Tsh
Mchumia janga hula na wakwao hii ama haya ndio maneno mazuri na pengine yawafaayo hao SWED na FINI
Majamaa ya NATO sio yakuyaamini hata robo na niwazi kabisa jamaa kwa 100% wanaliogopo DUBU kutokea huko RUSSIA hili limejidhihirisha leo
Jamaa wanasema wapo tayar nawatakua tayari kuwapokea wachumia janga FINI na SWED kujiunga NATO ila wakati huo huo wanawaambia yakwamba Article No5 (kama ntakua nimeipatia) haitatumika jamaa watakapojiunga mpaka baada ya mwaka mmoja kupita
Ikumbukwe yakwamba hio Article ipo maalum kwamba ikitokea mwanachama mmoja wapo wa NATO akashambuliwa nisawa sawa imeshambuliwa NATO nzima na majamaa watamuhami mwenzao pia watamtwanga alovamia mwenzao
Ila naona hii Article inaenda kua kinyume kwa hao wachumia janga sasa hapa sijajua kama hio Art hua inatumika baada ya mwaka kwa kila member mpya atakae amua kujoin NATO
Ama sijajua itatumika mara hii tuu kutokana na reaction inayotabiriwa kutokea kwa RUSSIA
Wajuvi mnisaidie hili la Article No5
Galip Vrl
@
Sent using
Jamii Forums mobile app