Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Muda ni rafiki ngoja tuwe wapole tu.. maana hapa tunashabikia vitu vidogo.... ni sawa na msemo unaosema " mnatufunga lakini chenga twawala" hiyo ukraine inazidi kuzama, jamaa Putin yuko serious sana tofauti na tynavyomsikia kwenye vyombo vya habari vya magharibi.

hiyo ukraine anazidi kuikata na sidhani kama ardhi aliyochuku atairudisha nafikiri tunakumbuka krimea.. angalia hiyo ramani.. miji yote ya kherson, Morioupa, donets, luhansiki yote kachukua.. sasahivi odesa bado masaa tu maana bandari yake kaifunga kabisa....

Screenshot_20220513_151421.jpg
 
Huyo raisi wa Ukraine sasa analia kilio cha mbwa koko.Eti umemchokoza mtu halafu unaomba akuhurumie au unatafuta msaada kwa watu ili asiendelee kukupiga
duh ko Huyo Rais aliivamiav Urusi au aliifanyaj Urusi / Putin ?
 
Wanaanzaje sasa, Japan mmoja wao huyo kesha wagomea.

US naona anaamini could end multipolarity by destroy Russia kwa vikwazo vyake ye na team yake kupitia mgongo wa Ukraine. Ambapo once Moscow capitulated, basi China would then toe line.

Na ukiangalia Russia hasn't collapsed yet na dalili hizo HAZIPO kabisa, Out of desperation will turn to China kupitia Taiwan believing collapsing Beijing itapelekea Moscow kudondoka and end multipolarity.

Hii ndoto sijui atakuja kushtuka lini maana the way Russia na China walivo-united hivi sasa nahisi ni mahusiano yenye nguvu kuliko mahusiano ya nchi zozote duniani. Ukitumia kauli ya akufaaye katika dhiki ndio rafiki.

We can desires an outcome, but reality in the ground will never change the facts [emoji41]
wapo walisema corona haipo , serikali za kidikteta zinajuwa kupiga kamba hatari
 
Huku masahibu yanayoipata Ukraine yakiwa wazi kwa ulimwengu kutokana na maamuzi yaliyokuwa hayakuwa ya ulazima wala hekima,Finland nayo kila siku inasisitiza kutaka kujiunga na umoja wa NATO. Nasikia raisi wa nchi hiyo ni mwanamke.
baada ya kumegwa Crimea bado hakukuwa na ulazima wa kuchukuwa tahadhari ?
 
  1. Russian battalion lost almost all of its armoured vehicles in a failed attempt to cross a river near Severodonetsk in eastern Ukraine, the UK says
  2. Images from the scene show dozens of burnt-out tanks after Ukrainian forces shelled pontoon bridges across the Siversky Donets in Luhansk region
  3. The UK's Ministry of Defence says the incident reveals the pressure Russian commanders are under to make progress
  4. It isn't clear how many soldiers were killed in the battle, but Moscow's forces appear to be making gains elsewhere in the area
Urusi imepoteza magar na vifaru vyote vilivyokua vikiingia Donetsk, hali ni mbaya haijabainika ni wanajeshi wangap wa Russia wamepoteza maisha ,ila lilikua shabulio baya

Source BBC,aljezer

Kwa taarifa za chini chini idadi ya waliokufa leo ni askari 1000
 
Wanatapatapa kutokana na maamuzi ya kishoga.Unajuwa Ulaya ina maraisi na mawaziri mashoga tele.Hivyo daima mawazo yao yananuka shombo.
kwa kizaz hiki magaidi yatashamir huku tukisingizia USA kumbe akili zetu ndo zimechacha
 
Russia acts and take actions with the main Goal of not affecting Raia wa kawaida na nchi zote zilitakiwa zifanye hivyo, ila ajab hii hali wenye akili finyu wanaitafsiri kama udhaifu kwa Russia.

Katika zama tulizonazo its rarely kuona ama kupata viongozi wanaojali well being ya Raia wao.

Nchi ni kubwa kuliko kiongozi aliyepo madarakani. Kutofautiana kwa viongozi kisha mapambano kuelekezwa kwa Raia ni utoto wa hali ya juu. Ugonvi uanzishwe na wengine kisha mapambano wapambane wengine na hiki ndicho kinachowakumba Raia wa Europe.

Hali ilivo sasa ni mbaya, je vipi kama nae PUTIN angekuwa na utoto kama wa viongozi wa magharibi aanze kushambuliana nao kwa vikwazo like tapping Off Gas supply. Ambao wangeumia zaidi ni wakina nani? Viongozi au Raia wa kawaida?

But kwasabab Russia kuna watu wazima, restraining from that basi watoto wa mtaa wa pili wanaona kama ni udhaifu.

Hivi sasa wapo kwenye janga lile lile la Inflation, bei ya bidhaa ziko juu hivo kumuathiri zaidi Raia wa kawaida. On top of that wanatangaza kuongeza tariffs kwa bidhaa worth around £1.4B toka Russia. Kikawaida hata kwa hesab za chini kabisa. Tariffs huwa zinakuwa reflected kwa Importers na watumiaji wa mwisho na sio kwa Exporters.

Hapo watumiaji wa mwisho ni Raia wao wenyewe, so hii ni kama kuwapiga sanctions Raia wao wenyewe, Ase hivi Ukraine na hao Azov wako worth kufanya suicide ya namna hii?

Kwa mfano hapa TZ, Ushuru wa bidhaa kutoka nje ukiongezwa maana ake ni kua bidhaa hizo hizo kwa mtumiaji wa mwisho ambae ni Raia wa kawaida atavinunua kwa bei juu... Sasa je hapo ni kumkomoa mleta hizo bidhaa au mtumiaji wa hizo bidhaa?

Kuna jamaa mmoja aliwahi sema kua "Every bad institutions in this world ends by Suicide"... Hiki ndicho tunachokishuhudia hivi sasa.
warusi wapo selo kupinga huo uvamiz
 
Nchi zote za ulaya pamoja na Marekani kamwe hata zifanye Nini hazitaweza kuishinda Russia kijeshi.....yule mkuu wa Mambo ya anga wa Russia juzi alihojiwa na kuweka wazi kuwa nusu saa kwa maana ya dk. 30 zinatosha kwa Russia kuzifuta katika ramani ya dunia nchi zote za NATO...baada ya kauli hiyo nchi za west zimefuta mahojiano hayo kwenye mitandao yote...
yaan unaeweza kumuondoka dunia ndo anakupangia nan akuone na nan asikuone?
 
Mtazamo wangu kuhusu Finland na Sweden kujiunga NATO

Nina Imani kabisa urusi hataingiza majeshi au kuipiga kijeshi Finland, maana lengo la marekani na nato ni kutaka kuifanya urusi ionekane ni nchi korofi wakati Siyo kweli bali wanamchokoza

Kwa hiyo kikubwa atakachofanya ni kufunga gas na Oil, huku akiacha muda uwe mwamuzi, unajua Kwa nini nasema muda uwe mwamuzi??, Ni Kwa sababu

Mpaka sasa urusi kawakamata sehemu nyeti NATO na USA, Kwa sababu ya oil, gas, chakula na vikwazo walivyoweka EU
Juzi Kati Joe Biden alisema kuwa wanafanya juu chini kutoa nafaka Tani 20milioni kutoka Ukraine ili isambazwe ulimwenguni kupunguza baa la njaa, Kwa maneno mangine ni kuwa janga la njaa ni real ipo njiani inakuja, ndiyo sababu ya lile tukio la kuteka kisiwa ambapo Ukraine imeangukia pua Kwa kupigwa vibaya Sana, lengo la operation hiyo ni kutaka kufungua bandari ili kumsafirisha nafaka

Kwa hiyo kipindi cha baridi ulaya watahitaji gas Sana, viwanda vingi kufungwa Kwa kukosa malighafi hii itasababisha raia ambao hawana kazi inaongezeka, hapo hapo njaa itapiga na chakula bei kupanda Sana kufikia raia kushindwa kumudu, hapa ndipo chanzo cha machafuko utakapoanza, hakuna jeshi litakalozuia raia mwenye njaa, Kwa hiyo ndiyo sababu ya ulaya na marekani kuangaika kila Leo ili kufikia kipindi hicho wawe wamepata suluhisho au nchi hizo ziwe vitani wapate sababu ya kukosekana chakula, nataka niione Finland kipindi cha baridi kama raia hayo mateso

Hapa ndipo mrusi atatumia chakula na gas kama bargain chip, kwamba ili mpate chakula,gas na oil basi ondoeni vikwazo na zile nchi zote zilizokuwa Balkan zijiondoe au ziondolewe NATO, Kwa hiyo hizi nchi zitaondolewa au kujiondoa zenyewe

Hapa ndipo ninapohisi sababu ya kufanya operation hii kuchukua muda mrefu ili ukifika muda sahihi EU na NATO watalazimika waje mezani kupata suluhisho

Mtizamo wangu mimi, ulilosema kuhusu finland na sweden ni kweli West wanamtafuta sana Russia lengo Kuharibu mahusiano ya Russia na mataifa mengine.

Uzuri ni kwamba sahv dunia sio ile ya zaman ambayo tuliaminishwa Saddam husen, gadafi nk ni magaidi na watu tukaamini sahv dunia imebadilika kinachoendelea Ukraine hata west wamepata somo.

Mtizamo wangu Russia huwa hatabiriki kabisa atakachofanya atapeleka nyuklia pale kaliningrad so ulaya hawatakua na amani kutokana na location ya hili eneo.

Pili kuna uwezekano Russia akaweka base zake Mexico, Venezuela hawa ni maadui sana wa marekani akifanya hivo utaona kama US atakubali. Russia ni taifa lilobarikiwa watu genius sana huwa wanawaza mbali sana ni suala la muda tu. Comeback yao huwa si ya kitoto kuna ambaye alifikiria Russia angekuja na Ruble?? wote humu ndani tulikua suprised.

Huo ndo mtazamo wangu .
 
Back
Top Bottom