Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mapigano makali yamelipotiwa katika jimbo la DONESK waasi wakisaidiwa na majeshi ya URUSI wanaelekea kuchukua kijiji cha Kamyshevakha.kuanguka kwa kijiji cha Kamyshevakha kunaweza kukatarisha usalama wa wanajeshi wa UKRAINE wanaopigana kwenye mkoa wa Severodonesk. Muda wowote wanaweza kuzungukwa na majeshi ya URUSI na kusababisha kukutwa kama kilichowakuta wanajeshi waliokuwa wanapambana Mariupol



 
Kwani Somalia wamo NATO? Kaombwa apeleke jeshi lake uko? Zele si analia lia huko mbona hapeleki [emoji23][emoji23][emoji23]

Tutashuhudia mengi awam hii.
Yaani wee Acha tu tunawaangalia tu 🤣🤣🤣🤣🤣 si walituona Siyo muhimu wameshtuka kama afrika ikisepa na urusi basi wameisha nasubiria kama watamkubalia huyu mtoto ombi lake
 

Siku chache zilizopita


18+graphics content
Haya ni baadhi ya madhara ya matumizi ya TOS-1A dhidi ya majeshi ya Ukraine.
Siku chache zilizopita

Huyu Rais wa Ukraine anastahili kukamatwa na kuchukuliwa hatua, anasubiri nini kusalimu amri! Haoni majeshi yake yanauawa!

Media za westens zinaficha ukweli, huenda miongoni mwa majeshi ya Ukraine yaliouawa na wanaoendelea kuuawa mpaka sasa dhidi ya majeshi ya Urusi kuna NATO ndani yake, naamini kabisa NATO anamsaidia Ukraine... Mrusi anaendeleza kichapo.
 

Siku chache zilizopita


18+graphics content
Haya ni baadhi ya madhara ya matumizi ya TOS-1A dhidi ya majeshi ya Ukraine.
Siku chache zilizopita

Huyu Rais wa Ukraine anastahili kukamatwa na kuchukuliwa hatua, anasubiri nini kusalimu amri! Haoni majeshi yake yanauawa!

Media za westens zinaficha ukweli, huenda miongoni mwa majeshi ya Ukraine yaliouawa na wanaoendelea kuuawa mpaka sasa dhidi ya majeshi ya Urusi kuna NATO ndani yake, naamini kabisa NATO anamsaidia Ukraine... Mrusi anaendeleza kichapo.
Haaaaaaa yaani we unampiga adui yako halafu Unaomba ajisalimishe tena.
 
.
Screenshot_20220517-182928.jpg
 
West hawawezi kutoa hizo habari, kuna wapiganaji wengi wanatoka nchi za Europe na marekani wamepigwa kichapo wameuwawa, juzi Nchi nyungi za Euro zimeandamana vijana wao wanauwawa na hawaungi mkono vijana wao kupelekwa Ukraine, vijana wengi wanapelekwa huko bila ya mafunzo ya vita yaani hawajui hata kushika silaha
 
This man is too humble

Listen to him, Putin 📝: The rejection of Russian energy resources means that Europe is becoming the region with the highest cost of energy resources in the world.

This can irrevocably undermine the competitiveness of the industry of European countries.

Is really Putin ni Adui yao? Wakiwa busy kutaka kuvuruga uchumi wa nchi yake yeye anawashauri namna ya kuuokoa uchumi wao.

My people, this look like a father and his son, A boy kick at his father, the Father, instead of beating him back, He respond calmly with an advise to his son on how to have a good kick for the self defense against others.
Hili nimeshaliongea humu nikasema hao wakijichanganya wakaiwekea vikwazo gas na Oil basi watakuwa wamejaliza rasmi na China pamoja na nchi za Asia zinaenda kuwa na uchumi mkubwa duniani,

Maana China atatengeneza bidhaa Bora kama wanazotengeneza west Ila zitakuwa zinauzwa Kwa bei nafuu kuliko zinazozalishwa west
Kiufupi itafika kipindi watafunga viwanda au watarudi kumpiga magoti urusi
Kwenye bidhaa marekani mpaka sasa analia na mchina
 
Yaani wee Acha tu tunawaangalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si walituona Siyo muhimu wameshtuka kama afrika ikisepa na urusi basi wameisha nasubiria kama watamkubalia huyu mtoto ombi lake
View attachment 2228295
[emoji23][emoji23][emoji23] eti sasa ndio wanajifanya wanaheshim sovereignity za mataifa mengine... Sidhani kama anaweza thubutu hicho kitu.

Udhaifu wa Democracy ni Government kua chini ya wafanya biashara... huna Jino la maana la kuwazingua. Wakitaka wanakuweka na wakitaka wanakupuga. Kwao kilicho mbele ni Pesa sio maslah ya taifa.

Na lau kama lel say nchi zote za upande wa kulia na maana ya Mashariki zingekuwa under huu upuuzi tunaotapakaza kwa jina la democracy basi dunia yote ingekuwa kwenye kiganja cha wahuni flan flan.

Democracy itself ni Good Idea, ila wanaotumia mwamvuli huo sasa [emoji23][emoji23][emoji23] hawafai hata kulumangia.

Hapo Russia kama Key Sectors za nchi hiyo zingekuwa not under Government sa hivi eneo la Russia lingekuwa na Nchi zaidi ya 200 zimetengenezwa tayari...

Kwa wenye akili timam mtakuwa mmenielewa.
 
Back
Top Bottom