Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waonevu huwa hawadumu rafiki yangu hiyo iko hivyo.

Hivo hivyo kwenye uonevu, so tegemea mwisho wa huu uonevu.

Ngoja tuanze na Chelsea kesho kutwa kwanza[emoji16]
Chelsea ipi wewe mtetea fc[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao hawaonewi wanapewa wanachokistahili
Yaani acha wale kipigo chakutosha waingie akili
 
  1. Russian battalion lost almost all of its armoured vehicles in a failed attempt to cross a river near Severodonetsk in eastern Ukraine, the UK says
  2. Images from the scene show dozens of burnt-out tanks after Ukrainian forces shelled pontoon bridges across the Siversky Donets in Luhansk region
  3. The UK's Ministry of Defence says the incident reveals the pressure Russian commanders are under to make progress
  4. It isn't clear how many soldiers were killed in the battle, but Moscow's forces appear to be making gains elsewhere in the area
Urusi imepoteza magar na vifaru vyote vilivyokua vikiingia Donetsk, hali ni mbaya haijabainika ni wanajeshi wangap wa Russia wamepoteza maisha ,ila lilikua shabulio baya
Zaid ya wanajeshi 1000 wa Russia wameuwawa kwenye shabulio hilo

Source BBC,aljezer
Mara wameuawa wanajeshi 1,000, mara haijabainika wameuawa wangapi.
Source:BBC🚮
 
Yaani nyie vijana mnashida sana
Umesema NATO hawataki kuingia vitani na RUSSIA wakat huo huo unasema RUSSIA amguse NATO member kwanini amguse!!?
Kwanini hushauri NATO badala ya kupeleka vijimanati kule UKRAINE wapeleke NATO jeshi kabisa wakakabiliane na RUSSIA!!!??
Vijimanati vimemfurusha russia kyiev na Luhansk russia yamewakuta makubwa leo
 
NATO-Chasing Finland Shows Off Bomb Shelters

Finland has unveiled new shelters to withstand nuclear strikes - complete with gyms, cafes and football pitches, as it races to join NATO.

Or perhaps a nice winter retreat?

Subscribe to RT t.me/rtnews Wamejipanga hahaha hivi Putin akitaka kuNuke Finland watakua na muda wakuingia humo mana nasikia hilo bomu dakika 2 tu lishafika hapo, fikiria unachoweza kufanya ndani ya dakika 2. wakati unatoka kwenye mlango wako wa mbele unakuwa vaporized Wacha tuone!
 
Aisee video, na picha za hilo tukio zinasikitisha sana Luhansk hapo russia anakula kisago cha mbwa koko pro russia watakwambia za zamani hizo watakwambia mbona za kwenye movie
Acha kubishana na Hawa Warusi wa Buza Bwana Utamu na @Struggleman
 
Katika marais dhaifu kutokea America basi bila shaka biden ataongoza list. Biden ameingia kwenye 18 za putin alishindwa jua anakutana na Mtu smart genius.

Americans wengi ukifuatilia quora, twitter wanahoji kwanini kipindi cha trump US ilikua ina mahusiano mazuri na Russia?? na walishirikiana kwenye sekta nyingi tofauti?? haija ishia hapo wanalalamika mfumuko wa bei, nishati, chakula nk. Japo US kutoa pipa million1 kila siku lakn bado haijasaidia.

Biden afya yake inadhoufu sana mikiki ya Putin sio ya kitoto wanaomshauri wanamtia chaka ajifunze kwa trump.
IMG_3057.jpg

IMG_3058.jpg
 
Ila hii ambush waliyofanya Ukraine ni hatari,siku mbili zilizopita drone za Ukraine ziligundua uwepo wa hilo pantoon bridge la Urusi wakijiandaa kupitisha vifaa vya kivita Kama vifaru,magari ya mizinga,na vifaa vingine vya kijeshi jamaa wakaacha warusi wajae waanze kuvuka wakashambulia Kwa artillery karibu vifaa vyote vimeharibiwa

Magari takribani 73 pamoja na vifaru vimeharibiwa vibaya na artillery za Ukraine.

Kweli Marekani hakukosea alovyosema sasa NI mwendo wa kupigana mizinga tu, hizi Howitzer alizotuma US kule Ukraine zitawatesa Sana warusi
 
Kuna kauli ya mdau mmoja humu aliwahi kusema

"ukitoa nuc kwa Russia basi anabaki mtupu"
Labda kuna ukweli hapa.. lakini wait

Mwingine alisema

"intelligence ya Ukraine na effectiveness ya Ukraine iko juu zaidi ya russia"

ndio maana Russia anapitia wakati mgumu zaidi ya alivyotegemea maybe kwasababu jeshi la Ukraine linapitia mafunzo mala kwa mala kutoa kwa NATO

Hayo maswali yamenifikirisha zaidi baada ya kuona bwana mdogo wa Ukraine alivyo wa outsmart warus kwenye Pantone bridge na kupelekea 1500 RU kufa.

Unaweza kusoma uzi wa bwana mdogo hapa chini[emoji116]



Nyongeza: Volodymyr Zelensky aliwahi kusema anahitaji msaada wa silaha na anaamini anashinda vita, hiki kiburi kinatoka wapi!
View attachment 2222672

Zelensky aliomba silaha akapewa,na anaendelea kupewa, mpaka na wanajeshi, mbona nchi yake inazidi kuwa magofu,na kumegwa kila kukicha?hivyo vita anavyosema atashinda wapi?
 
Aisee video, na picha za hilo tukio zinasikitisha sana Luhansk hapo russia anakula kisago cha mbwa koko pro russia watakwambia za zamani hizo watakwambia mbona za kwenye movie
kaka ni kichapo cha mbwa mwizi - Vifaa ya kivita vya nchi za magharibi ni balaaa
 
Mtazamo wangu kuhusu Finland na Sweden kujiunga NATO

Nina Imani kabisa urusi hataingiza majeshi au kuipiga kijeshi Finland, maana lengo la marekani na nato ni kutaka kuifanya urusi ionekane ni nchi korofi wakati Siyo kweli bali wanamchokoza

Kwa hiyo kikubwa atakachofanya ni kufunga gas na Oil, huku akiacha muda uwe mwamuzi, unajua Kwa nini nasema muda uwe mwamuzi??, Ni Kwa sababu

Mpaka sasa urusi kawakamata sehemu nyeti NATO na USA, Kwa sababu ya oil, gas, chakula na vikwazo walivyoweka EU
Juzi Kati Joe Biden alisema kuwa wanafanya juu chini kutoa nafaka Tani 20milioni kutoka Ukraine ili isambazwe ulimwenguni kupunguza baa la njaa, Kwa maneno mangine ni kuwa janga la njaa ni real ipo njiani inakuja, ndiyo sababu ya lile tukio la kuteka kisiwa ambapo Ukraine imeangukia pua Kwa kupigwa vibaya Sana, lengo la operation hiyo ni kutaka kufungua bandari ili kumsafirisha nafaka

Kwa hiyo kipindi cha baridi ulaya watahitaji gas Sana, viwanda vingi kufungwa Kwa kukosa malighafi hii itasababisha raia ambao hawana kazi inaongezeka, hapo hapo njaa itapiga na chakula bei kupanda Sana kufikia raia kushindwa kumudu, hapa ndipo chanzo cha machafuko utakapoanza, hakuna jeshi litakalozuia raia mwenye njaa, Kwa hiyo ndiyo sababu ya ulaya na marekani kuangaika kila Leo ili kufikia kipindi hicho wawe wamepata suluhisho au nchi hizo ziwe vitani wapate sababu ya kukosekana chakula, nataka niione Finland kipindi cha baridi kama raia hayo mateso

Hapa ndipo mrusi atatumia chakula na gas kama bargain chip, kwamba ili mpate chakula,gas na oil basi ondoeni vikwazo na zile nchi zote zilizokuwa Balkan zijiondoe au ziondolewe NATO, Kwa hiyo hizi nchi zitaondolewa au kujiondoa zenyewe

Hapa ndipo ninapohisi sababu ya kufanya operation hii kuchukua muda mrefu ili ukifika muda sahihi EU na NATO watalazimika waje mezani kupata suluhisho
Kwamba strategist analysts wa western hawakuyawaza haya na hata sasa hawajayawaza ..........
 
Kaka wale waliokufa Donbas sio warusi bali Ukrainians wenye asili ya Russia. Mfano kwetu hapa Tanzania Zanzibar ijitenge, then kule Zanzibar waanze mauaji ya watu wenye asili ya huku bara.

Linyanyuke jeshi la Tanzania kwenda kuwatetea, Kenya Uganda na nchi zingine zote Africa ziingie Zanzibar kupigana na sisi huku bara.

What most people don't understand, Western sio kwamba hawajui Ukraine kuna Nazis, they know it but its Russia whom they after. So we can see they are ok calling Azov as far right not Neo-Nazis as they were used before.

In my view, this is not about Ukraine but an attempt by west to destroy Russia.

I can't force anyone to think or have same perspective like me. We are free creatures, every one can take a side He/She desires.

NB: Even evils gotta soms people among us to defend. Kila kundi halikosi wafuasi no matter liko sawa au si sawa.
Why westerners are ganging up against Russia?
 
Hao vibaraka wa west wapo kila pembe ya dunia (sio Ukraine pekee) ina maana hata hao wanatakiwa wakaombe msamaha kwa Putin.

Ushahidi uliotolewa kuhusu biological weapons haujajitosheleza ndio maana hata UN ilibaki kimya.

Huko Donbass hawajafa warusi pekee ila hata raia wema wa Ukraine, isitoshe waanzilishi na ufadhili wa hivyo Vita vya Donbass ni Urusi.
Tuambie vigezo vya kujitosheleza vikoje.
 
Back
Top Bottom