Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,621
- 14,714
I wonder why this thugs are ganging up against Russia!
I wonder why this thugs are ganging up against Russia!
Waache wapokee ujira waoUrusi hakuwa na aircover hata ya recon drone?
Hii Vita Ni Kama ya Marekani na Vietnam ,,,Russia hii Vita hachomoiIla hii ambush waliyofanya Ukraine ni hatari,siku mbili zilizopita drone za Ukraine ziligundua uwepo wa hilo pantoon bridge la Urusi wakijiandaa kupitisha vifaa vya kivita Kama vifaru,magari ya mizinga,na vifaa vingine vya kijeshi jamaa wakaacha warusi wajae waanze kuvuka wakashambulia Kwa artillery karibu vifaa vyote vimeharibiwa
Baada ya mashambulizi
Magari takribani 73 pamoja na vifaru vimeharibiwa vibaya na artillery za Ukraine.
Kweli Marekani hakukosea alovyosema sasa NI mwendo wa kupigana mizinga tu,hizi Howitzer alizotuma US kule Ukraine zitawatesa Sana warusi
Russia hamna kitu hii hasara Ni ya mabilion ya dollarsUrusi hakuwa na aircover hata ya recon drone?
waulize wenyewUrusi hakuwa na aircover hata ya recon drone?
Wewe unajua umuhimu wa air cover halaf RUSSIA hawajui ajabu sanaHawa Warusi wanakuwa wajinga, wanavukaje bila air cover hata ya recon drone?
Vita inakoelekea atapewa tu,hata Kwa kifichoNa hapo Ukraine hajapewa MRLS
Which democracy are yapping about? Those bitches who slaughtered Vietnamese,Syrians, Iraqis,Libyans and plundered their wealth?The civilized world is not concerned wether or not we have one ,two ,three or more centres of power as long as they are democracies.
All in all, wote wanaoshabikia NATO ni wanufaika wa ushogaall in all , Urusi kakosea kuvamia Ukraine kuanzia kisheria hadi kimipango yake , mnaoshabikia huo uvamiz mna stress za maisha
Sio wewe tu unayejiuliza hilo swali bali wachambuzi wengi wanajiuliza juu ya ufanisi wa jeshi la anga la Urusi kwenye hii vitaUrusi hakuwa na aircover hata ya recon drone?
NakaziaAll in all, wote wanaoshabikia NATO ni wanufaika wa ushoga
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Siasa za America huzijui mwanangu unajichora tu!Katika marais dhaifu kutokea America basi bila shaka biden ataongoza list. Biden ameingia kwenye 18 za putin alishindwa jua anakutana na Mtu smart genius.
Americans wengi ukifuatilia quora, twitter wanahoji kwanini kipindi cha trump US ilikua ina mahusiano mazuri na Russia?? na walishirikiana kwenye sekta nyingi tofauti?? haija ishia hapo wanalalamika mfumuko wa bei, nishati, chakula nk. Japo US kutoa pipa million1 kila siku lakn bado haijasaidia.
Biden afya yake inadhoufu sana mikiki ya Putin sio ya kitoto wanaomshauri wanamtia chaka ajifunze kwa trump.
View attachment 2223032
View attachment 2223033
Mashoga wengi Russia kuliko Ukraine.All in all, wote wanaoshabikia NATO ni wanufaika wa ushoga
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Source BBC.Urusi imepoteza magar na vifaru vyote vilivyokua vikiingia Donetsk, hali ni mbaya haijabainika ni wanajeshi wangap wa Russia wamepoteza maisha ,ila lilikua shabulio baya
- Russian battalion lost almost all of its armoured vehicles in a failed attempt to cross a river near Severodonetsk in eastern Ukraine, the UK says
- Images from the scene show dozens of burnt-out tanks after Ukrainian forces shelled pontoon bridges across the Siversky Donets in Luhansk region
- The UK's Ministry of Defence says the incident reveals the pressure Russian commanders are under to make progress
- It isn't clear how many soldiers were killed in the battle, but Moscow's forces appear to be making gains elsewhere in the area
Zaid ya wanajeshi 1000 wa Russia wameuwawa kwenye shabulio hilo
Source BBC,aljezer
Una akili sana wewe jamaa.Mtizamo wangu mimi, ulilosema kuhusu finland na sweden ni kweli West wanamtafuta sana Russia lengo Kuharibu mahusiano ya Russia na mataifa mengine.
Uzuri ni kwamba sahv dunia sio ile ya zaman ambayo tuliaminishwa Saddam husen, gadafi nk ni magaidi na watu tukaamini sahv dunia imebadilika kinachoendelea Ukraine hata west wamepata somo.
Mtizamo wangu Russia huwa hatabiriki kabisa atakachofanya atapeleka nyuklia pale kaliningrad so ulaya hawatakua na amani kutokana na location ya hili eneo.
Pili kuna uwezekano Russia akaweka base zake Mexico, Venezuela hawa ni maadui sana wa marekani akifanya hivo utaona kama US atakubali. Russia ni taifa lilobarikiwa watu genius sana huwa wanawaza mbali sana ni suala la muda tu. Comeback yao huwa si ya kitoto kuna ambaye alifikiria Russia angekuja na Ruble?? wote humu ndani tulikua suprised.
Huo ndo mtazamo wangu .
Mwanao atasikitika zaidi atakaposoma upambanaji wako kupambania mashoga na ushogakm mtoto wako akija kusoma hii comment yako atagundua kuwa baba alikuwa taahilaa 4G kias cha kutokujua vipengele vinavyohusika krk " uhuru wa kujitawala "
Kama usemalo Ni kweli kwnn wasiingie wamalize mchezo??urusi sio Iraq au libya,marekan anajua uingereza wanajua pia mziki na uwezo wa urusi kijeshiUrusi ilivyo Kwa sasa haihitaji nchi za NATO zote kuishambulia.Uingereza yenyewe ikitia timu kuisaidia UKRAINE, Urusi bila nukes itaomba poo[emoji848]
Kama usemalo Ni kweli kwnn wasiingie wamalize mchezo??urusi sio Iraq au libya,marekan anajua uingereza wanajua pia mziki na uwezo wa urusi kijeshiUrusi ilivyo Kwa sasa haihitaji nchi za NATO zote kuishambulia.Uingereza yenyewe ikitia timu kuisaidia UKRAINE, Urusi bila nukes itaomba poo[emoji848]