Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati Putin anaachana na Kiev na kwenda kusini mashariki,kuna watu walisema hajui anachotaka,hii ni kutoka Kiev penyewe,ndio maana Zelensky anapambana kufa kopna kuirudisha bandari, yaani Puti kawashika pabaya.
PUT IN
Jamaa anajua watakuja tu mezani nahapo wakitua mezani ndio watajuta shenzi zao
Jamaa wanaplan sana asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeuliza swali la kiboya sana mwenzangu, kwani hujawai kuskia kitu inaitwa drone. Sio lazima wafike kwa miguu, hapo ni drones na zile M777s walizopewa zimetumika.View attachment 2223483
Zikaanza kuhesabu maiti mpaka za kwenye tanks....bolara wazazi wako wangetumia tu kondom kuliko kuleta hasara kama hiii duniani.
 
Hawajui HATA idadi Hawa PRONATOAMERICA .... Kuna mwehu Mmoja alikuja na habari eti Ili Urusi kushinda Kamanda kaomba jeshi la watu kati ya 600,000 mpaka 800,000 ., Na Hawa nao wanashupalia shambulio hilo kuua watu zaidi ya 1000 hivi wanafahami watu 1000?? Tena wanajeshi wajilunde sehemu Moja ....Hawa ni wajinga sana yaaani.....
Hio convoy ilikua inasubiri bridge iundwe wavuke ndo bahati yao mbaya Ukraine wakapata intelligence.
 
Vifaru 14 plus wanajeshi 1000 darajani.

An avarage of 72 personnel per Tank,

Duniani Nchi pekee yenye kifaru chenye uwezo wa kubeba wanajeshi 72 kinapatikana Russia according to Western media.

Wow! We are astonished with such an advancement. Ukraine is winning, hail to "Azov", Russia is loosing so much.

Ukiwa na mtindio wa Ubongo hizi taarifa zinafurahisha sana na Ni za kuaminika mno sio Propaganda.
Nakusaidia tu kuwa broza huna akili na wala hutaki kuushirikisha ubongo wako
 
Hakuna ukweli hapo bro.hata askari 100 hapo awajafa
Ukweli niupi sasa wewe ulio nao, unakuwa brain washed ni ushabiki wa ajabu, unafikili Russia hawezi kupeteza kwenye battle.

Foolish kabisa, usa mwenyewe anaweza kuingia kwenye battle na akachapwa vizuri tu. Kinachoshinda vita ni courage ya kupambana na mbinu bora za kumdhibiti adui. Russia sio malaika anachapwa vizuri kama akiingia vibaya.
 
Zikaanza kuhesabu maiti mpaka za kwenye tanks....bolara wazazi wako wangetumia tu kondom kuliko kuleta hasara kama hiii duniani.
Boss hio 1000 ni estimates kutokana na vifaru walivyolepua. The number could be more or less the reality
 
Aseeee ..... Nyie ni wakutibiwa huo ugonjwa wa akili ... Hivi unakifahamu watu 1000!!?? Tena wanajeshi walundikane sehemu Moja ...hata mgambo hawawezi fanya huo upumbafu....
The number could be more or less the reality. Hio ni estimates
 
Hakuna ukweli hapo bro.hata askari 100 hapo awajafa
Hakuna kinachoua askari wengi top down decision making. Kuna mokosa huwa ni common yanatokea kwenye utawala wa vikosi.

Kamanda anaweza kujenga daraja bila kufanya reconnaissance ya kutosha mwisho wa siku mnapigwa counter attack.
 
Nakusaidia tu kuwa broza huna akili na wala hutaki kuushirikisha ubongo wako
Jamaa mi mtupu kabisa, Yani hapo ndio nimejionea[emoji16]

Chini ya haya maelezo kutakuwa na picha ahesabu vifaru, magari na temp base zilivyoharibiwa plus kila kitu kimewekwa number ahesabu vizuri.

Yani Hawa warusi wa bongo hawaamini kama zaidi ya wanajeshi 1000 wamekufa[emoji3]

Watu wanamipango,

Comment moja ya mdau inayo muelezea kijana alie wazidi akili warusi[emoji16]

[emoji116]
Hes the EOD (explosive ordnance disposal) Tech who surveyed the area and figured out where russian forces would set up the bridge, he then relayed that to the artillery which used the data to accurately target the area for a saturation of heavy fire.

Mtu alienda ku survey eneo before warusi na alijua lazima wajae na wamejaa..

Tunajua mna mapenzi na Russia but ukweli ni wamekutana na kichapo heavyweight kwa wakati mmoja.

Link ya video, kuona tukio[emoji116]



Picha kwa wale vichwa ngumu, [emoji116]View attachment 2223516View attachment 2223518View attachment 2223517View attachment 2223519View attachment 2223520View attachment 2223522View attachment 2223521
20220513_224917.jpg
 
Back
Top Bottom