Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dunia ipo kimya as if hilo tukio limetokea mbinguni. Kuna watu wanadai hawana upande humu wanakemea uonevu haijalishi nani kafanya. Lakini hadi sasa sijamskia hata mmoja wao kukemea. Huo tunaita ni unafiki mkubwa.

So they want us to stand with Ukraine, je Palestine and other Victim duniani kote sio watu? Don't they need our attention? Ukiwa mbaguzi ukubali kubaguliwa.

For those who weren't aware why Middle east wote are standing with Russia hivi sasa we bet majibu mnayo.

Wamarekani wa humu JF wanajua aliyekufa ni muarabu muislamu. Hivyo wanashabikia. Ukweli aliyekufa ni muarabu mkristo.

Baada ya kulijua hilo,wamejikuta kwenye tahayari,taifa wanaloamini kwao ni takatifu ndio linawaua

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Akili yako fupi. Majeshi huwa hufanya upelelezi kabla ya kushambulia (Kujua aina ya silaha, idadi ya Askari, idadi ya silaha nk) na hizo information hukusanywa kwa njia mbalimbali (informer, spy drones, nk) sasa unapopewa data kama hizo wala usishangae sababu ni jambo la kawaida sana
Na wenzako wanasema estimates wewe unakuja kusema actual nyie mna kamasi kichwani .sio ubongo huo .... Ubongo hauwezi kufikiri hivyo mfikiriavyo....
 
Russia hana uchumi mzuri usimlaumu mkuu wa jeshi la anga. Russia anategemea mikwara na kupigana vita za kina Syria na Libya ila mataifa makubwa yanamtoa jasho. Wala wasiwasi wangu juu ya uwezo wake haujaanza vita hii, ule upinzani wa Uturuki waliouonesha pale Libya, Syria na Azerbaijan dhidi ya Russia nilianza kuwa na wasiwasi na silaha za Urusi.
Mkuu si unakumbuka Ukraine ilienda mbio kununua hizo Bayraktar TB2 baada ya kuona kila zinakokutana na silaha za Mrusi zinapiga. Uzuri wenzetu wanafanya analysis hawasikilizi propaganda, Urusi miaka yote huwa inalaumu wale iliowauzia silaha kwamba hawafanyi training vizuri na maintenance ndio maana wanafeli ila hii hapa yenyewe inashindwa kuzitumia effectively.

Russian airforce zile fighters zao walizifunga electronic jamming pods ila zikawa zinadondoshwa kama kawaida. Technology yao sio kubwa sana
Wanajiamini kipitiliza.
 
  1. Russian battalion lost almost all of its armoured vehicles in a failed attempt to cross a river near Severodonetsk in eastern Ukraine, the UK says
  2. Images from the scene show dozens of burnt-out tanks after Ukrainian forces shelled pontoon bridges across the Siversky Donets in Luhansk region
  3. The UK's Ministry of Defence says the incident reveals the pressure Russian commanders are under to make progress
  4. It isn't clear how many soldiers were killed in the battle, but Moscow's forces appear to be making gains elsewhere in the area
Urusi imepoteza magar na vifaru vyote vilivyokua vikiingia Donetsk, hali ni mbaya haijabainika ni wanajeshi wangap wa Russia wamepoteza maisha ,ila lilikua shabulio baya
Inakadiriwa Zaid ya wanajeshi 1000 wa Russia wameuwawa kwenye shabulio hilo

Source BBC,aljezer
Mpaka nitakapo pata taarifa from independent sources,to me this will remain fake news for now.

The BBC and Aljazeera!Not trustworthy news sources because they have a conflict of interest in the war.
 
Ilo eneo linamilikiwa na warusi.ili ujue watu elfu 1 wamekufa ni lazima uwepo eneo usika.sasa ukraine amejuaje kama wamekufa elfu 1 wakati ajaenda hata eneo la tukio.

Big propaganda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urusi wametangaza wamekufa wangapi?
 
Resources zote za Russia zitaguswa safari hii,Hadi kufikia December Putin atazidi kuchoka kwasababu nchi yake hivisasa IPO busy na vita, hujuma ndani ya nchi yake, vikwazo vya uchumi na ugonjwa wake WA cancer....
Kwa kifupi huyu Fala kuingia choo cha kike bila kujua
Russia keshadundwa huko kharkiv mpaka kaiachia kala kipigo cha mbwa koko yaan ni mwendo wa kutema viazi vya moto huku wanapigwa ambush za kufa mtu kweli urusi supachawa tena wa mchongo.
 
Hakuna anayejua wanajeshi wangapi waliuawa kwenye madaraja hayo. Ila kutokana na picha nilizoona ni dhahiri battle group hiyo iliharibika, idadi ya vifaru na magari ni kubwa mno.
Kuhusu makosa ya kijinga - hapo Urusi imeshaleta mifano kibao.
Ninahisi yako pia upande wa Ukraine , ila wako wazuri zaidi kutangaza mafanikio yao.
Sasa hiyo idadi ya wanajeshi buku mmeitoa wapi .... Bora akili zimeanza kukukaa MAHALA sahihi
 
‼️ 🇺🇦 🇷🇺 Ukraine has spent more than $8 billion on military actions against Russia
Meanwhile Russia has a surplus of 40 billion EUR since January

In an interview with Reuters, Finance Minister of Ukraine Serhiy Marchenko said that Ukraine has already spent UAH 245.1 billion on waging war with Russia (this is about $8.3 billion).

According to Marchenko, the funds allocated for development went for everything: from the purchase and repair of weapons to emergency assistance to internally displaced persons. The government collected only 60% of the planned tax revenues for April, in May–June this figure may decrease to the level of 45-50%.

"Kiev needs foreign financial support, as Ukraine is forced to spend billions of dollars on extraordinary expenses. According to the estimates of the Ministry of Finance, $5 billion a month is needed to finance the state budget," the minister stressed.
 
Unaposema "US mwenyewe" unataka kutuaminisha kuwa USA ni bora sana!!!?
Ikiwa umejiaminisha hivyo,itakuwa movie za kimarekani zinakuhadaa sana. Marekani popote anapokwenda anakuwa na mabaunsa wake. NATO.

Akisogeza pua peke yake,na asitumie silaha za maangamizi basi hata JWTz wanawakalisha. Kama wasomali walivyowafanya.

Ndio sababu hataki nchi zingine ziwe na silaha za maangamizi,kwani ubabe wake utatamatika. Na kutokana na unyama na wizi aliowafanyia wengine,wangemfuta kwenye ramani ya dunia

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kaa kwa kutulia vita wewe mshikaji vita ina ethics zake ambazo zingine zinaibuliwa ndani ya uwanja wa medani ( battle field ).

Personally sina ushabiki wakitoto kama wakwako wakufikili uwepo wa nato marekani hawezi vita. Ungekuwa na access ya kupata taarifa za mojamoja kutoka ndani ya uwanja wa vita usingekuwa mjinga hivi.

Hasara nikawaida sana yoyote anaweza kupata na haimanishi ndio kushinda kama bado vikosi vinaweza kusonga mbele.
 
India imposes a ban on the export of wheat.

India's Director General of Foreign Trade issued a statement banning wheat exports with immediate effect.

The government cited rising wheat prices and the need to protect food security in India and neighboring vulnerable countries as a catalyst to change its export policy.
 
Sidhani Kama kuna kuchezeana akili hapo.

Me nadhani Urusi bado anatumia tactics za Ww2 kwenye hii vita akisahau Kama Ukraine walikua wakipatiwa mafunzo na NATO toka alipoichukua Crimea.

Hivi unakumbuka ule msafara wa Urusi wa 64km uliokua ukielekea Kiev?! Unatumaje msafara mrefu vile bila kua na air cover?! Hatima yake ni nini?! Si ule msafara wote uliharibiwa na Ukraine Kwa Javellin na NLAW za Ukraine alizopewa na Marekani na Uingereza,had warusi wakachanganyikiwa ikabidi wabadili mawazo waachane na Kiev waende kule South ambako walikua wapo kabla hata ya Vita kuanza.

Sasa Leo tena wamejirundika hapo na mavifaa kibao bila hata air cover matokeo yake battalion nzima imeliwa kichwa. Na sasa hivi Ukraine imepewa hizo artillery na nyingine ziko njiani sitashangaa nikiona warusi wakifurushwa mpaka hayo maeneo waliyoteka,mfano ni Kharkiv kule Ukraine wamewarudisha warusi karibu kabisa na mpaka wao (mpaka wa Russia) na wamechukua maeneo na vijiji kadhaa ambavyo vilikua chini ya Urusi na bado wanasonga mbele.
Siku_ya_79_ya_Oparesheni_ya_Urusi_nchini_Ukraine%2C_na_ni_siku_ya_20_ya_oparesheni_phase_2._Ta...jpg

Kwa kweli tunaona Urusi alivyorudishwa nyuma na Ukraine wanasonga mbele .... Mfichage ujinga wenu hata mara Moja Moja .... Mtu anazidi ku advance mnalazimisha fikra zenu ziwe kweli anarudisha nyuma ....haya karudishwa nya wapi !!??
 
MAREKANI YAKUBALI UNYONGE KWA RUSSIA.

Wizara ya Ulinzi ya marekani, imefanya mazungumzo na waziri wa Ulinzi wa russia hivi leo.

Waziri wa Ulinzi wa russia hakutaka kuipokea simu hiyo na baadae watu wa karibu yake wakamshauri aipokee na sikilize marekani inataka nini.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani alimuomba waziri wa Ulinzi wa russia kusitisha vita na kufanya mazungumzo.

Mazungumzo haya ni mara ya kwanza kufanyika yaliyochukua muda ya lisaa limoja.

Marekani inafanya hivyo kuepusha mapigano kati yake na russia huku ukizingatia nchi zote mbili zina miliki nuclear.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Amani ikitafutwa unaita wanayoitafuta wanyonge. Ww hutaki turudi kwenye maisha ya kawaida yasiyohusisha kisingizio cha vita vya Ukraine?
 
Back
Top Bottom