Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo ni siku ya pili hakuna Russian missile imerushwa Kharviv, efforts zote warusi wamehamishia Kushambulia kiwanda.

kile kiwanda baada ya hapa kitakuwa maonyesho ya Taifa.
 
Finland's president initiated phone call with Putin to tell him the country is applying to join NATO


President Sauli Niinist initiated a phone call with Russia's Vladimir Putin on Saturday, telling the Russian president that Finland will be seeking membership to join NATO.

Russia has previously warned against Finland joining NATO, threatening "retaliatory steps" against the country and claiming Finland's membership in NATO would be a national security threat.

The call between Niinist and Putin took place on Saturday, according to a press release from Niinist's office.

"The conversation was direct and straight-forward and it was conducted without aggravations. Avoiding tensions was considered important," Niinist said in the release.

According to the press release, Niinist reminded Putin that "every independent nation maximizes its security."

The release continued: "This is what is happening now, too. By joining NATO Finland strengthens its own security and assumes its responsibility. It is not away from anyone else."

Finland's president and prime minister issued a strong statement in favor of joining the military alliance on Thursday. The NATO Secretary-General Jens Stoltenberg responded by saying Finland would be "warmly welcomed into NATO."

In his call with Putin, the Finnish president also "repeated his deep concern over the human suffering caused by the war Russia wages in Ukraine," according to the press release.

Russia's invasion of Ukraine has raised public support for NATO membership to an all-time high in Finland and in neighboring Sweden.
 
Hata hivyo, mm nina wasiwasi na uadui wa Urusi na USA kwa sababu wote wana tabia ya kutumia nchi nyimgine kama battle ground huku nchi zao zikiwa salama na mwishowe kunakuwa na win win situation baina yao.
Bwana Utam Urusi anatakiwa aondoke Ukraine, Ukraine anatakiwa kuwa na uwezo wa kujilinda na maadui zake na Urusi inapaswa kujilinda na maadui zake. Kama Urusi na Ukraine ni maadui na USA na Urusi ni maadui Ukraine ana haki ya kupokea silaha kutoka kwa adui wa adui yake.

Hata hivyo, mm nina wasiwasi na uadui wa Urusi na USA kwa sababu wote wana tabia ya kutumia nchi nyimgine kama battle ground huku nchi zao zikiwa salama na mwishowe kunakuwa na win win situation baina yao.
Hilo naweza nikakubaliana nawewe ila anachokifanya RUSSIA nikama alichotaka kukifanya US kwa CUBA
Ishu nikwamba CUBA alikua smart kujali kuheshimu na kutaka amani kwenye taifa lale nandio maana akaepushia mbali.

Huyu kenge wa UKRAINE hajali kuhusu watu wanaokufa wala nn
UKRAINE angeamua kuwa nyutro kingemgharimu kipi!!?

Tupime hasara na faida ya UKRAINE kuingia kwenye huu mgogoro nakama angeamua kua kama CUBA

Nna wasi wasi ELENSKY cjui hata kama anajali watu wanaokufa
MKUU ndio maana kukawa na diplomasia JAPAN alipopigwa BOMU na US angesema azidi kaza shingo pengine tungeongea zaidi ya haya ya HIROSHIMA

tunatakiwa tukubali tu kwamba DUNIA haitakua kama tunavyogaka milele yaani uwe na akili yakula namwenye nguvu unadhani WAJAPAN wanapendelea waliofanyiwa na US !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Finland's president initiated phone call with Putin to tell him the country is applying to join NATO


President Sauli Niinist initiated a phone call with Russia's Vladimir Putin on Saturday, telling the Russian president that Finland will be seeking membership to join NATO.

Russia has previously warned against Finland joining NATO, threatening "retaliatory steps" against the country and claiming Finland's membership in NATO would be a national security threat.

The call between Niinist and Putin took place on Saturday, according to a press release from Niinist's office.

"The conversation was direct and straight-forward and it was conducted without aggravations. Avoiding tensions was considered important," Niinist said in the release.

According to the press release, Niinist reminded Putin that "every independent nation maximizes its security."

The release continued: "This is what is happening now, too. By joining NATO Finland strengthens its own security and assumes its responsibility. It is not away from anyone else."

Finland's president and prime minister issued a strong statement in favor of joining the military alliance on Thursday. The NATO Secretary-General Jens Stoltenberg responded by saying Finland would be "warmly welcomed into NATO."

In his call with Putin, the Finnish president also "repeated his deep concern over the human suffering caused by the war Russia wages in Ukraine," according to the press release.

Russia's invasion of Ukraine has raised public support for NATO membership to an all-time high in Finland and in neighboring Sweden.
Na Putin kamuambia nini? sababu kuna mtu kaniuliza unajua Rais wa Finland alichoambiwa? Yaani leo Putin anapigiwa simu kupigwa biti? wonders will never end?

Putin has become a punching bag now. even Finland.
 
Sasa victory day mtu anaongea DAKIKA NANE, DAKINA NANE, SIKU YA USHINDI NA HAPO HAP TAIFA LIKO VITANI LINASHAMBULIWA NA NATO ANAONGEA DAKIKA NANI?

si ndo ukoko wenyewe huo mkuu.
Tukimuuliza hili swali kila mtu private kwamba walitaka PUT IN aongee dakika ngapi kila mtu atakuja na dakika zake
Pengine wengine wangesema asiongee kabisaaa

Hilo lakuongea wala sio kipimo cha kupimia MKUU
Labda ungekuja na hoja nyengine pengine ningekuelewa pengine!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukimuuliza hili swali kila mtu private kwamba walitaka PUT IN aongee dakika ngapi kila mtu atakuja na dakika zake
Pengine wengine wangesema asiongee kabisaaa
Hilo lakuongea wala sio kipimo cha kupimia MKUU
Labda ungekuja na hoja nyengine pengine ningekuelewa pengine!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unakubaliana na hii tabia yake ya kujificha wakati nchi iko vitani?
 
ndo nauliza Lav rov yuko wapi, toka aseme Wahudi ndio walikuwa wanauwa wayahudi siku ile kwenye TV sijamsikia tena, namsikia medvedev sijui na mambo yake ya Nukrea war.
Medved na Shoigu ndio watu wanaotakiwa kusikika zaidi kipindi taifa lipo vitani pamoja na msemaji wa serikali

Mmoja waziri wa ulinzi na mwengine MKUU wa USALAMA

Yaani mnapangia watu mpaka nani wakuonge nanani wakukaa kimya nanani yuko wapi !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika kwa hisia kali sana huku ukiandika porojo tu.
Ni mahaba niue yanakufanya uandike haya.

Mwenzako nilimuuliza USA akishawahi kupambana na nani akashinda!? Mnabakk kutuketea ngojera mara ho!! Tubishane mara oh!! Sijui nini.

Mimi nataka ulete taarifa zako hizo kwa evidences. Mimi nakupiga kwa fimbo za knowledge siyo hisia.
Kwanza tunaanza na Wagriki. Hivi unajua boundaries za utawala wa ugriki!? Wale wakiishia mashariki ya kati tu mwanangu. Hata huku africa hatuna hata harufu ya wagriki.

Urusi ilikuwepo miaka na miaka. Na itaendelea kuwpo sana.

Kwanza unatakiwa ujue kuwa Russia ni nchi inayojitosheleza kwenye natural resources. Haihitajj kwenda kwenye nchi zingine dhaifu ili kuiba mali zao.

Unaongelea USSR ya juzi tu. Mwanangu nakusihi jifunze kuhusu urusi na upate kuijua.

Nakupatia mfano wa hivi karibuni tu. Mgogoro wa Syria, USA na wenzake walitaka kuleta mapinduzi. Lakini mzee Russia alipoingia pale wote waliufyata mkia. Sijajua kama wewe ni mfuatiliaji wa Geopolitics.

Basi ngoja tuachane na Syria. Tuongekee Venezuela. Hawa hawa USA walitaka kuleta mapinduzi. Lakini mzee wa siku Russia akatia timu tena wazi wazi hao USA wakaufyata mkia wakabaki kubwekea tu kwenye CNN, BBC na Aljazeera.

Sehemu yoyote Russia akitia timu USA lazima akimbie.

Nakushangaa unaongelea B2 Bomber. Mwanangu nadhani hufuatilii issue za international weapons. Russia anakudungua akiwa amekaa home. Anakupiga huko huko kwako bila kutumia ndege.

Nikutoe tongotongo tena. Unajua Arctic Ocean!? Mzee huko Russia kapakana na USA, Canada na wengine. Huko Russia anatumia ubabe kuchukua maeneo ya USA na Canada. Hakuna yoyote anayeweza kukoroma. Maana Russia is the father of this planet.

Nakusubiri ulete hoja ya nguvu ili tuweze jadiliana.
Nilikuwa sijui hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine’s general staff said the Russians were pulling back from the northeastern city of Kharkiv and focusing on guarding supply routes, while launching mortar, artillery and airstrikes in the eastern Donetsk region in order to “deplete Ukrainian forces and destroy fortifications.”

warusi wanaendelea kupunguza scope ya vita, hii vita itaishia kwa urusi kuelekeza jitihada Snake Island.
 
Hii vita ya ajabu sana, aliyevamiwa, Zelensky sijui hata analala saa ngapi muda wote yuko active, mara anapokea wageni, mara anakagua madhara ya mashambulizi, mara sijui anaongea na senet, mara anaongea na house of commons, mara anashauri nini sijui, yaani as if nothing is happening,

Anayeshambulia sasa, yaani kawa kama mbwa koko, KaPutin kamekuwa ka mtu kakujificha ficha na kuji isolate.

Ndo mnavodanganywa?? Sawa msemaji wa ukraine
 
Kwanza nakushukuru sana kwa kutambua kuwa mimi ni kaka yako. Maana hizi nondo ninazozitoa hapa inakubidi uwe umekula kitabu haswaaaaa.

Mdogo wangu tunapoongelea Technology unajua maana yake. Unadhani kuongelea dron peke yake tayari utakuwa umeongelea Technology!?

Technology is the application of science.
Sasa basi kuna mambo mengi sana tunapoongelea suala la technology. Kwa sababu tunaongelea Military technology tunasema Russia ipo juu sana kwenye technology ya kijeshi. Tunasema hivyo kwanini!?
1. Mpaka hivi leo tunavyoongea ni urusi pekee mwenye hypersonic missile.

2. Russia pekee mwenye nuclear weapon combine all countries in this planet.

3. Russia kautangazia ulimwengu kuhusu RS-28 Sarmat. Sijui ulikuwa wapi wakati inaweka hadharani.

4. Russia ndiyo nchi pekee yenye ICBM nyingi duniani kuliko nchi yoyote.

Hayo machache tu yanakutosha kwa sasa kuhusu Technology.

Back to Uchumi.
Tatizo unapoongelea uchumi unajikita kwenye eneo moja tu la GDP. Unashindwa kabisa kuingia ndani na kuona yaliyomo je, yamo!?.

1. Unatakiwa uanze kwa kuongelea Assets kwanza ndio uendelee upande mwingine. Mzee kwenye suala la asset sitaki hata kuliongelea zaidi maana unajua ninakoelekea.

2. Unatakia ujua literacy rate ya warusi ukilinganisha na USA na china. Nikwambie kitu tu. Literacy rate ya warusi ni 9.9% yaani kwa kifupi ni 100% Huko urusi hakuta jitu lenye elimu ya kuunga unga.

3. Unatakiwa tena uje na maelezo hapa utuambie population ndogo ardhi na resources kubwa ipo na effect ipi kwenye uchumi.

4. Unatakiwa ujue USA serikali yake inaishi kwa liabilities. Yaani serikali ipo na madeni zaidi ya 159% ya GDP. Je, kwa upande wa uchumi tunaposema Utajili ni Liabilities au Assets. Hiyo nakuachia wewe utueleze.

5. Umeongelea magari ya umeme. Hapa mwanangu tulikuwa tunaongelea USA na China. Nakutaka kabisa usihamishe mada. Maana umekubali kuwa mimi ni kaka yako. Nilisema kwamba huko USA demokrasi imewaponza. Siku hizi mambo yanaongewa tu utekelezaji ni zero. Ndiposa nikaongelea suala la magari madogo kutumia umeme. Sasa kama wewe hujanielewa tatizo litakuwa langu au wewe!?

Nimekuachia hiyo home work. Njoo na majibu ya uhakika. Na nitaendelea kutoa nondo maana leo nipo free.
Tubaki kwenye tekinolojia. Urusi inafahamika ni nchi iliyobaki nyuma lakini iliwekeza asilimia kubwa ya mapato yake kwenye jeshi kushinda nchi yoyote nyingine (tukiacha kibete kabisa kama Korea Kaskazini kando).

Silaha hizi nyingi za nyuklia hazisaidii kitu. Kuanzia idadi fulani umefikia uwezo wa kuua adui yako mara mbili au tatu, kuna faida gani kuongeza uwezo wako kumwua mara kumi au ishirini?? Marekani na Urusi wameshapita viwango hivi. Ona:
1652543817906.png

Maana pande zote mbili walipunguza idadi wakielewa haina faida. Uwezo wa "overkill" bado upo mara kadhaa. Kila upande unaweza kuangamiza upande mwingine mara kadhaa.

Tena kuna uhakika kwamba, hata kama nchi imeshaharibika, kuna nyambizi za kutosha zenye roketi zinazoweza kumaliza upande mwingine.

Kuhusu "hypersonic": istilahi hii inamaanisha roketi ianyofikia kasi juu ya mach 5. je unajua roketi moja ya kimabara (intercontinental rocket) ya nchi yoyote ambayo haifikii kasi hiyo??? Mimi sijui.

Hii Sarmat RS-28 iwasaidie nini?? Ubora wake kulingana na roketi zilizopo unaonaje??

Ila udhaifu wa Urusi kitekinolojia upo katika tekinolojia ya kompyuta ambayo ni muhimu kwa mashine, magari, silaha, hata kilimo. Hapo nimetaja mfano wa droni: Urusi haina uwezo wa kutosha kuunda silaha ya kisasa kwa tekinolojia yake yenyewe. Wanategemea vipuri kutoka Marekani, Asia na Ulaya Magharibi.
China haipeleki chipsi ambazo ni muhimu Urusi kwa sababu wanategemea hataza za Marekani. Makampuni yake hayaruhusiwi kuuza elektroniki hiyo kwa Urusi. Watatafakari mara kadhaa kabla wasianze kuuzia Urusi maana wanategemea biashara na magharibi - Urusi si mteja muhimu vile.
 
Hata hivyo, mm nina wasiwasi na uadui wa Urusi na USA kwa sababu wote wana tabia ya kutumia nchi nyimgine kama battle ground huku nchi zao zikiwa salama na mwishowe kunakuwa na win win situation baina yao.Hilo naweza nikakubaliana nawewe ila anachokifanya RUSSIA nikama alichotaka kukifanya US kwa CUBA
Ishu nikwamba CUBA alikua smart kujali kuheshimu na kutaka amani kwenye taifa lale nandio maana akaepushia mbali
Huyu kenge wa UKRAINE hajali kuhusu watu wanaokufa wala nn
UKRAINE angeamua kuwa nyutro kingemgharimu kipi!!?
Tupime hasara na faida ya UKRAINE kuingia kwenye huu mgogoro nakama angeamua kua kama CUBA
Nna wasi wasi ELENSKY cjui hata kama anajali watu wanaokufa
MKUU ndio maana kukawa na diplomasia JAPAN alipopigwa BOMU na US angesema azidi kaza shingo pengine tungeongea zaidi ya haya ya HIROSHIMA
tunatakiwa tukubali tu kwamba DUNIA haitakua kama tunavyogaka milele yaani uwe na akili yakula namwenye nguvu unadhani WAJAPAN wanapendelea waliofanyiwa na US !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi wa Ukraine huenda alifanya kosa kutaka kujiunga NATO na kuleta huu mzozo, nasema huenda sababu sijajua ni nn kilimsukuma kutaka hilo na kwann raia wake hawakumzuia. Huenda walimuona Urusi kama adui zaidi ya mshirika na jirani maana ni mzozo wa muda mrefu.

Jambo ninalopinga mm ni maamuzi ya Urusi kuipiga Ukraine kwa sababu hii move imemfanya aonekane bully na kuhalalisha sababu ya Ukraine kutaka kujilinda naye. Amezipa uhalali pia nchi jirani kufikiria kufanya hivyo.
 
Hata hivyo, mm nina wasiwasi na uadui wa Urusi na USA kwa sababu wote wana tabia ya kutumia nchi nyimgine kama battle ground huku nchi zao zikiwa salama na mwishowe kunakuwa na win win situation baina yao.Hilo naweza nikakubaliana nawewe ila anachokifanya RUSSIA nikama alichotaka kukifanya US kwa CUBA
Ishu nikwamba CUBA alikua smart kujali kuheshimu na kutaka amani kwenye taifa lale nandio maana akaepushia mbali
Huyu kenge wa UKRAINE hajali kuhusu watu wanaokufa wala nn
UKRAINE angeamua kuwa nyutro kingemgharimu kipi!!?
Tupime hasara na faida ya UKRAINE kuingia kwenye huu mgogoro nakama angeamua kua kama CUBA
Nna wasi wasi ELENSKY cjui hata kama anajali watu wanaokufa
MKUU ndio maana kukawa na diplomasia JAPAN alipopigwa BOMU na US angesema azidi kaza shingo pengine tungeongea zaidi ya haya ya HIROSHIMA
tunatakiwa tukubali tu kwamba DUNIA haitakua kama tunavyogaka milele yaani uwe na akili yakula namwenye nguvu unadhani WAJAPAN wanapendelea waliofanyiwa na US !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umesema.Hizi ndio diplomasia katikati ya matatizo,Kitu kimoja tu hutakiwi kurudi nyuma nacho ni iwapo kuna mwanamume anamnyatia mkeo halafu anafanya hivyo mbele yako na mbele ya wanaume wenzako.

Hapo hata kama umwembamba kama sindano tuna inavyowezekana na pigana mpaka mwisho na huenda ukashinda. Haya mambo mengine ya vita vita lazima utumie akili na mara nyengine vuta masafa.

Si ushujaa kupigana na mtu unayemuona kakuzidi kwa namna nyingi kwenye ulingo. Iwapo zelensky ameona lazima awatii mayahudi wenzake na airidhishe Marekani.Baada ya hasara aliyowatia wananchi wake mpaka hapa angepaswa kusema haya basi yaishe na hapo angevuta muda kurudia ajenda yake huko mbele.

Sio muda huu kila siku nchi inanyakuliwa na uti wa mgongo wa nchi yake umeshamtoka na bado anatoa jeuri.,

Anachokifanya mrusi baadhi ya maeneo ni namna bora ya kupigana.Iwapo imekuwa shida kuiteka Kyiv au kuvuka mto kwanza anarudi nyuma kuweka sawa silaha zake na kupanga mbinu nyengine za kukwepa vikwazo na wala si kukimbia au kuwaachia Ukraine.

Yeye Zelensky kila siku analazimisha kusonga mbele hata kama ameshagonga ukuta.

Huo ni ujinga wa mapambano. Wale askari wake wa Azov/Mariupol wameshamshtukia na kama wachache waliobaki wakitoka salama nahisi wataanza kumuwinda na yeye kwa kuwatoa muhanga.
 
Back
Top Bottom