Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin ni mwanadamu kama mimi na wengine, simuombei mabaya juu ya afya yake na wala sitamani mabaya juu ya afya yake sababu Uzima na pumzi vipo mikononi mwa Mungu, lakini mimi napinga kwa 100% ishu yake ya kuvamia Ukraine hata kupelekea watu kufariki wengi sana, ndani ya nchi yake na Ukraine pia.
 
Tena ikiwa Acute Leukemia itakuwa ni balaa zaidi. Mungu amfanyie wepesi. Naona machozi ya dunia yamekuwa mengi juu yake.
 
Haya chini ni kile alichoandika Medvedev kwenye Channel yake dak kadhaa zilizopita. Mnazionaje hizo Points zake nilizoz-bold hapo chini

images-18.jpeg

FRIDAY THE 13TH

What will happen next, or the World after anti-Russian sanctions (not a forecast at all)

1. A number of global supply chains of goods will collapse, a major logistical crisis is possible, including the collapse of the activities of foreign airlines that are prohibited from flying over Russian territory.

2. The energy crisis will intensify in those states that have imposed “shooting in their own feet” sanctions on the supply of Russian energy carriers, further growth in fossil fuel prices will continue, and the development of the digital economy in the world will slow down.

3. A full-fledged international food crisis will come with the prospect of starvation in individual states.

4. A monetary and financial crisis is possible in some countries or communities of countries, associated with the undermining of the stability of a number of national currencies, galloping inflation and the destruction of the legal system for protecting private property.

5. New regional military conflicts will arise in those places where the situation has not been peacefully resolved for many years or the significant interests of major international players are ignored.


6. Terrorists are becoming more active, believing that the attention of Western authorities today is diverted to a showdown with Russia.

7. New epidemics will begin, caused by the rejection of honest international cooperation in the sanitary and epidemiological sphere or by direct facts of the use of biological weapons.

8. There will be a decline in the activities of international institutions that have not been able to prove their effectiveness in the course of settling the situation in Ukraine, such as, for example, the Council of Europe.

9. New international alliances of countries based on pragmatic rather than ideological Anglo-Saxon criteria will be formed.

10. As a result, a new security architecture will be created, in which de facto, and then de jure, the existing realities are recognized:

a) the weakness of Westernized concepts of international relations such as "Order based on rules" and other senseless Western junk;

b) the collapse of the idea of an American-centric world;

c) the presence of interests respected by the world community in those countries that are in an acute stage of conflict with the Western world.
 
Frustrated and thwarted, What's the problems with you?

"Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi."

View attachment 2222334 Is that 7% to you right? ProNATO mna tatizo Gani?
Ndugu je ni lazima kubishana kabla ya kuelewana? Kuhusu Finland ni kweli kwamba ilipata karibu gesi yote kutoka Urusi. Niliona pia asilimia 100.
Pale juu niliandika kuhusu swali tofauti. Ikiwa gesi yote ya Finland inatoka Urusi, je gesi ina umuhimu gani? Hapa Finland ni tofauti sana kulio nchi nyingine. Maana gesi ni asilimia 5-7 pekee ya mahitaji ya nishati ya Finland. Hii tofauti sana na nchi nyingine, mfano Ujerumani inategemea gesi kwa asilimia 27 za mahitaji yake ya nishati, huko pia kwa asilimia kubwa kabisa za nyumba (ukinzani wakati wa majira baridi, pia tofauti na Finland).
Je tofauti inaeleweka? Linganisha Russia could cut gas supply to Finland on Friday: Newspaper
 
Wilaya ya Yuzhnoye katika mkoa wa Severodonesk umeangukia kwenye mikono ya Warusi.mapigano makali sasa yapo kwenye wilaya ya Severodonesk.





Kuna tetesi kuwa vikosi vya Ukraine vimepanga kuondoka kwenye mikoa ya Kramatorsk na Sloviansk kuogopa kuzungukwa na vikosi vya Urusi kama ilivyotokea Mariupol.

Na misaada inyopelekwa Ukraine inaleta tija gani kabla hata vita havijaanza?
 
Hakuna cha mtego wala nini ni uoga tu unaowafanya wajikusanye kila mara. Mwanaume yuko peke yake hana wasiwasi.

Na wala Putin hana jazba unamuona hata kwenye speech zake yuko very calm! Kama kuna mtego basi ni mtego wa panya unaotumika kumtega tembo (useless).

Urusi hawezi akaogopa pact ya Finland na UK. Hao wote mabwana wadogo tu hawana maajabu. Urusi level zake ni NATO nzima na wala sio hivyo vinchi.

Hao wote hakuna atakayejiunga na nato akawa salama dhidi ya jeshi kubwa na lenye nguvu la urusi. Tuko hapa
Hivi NATO wamefanikiwa kwa kiasi gani na vikwazo uchwara?
 
Urusi hawezi akaogopa pact ya Finland na UK. Hao wote mabwana wadogo tu hawana maajabu. Urusi level zake ni NATO nzima na wala sio hivyo vinchi.

Hao wote hakuna atakayejiunga na nato akawa salama dhidi ya jeshi kubwa na lenye nguvu la urusi. Tuko hapa
Kumbe lugha inaanza kubadilika.
Jana tulisikia kutoka marafiki wa Putin: Finland hakuna kujiunga na NATO!!
Leo: Hakuna atakayejiunga na nato akawa salama.
Ni dhahiri tangu uvamizi wa Ukraine Finland iliona si salama hivyo wananchi wengi walisukuma serikali kujiunga na NATO (Februari: 22% pro-NATO, Mei: 70% pro-NATO)

Kuhusu ukubwa na nguvu ya jeshi la Urusi: kabla ya uvamizi karibu wote katika magharibi waliamini hivyo waliogopa. Sikumbuki kuona chochote kwamba Ukraine itaweza kujitetea. Hiyo imebadilika, dunia yote inashangaa kasoro nyingi katika uongozi wa jeshi hilo pamoja na mbinu na mikakati inayotumia.
Labda nguvu ya jeshi la Putin itakuja bado? Labda waliamua kuiificha kwa sababu zisizojulikana?
Angalau Wafinland wenyewe wamesema mara kwa mara hawaogopi jeshi la Putin....
 
Putin, Mwanzo wa kudata ni kutaka kupigana na kila mtu.


Moscow has warned Finland it will face consequences as it seeks to apply for NATO membership “without delay”, and Ukraine says it had damaged a Russian navy logistics ship in the Black Sea, where there has been renewed fighting in recent days.
 
Na misaada inyopelekwa Ukraine inaleta tija gani kabla hata vita havijaanza?
Mbona mnaogopa kuusema ukweli?
Russia aondoe majeshi yake yote ndani ya Ukraine hapo ndipo vita itakapokwisha. Mrusi yeye nani mpaka aachiwe nchi ya watu. Mimi naona sasa ni wakati muafaka kwa Urusi kulipia kile alichokifuata.
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji631]The Kiev regime may be left without help from the United States for a record $40 billion.
Such a bill was blocked by Kentucky Senator Rand Paul.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikuwa kesha sema ni ndogo, Zele the Cocaine Master, Akiikosa kabisa itakuaje
IMG_20220512_214940_237.jpg
 
Russia yabadili msimamo kuhusu Ukraine kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU)...yasema kuwa msimamo wa Russia wa sasa ktk jambo hilo ni Ukraine kusahau kabisa kujiunga na EU.

Russia yasema imeamua kubadili msimamo huo kutokana na vitendo vya uadui vya Umoja wa Ulaya na kauli za uadui za viongozi wa umoja huo dhidi ya Russia ktk kipindi hiki cha operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine. Umoja wa Ulaya (EU) umekuwa sawa sawa kimtazamo na NATO, na hivyo lazima Russia iende na msimamo mmoja kwa NATO na EU ktk suala la Ukraine.

Hiyo ndio raha ya kuwa mbabe na kushinda mechi zako ktk uwanja wa vita, mara zote mshindi wa vita huwa ktk nafasi nzuri ya kuweka matakwa yake, na huwa yanatekelezwa...hakuna namna.

Screenshot_20220513-092735_Chrome.jpg
Screenshot_20220513-092647_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom