Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ukiwauliza baada ya kuwapa kichapo mbona hamjaichukua wanatoka mbio
Hapa ndo hawawezi kukujibu kabisa
Ukiwauliza baada ya kuwapa kichapo mbona hamjaichukua wanatoka mbio
Kichapo kipi Tena?! Maana naona Kuna watu wakubwa wanataka kuwe na ceasefire...au una maana ya kichapo Cha mitandaoni... kwa kichapo alichokula leo lazima fashisti aweweseke vibaya.
Emerging kutoka wapi?wakati ilsha fall.May be fahari wawili hawakai zizi moja. Wewe je wawaza nini? C'se this to me is like a fight between Unipolar world (Western Hegemony) agaisnt emerging multipolarity world (Russia and Co.)
I welcome your view buddy, share with us what you know so far.
This is inhuman behavior!!! Hii haikubaliki Hata kidogo.View attachment 2223301
Polisi Israel wanawapiga waombolezaji wanapemda kumzika Mwandishi wa habari aliyeuliwa Kwa risasi na polisi wa Israel .... Lakini dunia IPO kimya tu.
Ufafanuzi mzuri.Mkuu kwani lini Urusi alikuwa na air cover. Hata Kyev aliingia kama gurioni vifaru vinakuja kama viko parade angani hamna kitu wanapigwa tu.
Pale Snake island wiki hii ambapo boti tatu za Raptor ambazo mojawapo iliwahi msindikiza Putin kwenye naval base ziliposhambuliwa na Bayraktar TB2 kuna radio communication zilinaswa Warusi waliokuwemo kwenye boti wanalalamika hakuna air cover.
Palepale Snake island ambapo video clip moja ipo YouTube inaonesha Bayraktar inashambulia Russian position na Pantsir air defence system ipo active na radar inazunguka ila ikashindwa kufanya engagement. Tatizo lao ni lile lile mbona hata Moskva cruiser ilikuwa na radar na mizinga kibao ila ilishindwa kuipiga Bayraktar na ikashindwa kuzuia makombora mawili ya Neptune.
Hapo hapo Snake island kuna video nyingine ilionesha Bayraktar inashambulia helicopter ni kama jamii ya Mi-17 na kuilipua kwa kutumia guided bomb.
Sasa kama walishindwa kulinda Snake island wangewezaje kulinda pontoon bridge iliyoshambuliwa na artillery. Kumbuka artillery haina ulinzi, ni kumuwahi anayekushambulia ukatumia counter battery radar ukasoma yuko wapi na ukamshambulia kwa artillery zako. Sasa Russia artillery wanazotumia zina range fupi kuliko baadhi ya artillery walizopewa Ukraine mfano Caesar ya Ufaransa. Russia anazo Koalitsiya zina range ndefu sana ila kama kawaida yake, silaha nzuri na zenye gharama hana uchumi wa kufanya mass production kwahiyo hazipo sana kwenye matumizi.
Pontoon bridge ni very vulnerable ni kama beach landing kunakuwa na uhakika wa kupoteza wanajeshi na silaha kadhaa. Ila sio kupoteza kikosi kizima
Ukimuuliza tena anahama mada... "Finland is joining NATO" [emoji23]Hapa ndo hawawezi kukujibu kabisa
Hahaha huyu Jamaa yeye shida yake hua Ni wakurdi tu.Sorry kama habari hii imeishafika humu. Uturuki hataki Finland na mwenzake wajiunge NATO.
====
Turkish President Recep Tayyip Erdoğan declared on Friday that Ankara opposes the possibility of Sweden and Finland’s accession to NATO because he believes the two Scandinavian nations harbor ‘terrorists’.
By ‘terrorists’, the Turkish leader meant militants of the Kurdistan Workers’ Party (PKK), a separatist movement operating in southeastern Turkey, and members of the Revolutionary People’s Liberation Front (DHKP/C), an outlawed Turkish communist party.
The statement came after Helsinki and Stockholm demonstrated their intention to join the US-led military alliance.
“We are currently following the developments regarding Sweden and Finland [joining NATO], but we are not favorable towards it. At this point, it is not possible for us to have a positive approach,” the Turkish president told journalists.
“Scandinavian countries are unfortunately almost like guesthouses for terrorist organizations. PKK and DHKP/C are nested in Sweden and the Netherlands. And I'm going even further, in their parliaments,” he added.
Woiii anasoma kama Salimu Kikeke wa BeiBeiCiii 🤣🤣🤣🤣🤣yaaan jot wa Ukraine atoe nondo kichwani nafikiria hapa naishiwa nguvu NATO wenyewe wangeomba substitute 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌😂 😂 basi anaakili nyingi, kwakipigo anachopata lakini bado anakariri maneno anayo andikiwa kamanikweli siamini.
Namuonea huruma sana.
Mbona husemi kuwa Urussi ndo nchi iliyo vuluga amani ya Afghanistan.Kufananisha US invasion in Afghanistan vs Russian operation in Ukraine kunaonesha jinsi gani ujuzi wako kwenye haya mambo ulivyo, no offense!
1. Us invasion of Afghanistan ilifanywa baada ya Afghanistan kudhaifishwa na vikwazo. 1999 UNSC walipitisha resolution no 1267 lililoitambua Alqaeda na Taliban kama makundi ya kigaidi na kuwawekea vikwazo kwenye funding, travel na silaha. Kitendo hiki kiliidhohofusha sana Afghanistan iliyokuwa chini ya taliban.
Ukraine [emoji1255] kabla ya kuvamiwa haikuwekewa vikwazo kwanza walikuwa na ushirikiano mzuri na west na tangu 2014 Us/Nato wamekuwa wakiifadhili jeshi la ukr kwa hali na mali.
2. Us hakuivamia Afghanistan peke yake bali alikuwa na Uk ambaye baadaye alisaidiwa na Canada France Germany Australia wakati Urusi kaingia Ukraine mwenyewe. Kumbuka US walitangaza vita kbs dhidi ya /TalibanAlqaedaAfghanistan wakati urusi anafanya special operation tu. Learn the difference
3. Afghanistan baada ya kuvamiwa walikuwa isolated kbs na dunia nzima hakuna hata aliyewaonea huruma achilia mbali kuwasaidia kwa silaha na military infos wakati Ukraine anasaidiwa na majority ya dunia kuanzia silaha taarifa za kiitelijensia na hata solidarity kila mahali ss hv utaona #IstandwithUkraine
4. Us hakuwekewa vikwazo kufuatia uvamizi wake Afghanistan wakati urusi amewekewa vikwazo visivyoidadi mpk sasa
5. US hawakuwa na utaratibu wowote wa kuzingatia maisha na usalama wa raia wasio na hatia. Wengi waliuliwa wakati wa uvamizi huo hasa wanawake na watoto na hakukua na nafasi ya diplomasia. Urusi anachukua tahadhari kuruhusu raia waondoke maeneo hatarishi (humanitarian corridors) wakati huo mazungumzo yanaendelea na yanapopiga hatua mapigano anayapunguza ref. Kuretreat kiev baada ya kupiga hatua kidogo kwenye diplomasia, anatoa misaada ya kibinaadamu kwa raia wa ukr na wanajeshi waliojisalimisha na waliotekwa.
Ukiachilia hayo yote bado haikuwa rahisi kudefeat taliban wakati huo. Iliwachukua miezi miwili takriban mpaka kuwadefeat taliban na kuweka serikali ya muda (uvamizi ulianza oct 7 mpaka Taliban kukolapse dec 9). Mataifa makubwa kuungana na kuidefeat taliban dhaifu (vile) kwa muda wa miezi miwili sio jambo la kujifaharisha kwalo. They should have done better. Miaka 20 baadae mambo yamerudi kama zamani na hakuna kilichokuwa tofauti, what a waste!
Unaposema lengo lilikuwa kuhakikisha US soil haishambuliwi tena na magaidi unakosea kwa sababu huwezi kujua what the future holds. Tunaombea yasitokee lkn magaidi hawatabiriki miaka michache kuanzia ss hv huwezi kujua yepi yatatokea ndio kwanza muda mchache ss hv tangu us atoke afghan. Ugaidi ni swala la kukemewa duniani kote
Urusi amefanya operation yake hali ya kuwa ana vikwazo kwa maelfu. Anazingatia raia waso na hatia na kutoa nafasi kwa diplomasia, misaada ya kiutu, hajatumia silaha nzito sana (sio vita kamili), hajasaidiwa na taifa lolote lile, ukraine wanapata misaada kila uchwao, propaganda dhidi yake kila mahali duniani, mamluki kwa maelfu kuisaidia ukr, nk. Nk. Lkn bado anafanya progress kuelekea kukamilisha malengo yake.
1. Demilitarization
2. Denazification
3. Russian speaking UKRnians
4. Ukr not to join Nato*
Mbona husemi kuwa Urussi ndo nchi iliyo vuluga amani ya Afghanistan.
Kuinazification. Ukrain hao wanazi aliwelata Nan Wakati nch ilikuwa chini yake.
Kuzuia Ukrain isijiunge NATO. Kwa hoja hii Finland Jana amesha tuma maombi so aivamie.
Swali ni je Hao wanao ongea kirussi waanza kuteswa punde mafuta na Gesi yanapo gundulika au nchi inayopo shift polic zake?View attachment 2223375
Which democracy are yapping about? Those bitches who slaughtered Vietnamese,Syrians, Iraqis,Libyans and plundered their wealth? Or those stupid bloodmongers who support reckless killings of Palestinians on their own Soil? Huna akili ww.