Nafikiri Finland imejiandaa na lolote.
kweli kila wakat na zama zake huyo hajui history ya Dunia kulikuwa Babylon, Persia, Mongolia, Roman, Ottoman hizo zote zilikuwa empire hatari Sana kila mmoja kwa wakati wakeMkuu acha kujifariji na story zako.
Hii Dunia inahistoria ndefu na ilishakaliwa na wababe wengi kwa nyakati tofauti.
Kjlishakuwa na dola ya kigiriki kkafanya zake kwa kiwango cha ubabe wake ikaanguka na kupita kwa zama zake. Kulikiwa na Dola la Kirumi kwa wakati waka likafanya yake kwa u babe wake na likapita kutokana na zama zake.
Bahati mbaya huyo Mrusi hakuwai kufikia viwango vya wababe hao wa dini yeye akiwa na USSR hakuweza kuiconka hii planet A kwani hakubahatika kuwa na vigezo vya kutosha.
Kwa sasa ukubali ukatae hizi ni zama za USA na hilo halina ubishi na huyu mwamba US hakuwai onyesha kucha zake mkajua Uimara wake. Laiti nakwambia Siku kima mmoja akajichanganya eidha kwa bahati mbaya au makusudi ndio mtajua ni kwanini mnyama US huwa hataki kupigana moja kwa moja.
Kama ulisha wai sikia B2 na siku zikaambiwa ziingie mzigoni, hapo bado hujagusa mizigo mingine toka bahari tofautitofauti.
Binafsi tunapoizungumzia Urusi tunapaswa ukilinganisha na kina UK, France, Germany, Korea na China. Ila huyu Mnyama US tumwache kabisa kwani hapo hatuzungumzi Nuclear power kisha tukaishia hapo na kuanza kutishana.
US ni mambo ya Economy, Tec, Intelligence nk.
Kwa sasa tuendelee kutazama hii filamu na kuinjoi jinsi Mbuzi anavyomtafuna MBWA Polepole kwa raha zake
Humuoni kapita hivi 🏃🏃🏃Naomba references ya masaa 72 tafadhali
Atajua mwenyewe, Akishindwa akarudi kwenye mipaka yake itapendeza.Hakuna cha kujiandaa kwa lolote, Urusi haijaivamia Ukraine kwa sababu inataka kujiunga NATO. Hakuna kiongozi wa Ukraine aliyewahi kutangaza nchi yao ina nia ya kujiunga NATO. Putin ameivamia Ukraine kwa sababu bado anazo ndoto na jinamizi la USSR ya kale na hivyo anaona Ukraine ni nchi muhimu kufanikisha hilo.
SOMA HII na wala haikuandikwa na Tass.Imeandikwa huko huko kwao ili kilio kisikike vizuri.Tupe source vinginevyo ni propaganda za RT na Tass.
Huwa kuna jambo linanifurahisha hapo [emoji23] kila kona US alikoshindwa utasikia eti ooh alikuwa third party... sasa kama that z case, kwa hiyo US haijawah kupigana abadani sasa.Vita ya Ukraine na ya Vietnam ni kama inafanana Marekani ilipeleka wanajeshi kuisaidia serikali iliyo kuwa inaunga mkono ubepari ili iweze kujitenga na serikali ya kikomonisiti iliyo kuwa inaungwa mkono na Usoviet.
Na sasa Urusi imepereka wanajeshi Ukraine kusaidia wanao taka kujitenga kwa hiyo yote ni yale yale.
Ikitokea Urusi akashindwa kuifanya Dombas kuwa huru basi atahesabika ameshwindwa vita ,kwa mantiki hiyo Marekani alishindwa vita kwa sababu serikali aliyo enda kuipigania ilisambaratika.
Kwa hiyo alienda kucheza ngoma sio?Kajifunze kwanza vita vya Vietnam ilikuwa kati ya nani na nani na nini kilitokea baada ya Marekani kuondoka.
Marekani haikuenda Vietnam kuteka vijiji. Kwa nini hamsumbui vichwa kujielimisha hata kidogo kabla ya kurukia mambo msiyojua vizuri!
Walitayarisha na wakapata kibaraka makini sana.huo ndo utamu wa Vita,unapiga na kuteka territory, baadae jamaa wanakimbia na kurudi kujipanga ,wanarusi na kutembeza bullets mpaka unaikimbia territory,unaona haiwezekani unajipanga upya ,unarudi na battalion yako unatembeza bullets,plus missiles na kuacha vumbi limetimka!!!
NATO,awamu hii wamempata mbabe wao,ngoja tuone huu mchezo
Hakuna mkataba kama huo, hutaweza hata siku moja kuonesha picha ya viongozi wa Russia na Finland wanasaini huo mkataba...
Finland walichagua wenyewe kuwa Neutral na wanachagua wenyewe kuwa NATO.
Pia kama hujui Finland Ina Jeshi kubwa kuliko Britain. So huyo Russia kama anataka Civil Unrest Nchini kwake aanzishe vita nyingine na Finland
Kwa hiyo alienda kucheza ngoma sio?