Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nato ipigane vita vya muda mrefu tu mpaka mrusi achoke ndio dawa yake wazidi tu kupeleka silaha Ukraine bila kuchoka hii itaathiri maisha ya watu wa Russia watachoka tu siku moja nato isikate tamaa AT NO LONGER A GIANT RUSSIA WILL SURRENDER...! And at that time it shall be a good time to divides Russia and collapse it totally, no good chance the western had than this time"
Yaani Wewe umekaa mashenzini huko unakula kiti moto unadhani ni mwerevu kuliko Watu woote mil 144 pale Urusi hawaoni hatari inayoikabili nchi yao wala chochote..Let me tell you...Unajua kidogo sana kuhusu Urusi..wanazo Plan zote zingine ungejua utalia na kujamba...Ogopa sana hii Sio Zimbabwe....Hii Inaitwa Russia Federation....
 
US Yajaribu kombora la Hypersonic lenye speed mara 5 zaidi ya speed ya mwanga[emoji848]
Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.

Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.

Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]

Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?

Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.

Unajua the longest distance between two point kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.

Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.

Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...

Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
 
View attachment 2227980

Scotland's First Minister Nicola Sturgeon announced tentative plans to hold an independence vote in 2023 as residents remain displeased about the U.K. leaving the EU, the Associated Press reported.

She also spelled out her firm belief that Scotland must join NATO and the EU if the country votes for independence.
UK is disintegrating. UK imekua irrelevant kabisa.
 
I will fight slowly and calmly to earn slow but steady advances and reduce casualty.

Putin anataka vita iende taratibu kama Nato walivyotaka ili kuonyeshana makali . Hapo anataka miezi ya baridi ifike maadui wafe wenyewe kwa bàridi KGB HUYO

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Nani aliwafanya kuamini hadithi hizo??? Putin alijarubu kumaliza haraka hivyo aliagiza kiwanja cha ndege Hostomel kushambuliwa siku ya kwanza ila waliandaahovyo hivyo kikosi cha Speznaz walikufa bure.... Alijaribu kumkamata Zelenski siku ya pili waliandaa hovyo, Zelenski alichukuliwa na walinzi wake akawa salama. Alijaribu kukamata mji mkuu wa Kyiv waliandaa hovyo hivyo walipoteza vifaru na askari kibao . . . Hakupunguza chochote, mji wa Mariupol alisagasaga kwa mizinga yake hadi kuua watu raia 30,000 wengi kuliko Wajerumani wakati wa vita kuu ya pili.
Putin akijaribu kupunguza vifo vya askari, ameshapooteza zaidi kuliko jeshi la Kirusi katika miaka mingi ya vita ya Afghanistan . . . .
Naona kuna dini mpya hapa, ni ibada ya Putin. Waumini wakiamua kuamini, basi.
 
Aprry
Spidi ya mwanga unaijua lakini?
Sorry
Speed ya sauti
Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.

Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.

Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]

Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?

Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.

Unajua the longest distance between two pint kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.

Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.

Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...

Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
Kitu kidogo kurekebisha unaandika hotuba ndefu hivyo.Yaelekea wewe ni mzaramo mswahili wa mwanaromango😡
 
makelele hiyo kuhusu "hyper/supersonic missiles" ni bure. Nimeuliza mara kadhaa mtu anitajie kombora kubwa ambayo SI hypersonic 8ufafanuzi ni angalau mara tano kasi ya sauti hewani). Sijui kombora inagonga shabaha chini ya kasi hiyo. Hata bibi wa roketi V2 ya Ujerumani ya mwaka 1944 ilifikia kasi hiyo.
 
Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.

Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.

Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]

Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?

Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.

Unajua the longest distance between two pint kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.

Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.

Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...

Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
sio mbaya mnawagonga facts huku mnawapa na elimu kidogo
 
US Yajaribu kombora la Hypersonic lenye speed mara 5 zaidi ya speed ya sauti [emoji848]
Wakati wao wanafanya testing, Russia yeye anayo mengi tu na ameshayatumia sana Kwenye battlefield
 
img_4_1652771741088.jpg
su25 ni ndege za zaman sana ila ni shidaaaa
 
Back
Top Bottom