Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkiona idadi haieleweki mnajifanya hakuna anayejua idadi, enhe hawa BBC waneitoa wapi View attachment 2223556
Sidhani BBC wanaweza kujua maana ushuhuda ni picha hizo. Usiamini kila kitu unachoona kwenye taarifa!

Picha zinatoaushuhudu kwamba battle group imeangamizwa, na idadi ya wanajeshi katika battle group ni takriban watu 1,000. nadhani hapo walipata idadi wanayotaja.

Hii ingemaanisha kwamba kila gari na kifaru liliangamizwa na askari wote walishindwa kutoka - sidhani ilikuwa vile. Lakini hii ni hoja yangu, ukipendelea wote walikufa, basi maoni yako.
 
Artillery haiwezi KUUA askari 1000 kama hakukuwa na askari wa miguu wa UKRAINE kusafisha Na sidhani askari wangevuka daraja la pantoon wakiwa kwenye trucks na extended formation Daraja huvukwa single file . Mstari mmoja au miwili mirefu hivyo utapiga sio zaidi ya 60

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Hiyo idadi ni according na vyanzo vya Ukraine.
Lakini wataalam wanasema ni Kati ya wanajeshi 100-500 watakua wamekufa maana Ukraine imeangamiza battalion nzima kumbuka battalion moja inakua na wanajeshi mpaka 1000 au zaidi.

Pia ukiangalia hizo video Kwa umakini utaona hizo artillery hazijapiga hapo kwenye daraja tu bali na maeneo mengine ya pembezoni na msituni ambapo jamaa walikua wamepaki wakisubiri kuvuka.
 
Sidhani BBC wanaweza kujua maana ushuhuda ni picha hizo. Usiamini kila kitu unachoona kwenye taarifa!.
Ni leo mzee ndio unatambua hili au wafaham toka mwanzo? Dah [emoji23] Ase njooni mshuhudie huku mzee wetu leo kaamua atueleze ukweli [emoji119][emoji847]
abdulqadirj
Jesus Mlokozi
Champagnee
Bwana Utam
wa kupuliza
triga
babu na mjukuu
1954
Mtoto wa nzi
DeepPond
Sikirimimimasikini
lee van cliff
ras jeff kapita
NYUNDO YA MOTO
Ask HQ
zipompa
DINHO
Liwagu
bibingi
manning
MR MAJANGA
kilwakivinje

Na wadhamini wa haja [emoji23] mdogo angu Coco Master na Shabiki mwenzangu bobby_Barbosa_9
 
Jeshi la Urusi linatumia mara kwa mara droni (ndege bila rubani) ya Orlan-10. Kazi yake ni upelelezi na kuongoza silaha kama roketi na grenedi za mizinga aina ya Krasnopol.

Soma hapa uchambuzi wa silaha hiyo, inayotegemea vipuri kutoka Marekani na Ulaya. Kadri vikwazo vya kitekinolojia vinafaulu, vipuri vinapatikana kwa njia ya magendo pekee - au havipatikani tena.
 
These can be interpreted as sign of failure by US in Ukraine against Russia.

[emoji631][emoji779]Pentagon: Arms supplies to Ukraine from the United States may be suspended if the Senate does not support the project on the allocation of new aid by May 19, 2022.

Ni kama wanaandaa mazingira ya kujitoa Ukraine.
Mbio za sakafuni hizi
 
Hio convoy ilikua inasubiri bridge iundwe wavuke ndo bahati yao mbaya Ukraine wakapata intelligence.
Hahahaha achana nao hao jamaa Leo wamepanik baada ya kupigwa kerbu matata na Ukraine.

Wanakataa takwimu za Ukraine lakini Mrusi akisema kaua wanajeshi wa Ukraine 500 Kwa kurusha Makombora usiku mzima yanakubali, Ukraine akisema yanasema propaganda [emoji23][emoji23]
 
Sasa ni zamu ya Urusi,warusi wameamua kuvunja Daraja huko Kharkiv kuogopa kushambuliwa na Ukraine wanaozidi kusonga mbele.
 
Ni leo mzee ndio unatambua hili au wafaham toka mwanzo? Dah [emoji23] Ase njooni mshuhudie huku mzee wetu leo kaamua atueleze ukweli [emoji119][emoji847]
abdulqadirj
Jesus Mlokozi
Champagnee
Bwana Utam
wa kupuliza
triga
babu na mjukuu
1954
Mtoto wa nzi
DeepPond
Sikirimimimasikini
lee van cliff
ras jeff kapita
NYUNDO YA MOTO
Ask HQ
zipompa
DINHO
Liwagu
bibingi
manning
MR MAJANGA
kilwakivinje

Na wadhamini wa haja [emoji23] mdogo angu Coco Master na Shabiki mwenzangu bobby_Barbosa_9

Kuna vitu ukichunguza unaona ni propaganda tu[emoji3]. Anyway nipo samak samak hapa namsapoti putin na moja baridi ya ushindi. US washalegea huko baada ya kuona wamefeli pale nyoka island manake watakufa kwa njaaa[emoji3]
 
ukijumlisha na ile 26350. unapata jumla ya askari 36350+ walio kufa.
kijeba vita vimemshinda. kaanza kuwaomba magharibi wamahinikize comedian aache vita.
comedian anasema next stop crimea.
mbilikimo anatafta shimo la kutokea halioni
Kwa wanaokumbuka,idd amin mwaka 1972 alitupiga kwenzi,tukatetewa akatuacha, alipoona tupo kimya mwaka 1978

akarudia akidhani mambo ni yale yale alikujakushangaa baada ya kukomboa aneo la missenye jeshi la tanzania likazama ndani na kumtupa nje ya uganda.
Jeuri ni mbaya na inawezamgharimu Putin kimzaa mzaa.
 
Comedy wenu huyu [emoji3][emoji3]
IMG_3064.png
 
Rais wa Ukraine anasema anaweza kuzungumzana Putin- ila sharti pasiwe na waamuzi,

Ameeleza Kwa kina kwamba

Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky yuko tayari kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vradmir Putin, ila "pasiwepo na mtu mwingine yeyote wa kuwapatanisha", rai swa Ukraine ameiambia televisheni ya Italia , channel Rai 1.

Zelensky amesema anaweza kuzungumza tu na Putin, "kwa masharti ya mazungumzo, sio kwa kulazimishwa ".

Amesema "hatua ya kwanza ya wazi " ya kufanya mazungumzo inaweza kuwa wakati Urusi itakapoondoa vikosi vyake kutoka Ukraine.

Aliongeza kuwa ana kesi zaidi za '' ukatili wa wazi '' uliofanywa na warusi ambao ulionekana. kama ule uliofanyika katika Bucha , Borodyanka au Mariupol, jambo ambalo haliwezi kuvumiliwa katika mazungumzo yoyote na Warusi.

Ukraine na Urusi bado hazijafanya mazungumzo ya ana kwa ana tangu tarehe 29 machi na mpatanishi mkuu wa Moscow, Vladimir Medinsky, amekuwa akisema kuwa mazungumzo yalifanyika kwa njia isiyo ya ana kwa ana.

bbc chanzo
Huku anabweka huku anaomba
 
Ni leo mzee ndio unatambua hili au wafaham toka mwanzo? Dah [emoji23] Ase njooni mshuhudie huku mzee wetu leo kaamua atueleze ukweli [emoji119][emoji847]
abdulqadirj
Jesus Mlokozi
Champagnee
Bwana Utam
wa kupuliza
triga
babu na mjukuu
1954
Mtoto wa nzi
DeepPond
Sikirimimimasikini
lee van cliff
ras jeff kapita
NYUNDO YA MOTO
Ask HQ
zipompa
DINHO
Liwagu
bibingi
manning
MR MAJANGA
kilwakivinje

Na wadhamini wa haja [emoji23] mdogo angu Coco Master na Shabiki mwenzangu bobby_Barbosa_9
Mkuu Mimi hao hata msg zao sisomi. Utabishanaje na robot ⁉️
 
Askari elf moja RUSSIA angetumia hata chemical weapon
Mmekua zaidi ya brain washed!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa ni mwelewa lakini unataka kuleta ubishi wa kishabiki, ifike muda uoneshe angalau curiosity sio ku generalize.

Mkiwa front mnaweza kupewa order mbovu ikagharimu maisha ya hata ya battalion nzima. Kwenye hiyo ambush aliopigwa Russia kapoteza askari wengi, lakini wanaweza wasifike buku. Kilichowakuta wakuta russia kinaweza kilikuta jeshi lolote ikitegemea na uwezo wa adui yako.
 
Kuna mtu anajaribu kucheza na akili za watu, hilo tukio linaleta maswali mengi kuliko majibu!
Kwanza, hao wanajeshi walipanda wote kwenye hilo pantoni kwa wakati mmoja pamoja na vifaru na magari yao na vifaa vingine,!?
Pili,hawakuwa na ulinzi wowote huko Urusi wanapotoka Wala Ukraine wanapokwenda?
Tatu, na Kama wengi walijirusha mtoni na kufa maji inaama wengi wao hawakuweza kuogelea au huo mto una Mamba wengi,Viboko, Papa au nyangumi waliowameza!?
Mambo Kama hayo huwatokea born town wanapokwenda picnic na wanafunzi wanapokwenda kutalii na sikwawanajeshi waliopo vitani...!!!
Idadi iliyotajwa ni kubwa Sana haikubaliki.
Haya yanatokea Sana ndani ya uwanja wa vita. Kwa mfano mmepewa order na kamanda wenu kusonga mbele kwenye eneo flani la mkakati mbele kuna kuna mto.

Intelligence unit yetu inaleta taarifa kuwa tujenge daraja tupite hakuna tatizo. Air surveillance inaonesha poa tu nendeni. Ili mnavuka tu mnakutana na mapigo kumbe ulikuwa mtego wa adui ambae ametumia invisible strategy.
 
Back
Top Bottom