Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Heheee!!!!Una akili za kitoto sana Coco [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheee!!!!Una akili za kitoto sana Coco [emoji23][emoji23][emoji23]
Daa! Nilikuwa nakuja jf kusoma post za jesus mulokozi...mana alikuwa anatupa updates za ukraine wanavyochapwaaa..ila kwa sasa naona anabishana tu na wanyama wa NATROJENI! mkuu jesus vip! Tumetwangwaa huko ukuraine?
Point,kudos.Hizi n mechi za BIG BOYS......(wapambanaji,mariski teka,wenye uthubutu) ngoja nikujibu kwa mfano...M n mdau wa utalii ivyo basii kutokana na huu mtanganange naona soko la east likiamka ivyo kuacha kutegemea west west kma nikiwa na visent vya kutosha ntatafuta wataalam wa kufundisha vijana kichina,kirusi kutokana na demand inapoelekea hence will make money na nchi yangu pia itapata kipato kupitia uthubutu wangu.
Ila we jamaa 🤣Nilikuuliza swali una lijua bomb linaitwa
Father of All Bombs!? Nikaona unachanja mbuga. Tunapoonglea Russia unatakiwa uielewe hiyo nchi.
Ipo miaka mingi kabla hata ya USA kuwepo. Na kumekuwa na migogoro kati yake na majirani miaka na miaka. Na urusi wamekuwa wakipambana karne na karne. Je unaijua sababu ya migogoro hiyo!?
Migogoro hiyo inatokana na hazina kubwa iliyomo ndani ya ardhi ya Urusi. Mataifa ya ulaya yamekuwa yakidondosha udenda kuweza kumilk ardhi ya Urusi. Taifa lolote likiweza kuidhibiti urusi litakuwa tajiri na kiranja wa dunia.
Hawa warusi wamekuwa wakipigana vita miaka na miaka.
1. Wamepigana na Mongols
2. Wamepigana na Persian empire
3. Wamepigana na Napoleon (France empire)
4. Amewahi kuwa gonga mjumuiko wa England, France na takata.
5. Amewahi kuwagonga Ottoman Empire.
6. Amewahi muwagonga wajapani.
7. Amewahi kuwagonga Astro-Hungary empire.
8. Alingonga Hitler second wolrd war.
Orodha ni ndefu mno. Hao warusi wanacholigania ni maslahi ya nchi yao tu. Ukikaa nao vizuri hawana shida na mtu.
Poland anawajua warusi, Finland anawajua warusi, Sweden anawajua warusi.
Hizi nyege wanazozionesha nakuhakikishia zitawatokea puani.
Fanya yote lakini usimchokoze mrusi.
Ndugu tarehe 09 mei 2022 Putin alikua kwenye halaiki ya watu.View attachment 2224494
Hii ni Picha ya Leo, leo tarehe 14/05/2022, Mwenye Picha kapiga Putin leo, au jana atupie hapa.
Nyinyi ndio mnaufanya huu uzi upoteze maana ,maana mmejaa utoto wakati ni mamtu mazima wenye familia.Nani, Putin au Lavlov makengeza?
Kuchapwa anaweza kuchapwa.Ukweli niupi sasa wewe ulio nao, unakuwa brain washed ni ushabiki wa ajabu, unafikili Russia hawezi kupeteza kwenye battle. Foolish kabisa, usa mwenyewe anaweza kuingia kwenye battle na akachapwa vizuri tu. Kinachoshinda vita ni courage ya kupambana na mbinu bora za kumdhibiti adui. Russia sio malaika anachapwa vizuri kama akiingia vibaya.