Fake hii habari ni ya kutengeneza. Kwa sababu warusi sio wajinga kuwaweka wanajeshi 1000 pamoja eneo la vita.msilete habari fake jamani.View attachment 2224765
Source zaidi:
![]()
Ukraine decimated Russian forces trying to cross a river in the east, Britain’s defense ministry says.
Russian forces have been struggling to make significant progress along the eastern front.www.nytimes.com
Nyingine hii hapa:
Jomba unakaza kweli as if upo uko kwenye kitengo kimoja wapo hapo kweye serikali ya Ukraine.Hakuna cha kujiandaa kwa lolote, Urusi haijaivamia Ukraine kwa sababu inataka kujiunga NATO. Hakuna kiongozi wa Ukraine aliyewahi kutangaza nchi yao ina nia ya kujiunga NATO. Putin ameivamia Ukraine kwa sababu bado anazo ndoto na jinamizi la USSR ya kale na hivyo anaona Ukraine ni nchi muhimu kufanikisha hilo.
Akisha kunywa vodka anahisi hizo nnchi bado ni za rusia.Hakuna cha kujiandaa kwa lolote, Urusi haijaivamia Ukraine kwa sababu inataka kujiunga NATO. Hakuna kiongozi wa Ukraine aliyewahi kutangaza nchi yao ina nia ya kujiunga NATO. Putin ameivamia Ukraine kwa sababu bado anazo ndoto na jinamizi la USSR ya kale na hivyo anaona Ukraine ni nchi muhimu kufanikisha hilo.
Tofauti ni kwamba USA haikupigana moja kwa moja Vietnam kama Russia anavyopigana Ukraine. Katika vita vyote vya marekani alivyopigana direct, serikali zote zilianguka tena ndani ya muda mfupi.Vita ya Ukraine na ya Vietnam ni kama inafanana Marekani ilipeleka wanajeshi kuisaidia serikali iliyo kuwa inaunga mkono ubepari ili iweze kujitenga na serikali ya kikomonisiti iliyo kuwa inaungwa mkono na Usoviet.
Na sasa Urusi imepereka wanajeshi Ukraine kusaidia wanao taka kujitenga kwa hiyo yote ni yale yale.
Ikitokea Urusi akashindwa kuifanya Dombas kuwa huru basi atahesabika ameshwindwa vita ,kwa mantiki hiyo Marekani alishindwa vita kwa sababu serikali aliyo enda kuipigania ilisambaratika.
Baada kuingilia kati ni kipi kilicho tokea?Marekani haikwenda Vietnam kuisadia serikali ya kibepari kujitenga. Vietnam ilikuwa na serikali mbili kwa muda kabla hata vita kati ya Kaskazini na Kusini havajilipuka na Marekani kuingilia kati.
Ww ndio uweke hoja kama hawakwenda kweteka vijiji walienda kufanya nn?Weka hoja na facts badala ya vitimbi.
Marekani kwenye vita ya Vietnam alipoteza zaidi ya wanajeshi 58,000 na ndege zaidi ya 5000 sasa tuambie hao wanajeshi walikuwa wameenda kufanya nn?Tofauti ni kwamba USA haikupigana moja kwa moja Vietnam kama Russia anavyopigana Ukraine. Katika vita vyote vya marekani alivyopigana direct, serikali zote zilianguka tena ndani ya muda mfupi.
Sidhani kama North Vietnam wangeweza kuhimili full war na Amerika ndani hata ya mwezi mmoja.
Hapo Ukraine, Russia kaingia mzima mzima na serikali bado imesimama. Ili wafaulu kumega ardhi inabidi kwanza waiondoe serikali ya zelensky.
😂😂😂Day dreamUrusi kupiga Mariupol ni sawa na kuendelea kupiga Mochwari kisha kujisifu umeua.
Ukraine wanakomboa mji mmoja baada ya mwingine na huko Mariupol itafika zamu yake ya kukombolewa.
Kharkiv imekombolewa tayari
Nilichojifunza kupitia hii Special Military Op. ni kwamba:
Maisha mazuri waliyonayo nchi za ulaya yanatokana na unyonyaji wanaoufanya sehemu zingine. Maisha ya ulaya yanabebwa Sana na upatikana wa resources za Bei nafuu/rahisi.
Russia imekuwa inawapatia Cheap Gas, Oil, Industrial minerals, ili limezifanya nchi za ulaya kuwa competitive kwenye uzalishaji wa goods or services.
Jiridhishe na taarifa zakoTofauti ni kwamba USA haikupigana moja kwa moja Vietnam kama Russia anavyopigana Ukraine. Katika vita vyote vya marekani alivyopigana direct, serikali zote zilianguka tena ndani ya muda mfupi.
Sidhani kama North Vietnam wangeweza kuhimili full war na Amerika ndani hata ya mwezi mmoja.
Hapo Ukraine, Russia kaingia mzima mzima na serikali bado imesimama. Ili wafaulu kumega ardhi inabidi kwanza waiondoe serikali ya zelensky.
Mwambie akipata muda aende Washington District of Columbia kwenye MonumentMarekani kwenye vita ya Vietnam alipoteza zaidi ya wanajeshi 58,000 na ndege zaidi ya 5000 sasa tuambie hao wanajeshi walikuwa wameenda kufanya nn?
Hata wewe pia hujui kitu.Hujui kitu, USA Vietnam alikua third party. Waliokua wanapigana nii North na South. Nikikumbuka vizuri bunge la Amerika haliku declare War. Kilichowatoa huko ni kukosa support ya raia kutoka nyumbani.