Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Urusi hii Vita, hatoisahau, na kamwe hatoshinda hii vitaOver confidence
Platoon inakaa for days bila surveillance.
Halafu why msafara kama mwenge tena porini.
Urusi hii Vita, hatoisahau, na kamwe hatoshinda hii vitaOver confidence
Platoon inakaa for days bila surveillance.
Halafu why msafara kama mwenge tena porini.
Taratibu pro Russia mnaanza Ku admits defeatHiyo ni loss in war...inauma, but ndo gharama za vita hasa unapopigana na jirani.
Pole Russia, but songa mbele
... fashisti kwa leo hajaropoka neno nyuklia? Maana kwake haiwi siku pasi na kuharisha hilo neno.Labda cake ya birthday
😂 😂 basi anaakili nyingi, kwakipigo anachopata lakini bado anakariri maneno anayo andikiwa kamanikweli siamini.Anapanga wapi maneno ya kuandikiwa...
Wakati Putin anaachana na Kiev na kwenda kusini mashariki,kuna watu walisema hajui anachotaka,hii ni kutoka Kiev penyewe,ndio maana Zelensky anapambana kufa kopna kuirudisha bandari, yaani Puti kawashika pabaya.
Haya makenya hata kiswahili hayajuiNapata shida sana kukuelewa kiswahili unachotumia kitofauti sana.
Zaidi ya ugumu wa kuelewa lugha unayotumia sijaona cha maana ulichoandika kujibu post yangu.
Alafu juu unadai wafini wameona hawapo salama (baada ya ukr invasion) alafu chini unasema hwaogopi jeshi la urusi. Sasa kama hawaogi wanakimbilia/lazimisha kujiunga NATO ili nini!? Umeona upupu unaoongea ulivyo!?
Mwanzoni hawakuwa wanataka kujiunga NATO, baada ya Ukr kuvamiwa na wao wakaona hawako salama wakataka kujiunga NATO lakini hapo hapo hawaogopi[emoji1787] unachekesha! Au ndio lugha inasumbua!?
Kushinda anaweza kushinda ila kutamgharimu. Wanajeshi 8000 kama mercenaries wanaingia Ukraine na vifaa. From 19 may kutakuwa na hatari .Urusi hii Vita, hatoisahau, na kamwe hatoshinda hii vita
Uhuru wa Maoni [emoji23]
[emoji23]nilichogundua upande wa Russia kuna nondo za kutosha, huku Ukraine wakileta habari za hisia/huruma
in all Nato wanasound kishoga humu kuanzia miandiko hadi kauli zao.
Akili wapi kwani waandshi wa habari wamekariri taarifa yote nzima [emoji23]... Unaniangusha jomba.[emoji23] [emoji23] basi anaakili nyingi, kwakipigo anachopata lakini bado anakariri maneno anayo andikiwa kamanikweli siamini.
Namuonea huruma sana.
[emoji23] wana haki zao rafiki, so ukizingua tunakusema unyimwe msaada [emoji847]Uhuru umezidi sasa[emoji28]
Atashinda vipi ikiwa bado hapati mafanikio mara anaridishwa nyuma nk..Kushinda anaweza kushinda ila kutamgharimu. Wanajeshi 8000 kama mercenaries wanaingia Ukraine na vifaa. From 19 may kutakuwa na hatari .
Shida iliyopo hii ni vita endelevu na mzee mzima USA ndani ya nyumba. Russia asipomal8zana nawale jamaa ndani ya handaki within this three days anaweza akapapoteza pale. Ana front zaidi ya tano anybody akave.
Kibaya toktok nyingi sana ambazo anaonyesha location aliyepo at any time t.
Mjamaa una njozi tamu sana nakuombea uendelee kulala hivyo hivyo maana utakapo amka utakuwa very disappointed. Utakuta vitu ni tofauti sana na ulivyootaKushinda anaweza kushinda ila kutamgharimu. Wanajeshi 8000 kama mercenaries wanaingia Ukraine na vifaa. From 19 may kutakuwa na hatari .
Shida iliyopo hii ni vita endelevu na mzee mzima USA ndani ya nyumba. Russia asipomal8zana nawale jamaa ndani ya handaki within this three days anaweza akapapoteza pale. Ana front zaidi ya tano anybody akave.
Kibaya toktok nyingi sana ambazo anaonyesha location aliyepo at any time t.
Kuna mtu anajaribu kucheza na akili za watu, hilo tukio linaleta maswali mengi kuliko majibu!Sio wewe tu unayejiuliza hilo swali bali wachambuzi wengi wanajiuliza juu ya ufanisi wa jeshi la anga la Urusi kwenye hii vita
Hichi kinaitwa kipigo Cha mbwa Koko.Putin anaroho ngumu kama ya Farao .Pamoja na vifo vya wanajeshi wake wengi Pamoja na hasara ya vifaa vyake vya kijeshi hakati tamaa.Wakati wanajeshi wake wanakufa vitani,yeye amejificha handakii[emoji848]
....Ukraine yawaua wanajeshi 1000 wa Urusi waliojaribu kuvuka mto kuingia Ukraine
Acha tuoneMtazamo wangu kuhusu Finland na Sweden kujiunga NATO
Nina Imani kabisa urusi hataingiza majeshi au kuipiga kijeshi Finland, maana lengo la marekani na nato ni kutaka kuifanya urusi ionekane ni nchi korofi wakati Siyo kweli bali wanamchokoza
Kwa hiyo kikubwa atakachofanya ni kufunga gas na Oil, huku akiacha muda uwe mwamuzi, unajua Kwa nini nasema muda uwe mwamuzi??, Ni Kwa sababu
Mpaka sasa urusi kawakamata sehemu nyeti NATO na USA, Kwa sababu ya oil, gas, chakula na vikwazo walivyoweka EU
Juzi Kati Joe Biden alisema kuwa wanafanya juu chini kutoa nafaka Tani 20milioni kutoka Ukraine ili isambazwe ulimwenguni kupunguza baa la njaa, Kwa maneno mangine ni kuwa janga la njaa ni real ipo njiani inakuja, ndiyo sababu ya lile tukio la kuteka kisiwa ambapo Ukraine imeangukia pua Kwa kupigwa vibaya Sana, lengo la operation hiyo ni kutaka kufungua bandari ili kumsafirisha nafaka
Kwa hiyo kipindi cha baridi ulaya watahitaji gas Sana, viwanda vingi kufungwa Kwa kukosa malighafi hii itasababisha raia ambao hawana kazi inaongezeka, hapo hapo njaa itapiga na chakula bei kupanda Sana kufikia raia kushindwa kumudu, hapa ndipo chanzo cha machafuko utakapoanza, hakuna jeshi litakalozuia raia mwenye njaa, Kwa hiyo ndiyo sababu ya ulaya na marekani kuangaika kila Leo ili kufikia kipindi hicho wawe wamepata suluhisho au nchi hizo ziwe vitani wapate sababu ya kukosekana chakula, nataka niione Finland kipindi cha baridi kama raia hayo mateso
Hapa ndipo mrusi atatumia chakula na gas kama bargain chip, kwamba ili mpate chakula,gas na oil basi ondoeni vikwazo na zile nchi zote zilizokuwa Balkan zijiondoe au ziondolewe NATO, Kwa hiyo hizi nchi zitaondolewa au kujiondoa zenyewe
Hapa ndipo ninapohisi sababu ya kufanya operation hii kuchukua muda mrefu ili ukifika muda sahihi EU na NATO watalazimika waje mezani kupata suluhisho
Mbona hii picha ni ya zamani sana?
Ina zaidi ya miezi miwili inaonekana kwenye huu uzi.