Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dunia ipo kimya as if hilo tukio limetokea mbinguni. Kuna watu wanadai hawana upande humu wanakemea uonevu haijalishi nani kafanya. Lakini hadi sasa sijamskia hata mmoja wao kukemea. Huo tunaita ni unafiki mkubwa.

So they want us to stand with Ukraine, je Palestine and other Victim duniani kote sio watu? Don't they need our attention? Ukiwa mbaguzi ukubali kubaguliwa.

For those who weren't aware why Middle east wote are standing with Russia hivi sasa we bet majibu mnayo.
@Tsh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mi mtupu kabisa, Yani hapo ndio nimejionea[emoji16]

Chini ya haya maelezo kutakuwa na picha ahesabu vifaru, magari na temp base zilivyoharibiwa plus kila kitu kimewekwa number ahesabu vizuri.

Yani Hawa warusi wa bongo hawaamini kama zaidi ya wanajeshi 1000 wamekufa[emoji3]

Watu wanamipango,

Comment moja ya mdau inayo muelezea kijana alie wazidi akili warusi[emoji16]

[emoji116]
Hes the EOD (explosive ordnance disposal) Tech who surveyed the area and figured out where russian forces would set up the bridge, he then relayed that to the artillery which used the data to accurately target the area for a saturation of heavy fire.

Mtu alienda ku survey eneo before warusi na alijua lazima wajae na wamejaa..

Tunajua mna mapenzi na Russia but ukweli ni wamekutana na kichapo heavyweight kwa wakati mmoja.

Link ya video, kuona tukio[emoji116]



Picha kwa wale vichwa ngumu, [emoji116]View attachment 2223516View attachment 2223518View attachment 2223517View attachment 2223519View attachment 2223520View attachment 2223522View attachment 2223521View attachment 2223523
Ukiona hizi picha zote na bado ukabisha basi utakuwa na matatizo[emoji16]
 
Hakuna kinachoua askari wengi top down decision making. Kuna mokosa huwa ni common yanatokea kwenye utawala wa vikosi. Kamanda anaweza kujenga daraja bila kufanya reconnaissance ya kutosha mwisho wa siku mnapigwa counter attack.
Askari elf moja RUSSIA angetumia hata chemical weapon
Mmekua zaidi ya brain washed!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukisema mmezidiwa akili na ufanisi na wa Ukraine mnaona tunatania ona sasa hizi dharau za bwana mdogo alie watandika[emoji3]
Screenshot_20220513-231221.jpg
 
Hawajui HATA idadi Hawa PRONATOAMERICA .... Kuna mwehu Mmoja alikuja na habari eti Ili Urusi kushinda Kamanda kaomba jeshi la watu kati ya 600,000 mpaka 800,000 ., Na Hawa nao wanashupalia shambulio hilo kuua watu zaidi ya 1000 hivi wanafahami watu 1000?? Tena wanajeshi wajilunde sehemu Moja ....Hawa ni wajinga sana yaaani.....

Taarifa za awali zilidai Ukrainian walilipua daraja wakiwa wana retreat, Vifaru walianza kusema 7, ikaja 14 sasa wanadai 70 hadi 100...

Hapa badala ya Picha ya darajani wanaleta picha za msituni [emoji23], wanapishana na habari yao wenyewe.

Kingine Urefu wa kifaru kimoja full ni kama Meter 10 kasoro, Urefu wa Vifaru 100 ukiongeza na space between kwenye msururu ni kama urefu wa KM 2 hivi. Kadaraja kenyewe ukikatizama hata Meter 100 na wasi wasi kama zinafika.

Urefu wa metre 100 unapanga maximum ya Vifaru 8 tu tena hapo vimekaribiana sana katika kutembea.

Huyo toto nae anakuja na story za Drones ha ha ha Unahitaji Drones ngapi za kuangamiza huo msururu wa KM 2 at once? Hapo usisahau kama keshapingana na madai ya awali ya tukio hilo kutokea darajani...

Kama uwezo huo wanao hao wanajeshi wa Urusi hadi leo hapo Ukraine wanatafuta nini... Si wangekuwa washaiangusha Moscow sasa hivi.

Kama wanaweza kuangamiza vifaru 100 wanashindwaje kukomboa wanajeshi wao kule shimoni? Wanashindwa vipi kukomboa bandari yao wanabaki kulia lia eti Janga la njaa laja kama Putin asipoiachia hiyo bandari.
 
Nilizungumza kuhusu hizi M777s hotwizers zenye uwezo wa kupiga 40 kms away Sasa kazi yake mmeiona. Yani kwa silaha za kuazima Ukraine wanamjambisha Putin, je wakipigana na USA baba lao 🤔
IMG_20220513_230410.jpg
IMG_20220513_230412.jpg
 
Zikaanza kuhesabu maiti mpaka za kwenye tanks....bolara wazazi wako wangetumia tu kondom kuliko kuleta hasara kama hiii duniani.
Akili yako fupi.

Majeshi huwa hufanya upelelezi kabla ya kushambulia (Kujua aina ya silaha, idadi ya Askari, idadi ya silaha nk) na hizo information hukusanywa kwa njia mbalimbali (informer, spy drones, nk) sasa unapopewa data kama hizo wala usishangae sababu ni jambo la kawaida sana
 
Bwana Galip Vrl kazi ya drones ni reconnaissance na mashambulizi madogo. Kazi kubwa ya ushambulizi imefanywa na artillery teams.
 
Bwana Galip Vrl kazi ya drones ni reconnaissance na mashambulizi madogo. Kazi kubwa ya ushambulizi imefanywa na artillery teams.
Miji kibao inajiunga na Russia karibu na ODESSA.

Nato wanaomba kupewa mradi wa Bagamoyo. Nato yaani USA wameomba kuweka military base Zambia ambako mchina ana mkataba wa kijeshi na kambi. Nadhani Africa imeanza kuguswa .

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Miji kibao inajiunga na Russia karibu na ODESSA.

Nato wanaomba kupewa mradi wa Bagamoyo. Nato yaani USA wameomba kuweka military base Zambia ambako mchina ana mkataba wa kijeshi na kambi. Nadhani Africa imeanza kuguswa .

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Ni miji gani karibu na Odessa inayojiunga na Urusi ???
 
Back
Top Bottom