Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Muathirika mkubwa wa hii Mambo ni Germany, anaisoma number vilivyo. Kuna maamuzi huwa nayawaza nacheka mwenyewe.Ulaya mwaka huu wanalo. Huku USA anawakazia huku Russia anawakazia.
All NATO members are committed to maintaining sanctions against Russia for "as long as it takes," US Secretary of State Anthony Blinken said.
Ningekuwa mie ndio Prezdaa wa Russia, hekima ningeweka kando, ningeqanyoosha sana hao kuku zao la chokaa... Siku 3 akili zao zingekaa sawa.
We ndio mzizi af matawi yanaleta jeuri yanataka kukung'oa, unayapurua unaotesha mengine, simple like that [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ingawa kihekima zaidi hao raia sasa dhaaambi kuwaadhibu kwa makosa ya viongozi wao...