Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Utamaduni ni zaidi ya Lugha...Msaidie ufaransa wana lugha yao, uk, hispania, urusi kwa uchache atutajie lugha ya us kwa kifupi ni taifa lisilo na utamaduni
Ufaransa, Hispania, Portugal, Italy wote Hawa wanaongea Lugha za jamii Moja ambayo ni Latin.
England, German, Netherlands, Nordic, Celtic wote wanaongea Lugha za jamii Moja ambazo ni Germanic.
But Lugha za leo zote zime influence each other. Ukisema USA Haina utamaduni Basi utakuwa unakosea USA Lugha kuu za USA ni English na Spanish but pia USA inakaliwa na watu wa Kila aina pia Lugha nyingine zipo ambazo kwa pamoja zinaundwa utamaduni wao, kwa kiwango kikubwa huwezi tofautisha utamaduni wa USA na West Europe