Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna daraja bali ni warusi walitengeneza daraja la muda ili kuvuka.wanajeshi elfu moja unaona kama ni jambo jepesi jepesi tu kwenye uwanja wa vita.

Kwanza ukraine wamajuaje kama wameuwa hata mtu mmoja ikiwa ilo eneo halipo kwenye himaya yao.baada ya kutokea ilo shambulizi warusi walijipanga tena na kuvuka kwenye uwo mto.
Taarifa inasema darajani mnaleta picha za msituni [emoji23], Ok so kwa taarifa yako unadai BBC ni waongo waliosema ni 1000, media kubwa kama hiyo inashindwa kuchuja taarifa sahihi na fake ni ipi [emoji848]View attachment 2223455
 
Andunje atulie dawa iingie.
JamiiForums-825729205.jpg
 
Hakuna daraja bali ni warusi walitengeneza daraja la muda ili kuvuka.wanajeshi elfu moja unaona kama ni jambo jepesi jepesi tu kwenye uwanja wa vita.

Kwanza ukraine wamajuaje kama wameuwa hata mtu mmoja ikiwa ilo eneo halipo kwenye himaya yao.baada ya kutokea ilo shambulizi warusi walijipanga tena na kuvuka kwenye uwo mto.
Wanatengeneza taarifa za uongo balaa, kama matoto vile sijui ndio kuchanganyikiwa huko... Waje TZ uku waajiri wadau wababe tuwapangie uongo wenye mashiko [emoji23][emoji23][emoji23].

Wanazidiwa na wale matapeli wa mtandaoni wagum kuwashtukia kuliko hawa.
 
Ilo eneo linamilikiwa na warusi.ili ujue watu elfu 1 wamekufa ni lazima uwepo eneo usika.sasa ukraine amejuaje kama wamekufa elfu 1 wakati ajaenda hata eneo la tukio.

Big propaganda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taarifa inasema darajani mnaleta picha za msituni [emoji23], Ok so kwa taarifa yako unadai BBC ni waongo waliosema ni 1000, media kubwa kama hiyo inashindwa kuchuja taarifa sahihi na fake ni ipi [emoji848]View attachment 2223455
 
Hakuna daraja bali ni warusi walitengeneza daraja la muda ili kuvuka.wanajeshi elfu moja unaona kama ni jambo jepesi jepesi tu kwenye uwanja wa vita.

Kwanza ukraine wamajuaje kama wameuwa hata mtu mmoja ikiwa ilo eneo halipo kwenye himaya yao.baada ya kutokea ilo shambulizi warusi walijipanga tena na kuvuka kwenye uwo mto.
Umeuliza swali la kiboya sana mwenzangu, kwani hujawai kuskia kitu inaitwa drone. Sio lazima wafike kwa miguu, hapo ni drones na zile M777s walizopewa zimetumika.
images.jpeg
 
Katika hii vita hasara aliyo ipata Urusi kwa asilia 80 imesababishwa na jeshi la anga kutotimiza majukumu yake ipasavyo.

Sijui ndani ya jeshi la Urusi kuna mamruki
Wanafanya makusudi ili kuwakomoa wana siasa ?

Maana haiwezekani nchi yenye jeshi la anga lenye ndege zaidi 4000 na herkopita zaidi ya 1000 na ambayo ni muuzaji mkubwa wa mifumo ya ulinzi wa anga duniani eti ishindwe kulinda misafara yake.

Hata wanajeshi wa ardhini wa Urusi wamekuwa hawapati msaada wa kutosha angani hasa ndege za kudondosha mabomu ili kuyadidimiza mahandaki ambayo wanajeshi wa Ukraine wana kuwa wanajificha kitu kinacho wapa faida ya kufanya Ambush za kudhutukiza na kuyarudisha nyuma majeshi ya Urusi kirahisi.
Mm ningekuwa Putin mkuu wa jeshi la anga asingekuwa na kazi.
Tatizo ni teknolojia, Nato wapo mbali sana katika teknolojia na ndio maana unaona ni namna gani Russia anateseka.

Tatizo watu wengi walipumbazwa na zile shoo off za machimachuma za Urusi ila tulisahau ule usemi usemao "Debe tupu haliachi kupiga kelele"
 
We sehemu ambayo kumepigwa na bomu utawezaje kuona maiti kwenye drone au unaona izo drone za kijeshi inakuja mpaka miguuni.ebu tuombe msamaha kwa kutufanya sisi kama watoto wadogo.

Ebu nitumie picha hata moja ya vita yoyote ile iliyopigwa na drone ikimuonyesha mwanajeshi kafa
Umeuliza swali la kiboya sana mwenzangu, kwani hujawai kuskia kitu inaitwa drone. Sio lazima wafike kwa miguu, hapo ni drones na zile M777s walizopewa zimetumika.View attachment 2223483
 
Hakuna daraja bali ni warusi walitengeneza daraja la muda ili kuvuka.wanajeshi elfu moja unaona kama ni jambo jepesi jepesi tu kwenye uwanja wa vita.

Kwanza ukraine wamajuaje kama wameuwa hata mtu mmoja ikiwa ilo eneo halipo kwenye himaya yao.baada ya kutokea ilo shambulizi warusi walijipanga tena na kuvuka kwenye uwo mto.
Wewe jamaa vipi kuna mpaka video ziko wazi zinaonesha warusi wanavyoteseka.

Tofautisha kati ya fake news na propaganda. Kuna propaganda zingine nizakweli ila zenye lengo la kuvunja morale ya askari wa adui
 
We sehemu ambayo kumepigwa na bomu utawezaje kuona maiti kwenye drone au unaona izo drone za kijeshi inakuja mpaka miguuni.ebu tuombe msamaha kwa kutufanya sisi kama watoto wadogo.

Ebu nitumie picha hata moja ya vita yoyote ile iliyopigwa na drone ikimuonyesha mwanajeshi kafa
Duh...ubishi huu..
 
Vifaru 14 plus wanajeshi 1000 darajani.

An avarage of 72 personnel per Tank,

Duniani Nchi pekee yenye kifaru chenye uwezo wa kubeba wanajeshi 72 kinapatikana Russia according to Western media.

Wow! We are astonished with such an advancement. Ukraine is winning, hail to "Azov", Russia is loosing so much.

Ukiwa na mtindio wa Ubongo hizi taarifa zinafurahisha sana na Ni za kuaminika mno sio Propaganda.
Hawajui HATA idadi Hawa PRONATOAMERICA .... Kuna mwehu Mmoja alikuja na habari eti Ili Urusi kushinda Kamanda kaomba jeshi la watu kati ya 600,000 mpaka 800,000 ., Na Hawa nao wanashupalia shambulio hilo kuua watu zaidi ya 1000 hivi wanafahami watu 1000?? Tena wanajeshi wajilunde sehemu Moja

Hawa ni wajinga sana yaaani.....
 
Back
Top Bottom