Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Jomba unakaza kweli as if upo uko kwenye kitengo kimoja wapo hapo kweye serikali ya Ukraine. View attachment 2225240 Hii mgogoro unazidi kuwavua nguo na kuwaonesha mlivyo weupe. Kwanini usiwe kama mwenzio tu huyo Tsh ubaki kukekemea uvamizi kama kitu hukijui chimbuko lake mh?
Ule uwezo wenu wa kuchambua na kufatilia mambo mnaojitapa nao humu JF mmeupeleka wapi? Yani namna mnavyotumia nguvu nyingi kubadili uhalisia hadi mnatia mashaka ase [emoji23]
Haya bas tufanye hao wanaozungumzwa hapo ni dada zetu wa kule mbagala sio Ukraine, huyu Ukraine hajawah kabisa kutaka kujiunga NATO wala hao waliokuwa wana train jeshi hilo miaka 8 yote sio NATO bali mgambo wa Suma JKT.
Vp umefrah eeh?
Mwanangu, kwenda ku google vitu haraka haraka na kurudi hapa vitakuchanganya, aanza kusoma historia ya Ukraine kuanzia 2004 ndo utapata ufafanuzi.
Ndoto ya Ukraine kuingia NATO ilianza 2008 na mwaka 2010 ikakufa kutokana na kuchaguliwa raisi pro Kremlin. Kuanzia kipindi hicho mpaka 2014 jamaa walikua Neutral/pro Kremlin.
Mwaka huo 2014, Viktor yanukovych raisi wa Ukraine Pro Kremlin alikataa Ku sign mkataba ambao ungewezesha Ukraine na EU kushirikiana bila vikwazo. Hapo ndipo wakaanzisha revolution na kumuondoa madarakani.
Muda kidogo urussi ikaivamia Ukraine, na hapo ndo wakafufua mpango wa kujiunga na NATO. Sasa ukisema Russia iliivamia Ukraine kwa kuingia NATO unajidanganya mwenyewe na Chawa wenzako wa Russia. Sababu kuu ni kuwacha kuegema Kremlin na kugeukia Euro vision.