (Februari: 22% pro-NATO, Mei: 70% pro-NATO)

Kuhusu ukubwa na nguvu ya jeshi la Urusi: kabla ya uvamizi karibu wote katika magharibi waliamini hivyo waliogopa. Sikumbuki kuona chochote kwamba Ukraine itaweza kujitetea. Hiyo imebadilika, dunia yote inashangaa kasoro nyingi katika uongozi wa jeshi hilo pamoja na mbinu na mikakati inayotumia.
Labda nguvu ya jeshi la Putin itakuja bado? Labda waliamua kuiificha kwa sababu zisizojulikana?
Angalau Wafinland wenyewe wamesema mara kwa mara hawaogopi jeshi la Putin....
Napata shida sana kukuelewa kiswahili unachotumia kitofauti sana.

Zaidi ya ugumu wa kuelewa lugha unayotumia sijaona cha maana ulichoandika kujibu post yangu.

Alafu juu unadai wafini wameona hawapo salama (baada ya ukr invasion) alafu chini unasema hwaogopi jeshi la urusi. Sasa kama hawaogi wanakimbilia/lazimisha kujiunga NATO ili nini!? Umeona upupu unaoongea ulivyo!?
Mwanzoni hawakuwa wanataka kujiunga NATO, baada ya Ukr kuvamiwa na wao wakaona hawako salama wakataka kujiunga NATO lakini hapo hapo hawaogopi[emoji1787] unachekesha! Au ndio lugha inasumbua!?
 
!!! KIMENUKA !!!!

The Russian army has suffered heavy losses, including the destruction of around three dozen tanks, after the Ukrainian army blew up a pontoon bridge over the Siverskyi Donets river in the Luhansk region, according to reports.


Wameanza kugwaya kwenda vitani baada ya kichapo na kudanganywa eti vita itaisha ndani mwezi 😄😄

Screenshot_20220513-081436.png
 
Kumbe lugha inaanza kubadilika.
Jana tulisikia kutoka marafiki wa Putin: Finland hakuna kujiunga na NATO!!
Leo: Hakuna atakayejiunga na nato akawa salama.
Ni dhahiri tangu uvamizi wa Ukraine Finland iliona si salama hivyo wananchi wengi walisukuma serikali kujiunga na NATO (Februari: 22% pro-NATO, Mei: 70% pro-NATO)

Kuhusu ukubwa na nguvu ya jeshi la Urusi: kabla ya uvamizi karibu wote katika magharibi waliamini hivyo waliogopa. Sikumbuki kuona chochote kwamba Ukraine itaweza kujitetea. Hiyo imebadilika, dunia yote inashangaa kasoro nyingi katika uongozi wa jeshi hilo pamoja na mbinu na mikakati inayotumia.
Labda nguvu ya jeshi la Putin itakuja bado? Labda waliamua kuiificha kwa sababu zisizojulikana?
Angalau Wafinland wenyewe wamesema mara kwa mara hawaogopi jeshi la Putin....
Sema NATO na Urusi,sio Ukraine. ukweli ni kwamba,bila Msaada wa pesa, silaha, intelligence assistance ya NATO na wanajeshi wa Uingereza,marekani na Poland, Ukraine isingekuwa inazungumziwa mpaka sasa,huo ndio ukweli na unajua Ila kwa sababu waafrika akili zetu ni nyeusi kama ilivyo ngozi yetu,mmekalia ujinga wa kujiliwaza.
 
Back
Top Bottom