Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Kwanza nikurekebishe kiswahili kidogo japo mimi siyo mwalimu wa kiswahili.Wacha weeee....
Mimi nazani kwa Sasa Urusi ajipime na Ukraine ndie kipimo chake cha sasa. Kwa USA tuache kwanza
Badala ya kuandika nazani hebu andika nadhani.
Back to topic:-
Nimejaribu kukueleza mambo mengi ili kidogo upate ABC za Russia.
USA huwa wanasherehekea uhuru wao waliopata mwaka 1776. Kipindi hicho Urusi ipo na imekula Millennium na inaelekea kula ya pili.
USA ni kikundi cha wafanya biashara kadha wa kadha. Wapo hapo kwaajili ya maslahi yao wenyewe. Huku Russia ipo pale kama taifa lenye historia yake na utamaduni wake. USA haina utamaduni wake. Is a big tent.
Huyo huyo USA tulimpatia nafasi kujipima ubavu wake huko Vietnam nadhani unakumbuka namna alivyoangukia pua.
Basi tusiongelee masuala ya Vietnam tuongelee tu issue za miaka ya 2000s. Juzi kati tu. Sujui issue ya Afghanistan ilipovamiwa na USA ulikuwa na umri wa miaka mingapi. Lakini nakupatia ndo ndo ndo tu. USA mpaka leo wanahaha hawajui cha kufanya.
Nisiende mbali sana, kuna nchi ya Waajemi inaitwa Iran hao USA kila siku wanabweka tu na sanctions kibao. Wamefanya nini!?
Nikikuambia huyu USA kwa Russia ni mchumba uwe unaelewa. Achana na movie za akina Rambo watazififisha akili zako. Unatakiwa ujue hizo ni movie zinatengenezwa kwenye computer are not real.
Nimejaribu kukupatia conflict iliyopo arctic ocean Russia anawaburuza USA na washirika wake. Wamebaki kupiga kelele tu kwenye media.
Kama unataka tujadili hebu leta hoja zito zenye mashiko utuoneshe ni wapi USA anaweza kupambana na Russia.