Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani wewe Ndugu yangu umeaminishwa na west kuwa Putin ni kila kitu huko Russia..duh..
Wewe umeaminishwa nini!? Hivi Kim Jong Un sio kila kitu Korea!? Russia haina tofauti na Tanzania.

Mwendawazimu mmoja akishakuwa Rais anaweza kufanya chochote na wote wakafyata mikia.
 
Jana niliwambia watanzania kwamba chuki zenu kwa amerika zinawafanya muunge mkono adui zenu.
Ukiwauliza kwanini mnatetea uvamizi wa Ukraine wanakwambia kuna Us bio Labs humo ndani jibu la kitoto sana ukiniuliza.🙄
Sasa Jana embassy ya Russia Kenya imetoa list ya Nchi 25 ambazo wanaamini kuna US bio Labs. Kati ya hizo Nchi Tanzania na kenya ziko ndani. Hii ni uchokozi wa wazi kabisa sijui H.E Samia suluhu anasemaje.
Bwana Utam Russia inaanza lini special operation Tanzania kuondoa mashoga dar es salaam na bio labs

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]



View attachment 2222618
Hayo watajijua wenyewe watanzania MKUU
Sisi AFRIKA maskini tutasema nini!!?
US popote walipo walaaniwe wauaji
 
Wewe umeaminishwa nini!? Hivi Kim Jong Un sio kila kitu Korea!? Russia haina tofauti na Tanzania. Mwendawazimu mmoja akishakuwa Rais anaweza kufanya chochote na wote wakafyata mikia.
Wapo tu kama ukoo wa Chief wa kabila moja hivi uchagani huko... Hawana tofauti kabisa na Misukule, tulia mzee Biden aje awatembezee kichapo waache kula unga.

Zile silaha zipo zipo tu hata rungu lina nafuu ase. [emoji25]
 
IMG_20220513_095235_175.jpg
IMG_20220513_095232_479.jpg
IMG_20220513_095237_753.jpg


Brimstone or not...🏆NATO TROPHIES🏆

THIS IS HOW WEST PEOPLE TAX MONEY ENDS👇👇👇
DPR AND LPR ARE THANKFUL TO NATO AND THE WEST🙏🙏🙏
 
Uzuri wa Ukraine akikupiga analeta na picha. Lakini hawa wengine wanasema wamelipua meli 3, ndege 4, helicopter 3, drones 30 za Ukraine pale snake island lakini hakuna picha hata moja.
Hahaha hivi Kuna watu wanajiaminisha kuwa Ukraine is winning?! If so labda mitandaoni lakini siyo kwenye battlefield...
 
Wewe umeaminishwa nini!? Hivi Kim Jong Un sio kila kitu Korea!? Russia haina tofauti na Tanzania. Mwendawazimu mmoja akishakuwa Rais anaweza kufanya chochote na wote wakafyata mikia.
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom