Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Oyaaaa [emoji23] sasaivi hio [emoji16]

Miji yote tunaipelekea moto
20220518_183548.jpg
 
Hiyo kitu nyuma imekaa Kama INGE kuna usalama hapo ,nato wanaijua vizuri Sana Soma katika report zao
 
The United States, after a three-month break, resumed the work of the American embassy in Kyiv on Wednesday, Reuters reports.

20220502_010825 (1).png
 
Aisee nilikuwa najiuliza hivi kwanini Africa atuendelei kumbe sababu kuu ni moja tu. Uwepo wa pro nato(puppets) , tukiwaondoa maendeleo tutayaona hawa ni vikwazo tosha ndio maana wakiona sio size yao wanakimbilia vikwazo sababu wao wenyewe ni vikwazo tosha.
Tatizo yamejigawa hapa Africa kwenye vyama tawala, huwa hawana akili zao wanatumia akili za mbayuwayu tuuuu,kwenye ukweli wao wanapinga
 

​

View attachment 2229284
Zelensky: Urusi Inarusha makombora kwa sababu ya ukosefu wa mafanikio ardhini

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amedai kuwa Urusi inarusha makombora ya masafa marefu katika miundombinu ya raia na ile ya kijeshi ya Ukraine kwa sababu jeshi lake haliwezi kuonyesha mafanikio yoyote muhimu.

Katika hotuba yake ya video iliyotolewa jana usiku, Zelensky alisema kumekuwa na ufyatuaji wa makombora katika maeneo ya Lviv, Sumy na Chernihiv, mashambulizi ya anga katika eneo la Luhansk na "shughuli za hujuma" katika maeneo ya mpakani.

"Haya yote sio tu kuleta mvutano kwa jimbo letu, sio tu kujaribu nguvu zetu," Zelensky anasema.

"Hili ni jaribio la jeshi la Urusi kufidia safu ya kushindwa mashariki na kusini mwa nchi yetu.

"Hawawezi kuonyesha mafanikio kwa hatua za jumla za kijeshi katika maeneo wanayojaribu kusonga mbele. Kwa hiyo wanajaribu kuonyesha mafanikio kupitia makombora yao na shughuli nyingine. Bila mafanikio pia."
Umenikumbusha mbali sana. Utotoniiiii , tulikuwa mnaambia tupigane ila usirushe mateke, wala ukaba koo iwe ngumi tu
 
Jamaa kwani huwa anafanyaje yaani wanashambulia bila makamanda wao kujua kuwa wanazungukwa?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama ni kweli basi ni pigo kubwa Kwa NATO, kuna kila dalili NATO na USA kuingia Ukraine mazima, maana kila wanavyomvuta urusi Kwa kumchokoza jamaa anawakwepa kusudi halafu anawaumiza pakubwa

Yaani ukuwaangalia viongozi wa NATO na USA mdomoni wanacheka lakini macho yanatoa machozi
Hii nakuja na uzi wake soon, kuna mpango huo marekani kuingia mazima ila nchi za ulaya zimegoma
 
Russia, in response to the ban on broadcasting RT and RT France in Canada, closes the Moscow office of the Canadian state company CBC, cancels the accreditations and visas of its journalists.

This was stated by Maria @MariaVladimirovnaZakharova Zakharova:

“We said that we would answer: symmetrically, similarly, mirrored - it doesn’t matter. Adequately. We have repeatedly warned about this.

We said that such unilateral restrictive measures, violating the principles of freedom of speech and hindering the normal operation of the Russian media, would not go unanswered.”
20220502_010825 (1).png
 
Back
Top Bottom