Katunge World Wide
JF-Expert Member
- Apr 27, 2022
- 235
- 327
Kwann hakuvamia kipindi cha baridi sasa?Kwa mujibu wa taarifa toka Ukraine wanasema kuwa Urusi inarefusha maksudi vita ili vifike majira ya baridi muda ambao wanaamini kuwa mataifa ya ulaya yatake yasitake yatalazimika kuzungumza na Urusi tu.