MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Upo sahihiUnaniangusha rafiki angu....
Angalia vizuri Unit zilizotumika... nimetumia Kilometer sio Meter. Rejea 1KM equal to 1000M so rudia tena ku'convert...
300,000Km/S niliyoandika equal to 3,000,000m/s unayoitamka wewe, Hivyo note the difference.
Hiyo ni Kilo meter per second sio Meter per second...
Huyu ndo anataka asaidie Sweden na Finland wakati hali yake mwenyewe imemshinda kudhibiti, Jinga kabisa
Ukiuleta usisahau kutu-tag tu wachangiaji watiifu [emoji23]Hii nakuja na uzi wake soon, kuna mpango huo marekani kuongia mazima ila nchi za ulaya zimegoma
All Intelligences from top Agencies Mi6, Mossad, CIA + Pentagon and Other 30 Members of NATO working hand in hand with Ukrainan SBU bado hawafui dafu mbele ya Russia.Jamaa kwani huwa anafanyaje yaani wanashambulia bila makamanda wao kujua kuwa wanazungukwa?????🤣🤣🤣🤣🤣 Kama ni kweli basi ni pigo kubwa Kwa NATO, kuna kila dalili NATO na USA kuingia Ukraine mazima, maana kila wanavyomvuta urusi Kwa kumchokoza jamaa anawakwepa kusudi halafu anawaumiza pakubwa
Yaani ukuwaangalia viongozi wa NATO na USA mdomoni wanacheka lakini macho yanatoa machozi
Ungeweka na chanzo cha habar yako ingependeza sanaWizara ya Ulinzi ya Urusi iliharibu maghala ya vifaa vya kijeshi vya Marekani na Ulaya kwa kutumia makombora ya majini ya "Kaliber", na kuripoti kujisalimisha kwa wanamgambo 265 wa Kiukreni kwenye mtambo wa "Azovstal".
Urusi imetangaza leo, Jumanne, kulengwa kwa shehena za silaha za Marekani na Ulaya, karibu na mji wa Lvov, magharibi mwa Ukraine.
Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake: "zimekuwa zikilengwa na kuharibu shehena za silaha za Amerika na Ulaya karibu na jiji la Lvov kwa makombora.
Kulingana na taarifa hiyo, makombora ya Jeshi la Wanaanga ya Urusi yaligonga base mbili za command na kituo cha mawasiliano, pamoja na kikosi cha 30 cha mechanized katika mkoa wa Bakhmut, maeneo 28 ya mkutano wa kijeshi, na bohari mbili za Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine.
Marekani hutoa idadi kubwa ya siraha za kijeshi katika nchi za Ulaya zikiongozwa na Ujerumani na Uingereza silaha hizo za kisasa upelekwa Kyiv.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa wanamgambo 265 wa Ukraine, wakiwemo 51 waliojeruhiwa vibaya, walijisalimisha na kuweka chini silaha zao, baada ya kunaswa katika kiwanda cha Azovstal huko Mariupol.
Urusi ilitangaza jana, kufikia makubaliano na jeshi la Kiukreni katika eneo la kiwanda "Azovstal" ili kuwahamisha waliojeruhiwa kwa taasisi za matibabu katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk.
Pia, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilionyesha kwamba vikosi vyake viliua, wakati wa saa 24 zilizopita, "zaidi ya wanamgambo wa itikadi kali 470, na kuharibu vitengo 68 vya vifaa vya kijeshi."
Hiyo "binduki" anayoikagua mbabe Putin akibeba Biden lazima akapigwe Ultrasound kucheki uti wa mgongo.Huyu Mwamba aise🇷🇺🇷🇺🙌
View attachment 2229305
Yule atajinyeaHiyo "binduki" anayoikagua mbabe Putin akibeba Biden lazima akapigwe Ultrasound kucheki uti wa mgongo.
Asilimia 9 bado ni ndogo ngoja ifike 30 hapo ndio moto utawaka RAIA wataingia road kuandamana
Ankoli, siku nyingine takataka kama hii iweke kwa lugha ya Kiswahili, ukifanya hivyo unaweza kuokota "maboya" wawili watatu.[emoji298]️Dissatisfaction with participation in combat operations is growing among the Russian troops.
The Russian militaries are increasingly refusing to carry out orders to conduct combat operations in Ukraine.
According to Ukraine's military Intelligence, despite covert sabotage, several units have already openly refused to take part in the war and demanded to be returned to their places of permanent deployment. The most active servicemen demanding return to Russian territory were sent to the most dangerous sector of the front.