Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aisee nilikuwa najiuliza hivi kwanini Africa atuendelei kumbe sababu kuu ni moja tu. Uwepo wa pro nato(puppets) , tukiwaondoa maendeleo tutayaona hawa ni vikwazo tosha ndio maana wakiona sio size yao wanakimbilia vikwazo sababu wao wenyewe ni vikwazo tosha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mjamaa anaomba za chini kiujanja, anasema za juu hawezi, anatia huruma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] jamaa hakiaMungu anatia huruma, kuwasikiliza west kumemponza sana, kwani huyu rais wao kaomba ukimbizi nchi gani maana hajulikani alipo [emoji16]
 
Video gani MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliunganisha uzi

Siku chache zilizopita


18+graphics content
Haya ni baadhi ya madhara ya matumizi ya TOS-1A dhidi ya majeshi ya Ukraine.
Siku chache zilizopita

Huyu Rais wa Ukraine anastahili kukamatwa na kuchukuliwa hatua, anasubiri nini kusalimu amri! Haoni majeshi yake yanauawa!

Media za westens zinaficha ukweli, huenda miongoni mwa majeshi ya Ukraine yaliouawa na wanaoendelea kuuawa mpaka sasa dhidi ya majeshi ya Urusi kuna NATO ndani yake, naamini kabisa NATO anamsaidia Ukraine... Mrusi anaendeleza kichapo.

hiyo video ya kwanza
 
Mwelezee kabisa akili za aina gani...

Maana kwa akili za upumbafu na ujinga mwingi mwingi umemuacha mbali sio kitoto... MBALI MNO nazidi kukazia [emoji3] That's why hamkuweza na hautoweza kufahamiana nae.
[emoji1][emoji1][emoji1]mkuui!!![emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kyiv,makao makuu ya nchi,pamoja na mji wa pili Kharkiv, adui kafurushwa,askari zaidi ya elfu 27 wa mvamizi wamefariki na vifaa vingi vya kijeshi kuharibiwa.
Mapambano yanaendelea 🤔
Kyiv inazalisha nini? Piga picha Hapa Tanzania bandari zote zichukuliwe,wanajeshi kufa vitani ni kawaida, tupe idadi ya upande wa pili
 
Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.

Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.

Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]

Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?

Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.

Unajua the longest distance between two point kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.

Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.

Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...

Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
Vijana wanakurupuka na kuandika vitu hata wasivyoelewa!Hawajui hata physics!
Speed ya mwanga ni 3*10^8 m/s,au 1,080,000,000km/hr!
Sasa tuseme mbu,ana uzito wa approximately 5 mg sawa na 5/10000000 kg!
So tukisema momentum,kama mbu atasafiri Kwa speed ya light itakuwa MV,yaani Mass ×Velocity,ambayo utapata 1080km/kghr!
So momentum ya mbu akitembea Kwa speed ya light ni 1080 units!
Tuje Kwa binadamu mwenye kg 108,akiwa anakimbiza Kwa 10km/hr,Momentum yake ni 1080 units!
Hii maana yake nini,kwamba binadamu mwenye uzito wa 108kg akiwa anakimbia Kwa speed ya 10km/hr akakutana na mbu anayetembea Kwa speed ya mwanga basi on impact binadamu atasimamishwa na mbu(will be brought to rest)!
Is that possible?Sijui huyo jamaa atanielewa logic yangu!
Hapo nimetolea mfano wa mbu Ili achukue tu kitu chenye size ndogo kama hiyo,sasa imagine Kwa kombora lenye significant weight!Hiyo momentum yake itakuwaje?
 
Sisi tunaangalia hasara aliyepata mvamizi sababu ya ujuha wake🤔
Russia WW2 alipoteza watu mil 27 sababu ya wanazi!Kwahiyo kapiga hesabu zake kaona achukue tahadhari mapema Ili huko mbeleni isije ikawa hasara kubwa zaidi!
US alipoteza watu 400,000 na akashusha Nyuklia!
US ashukuru Geography,maana angekuwa Karibu,angepoteza zaidi!
Vita sio lelemama!
 
Hola hola, nakupa mwendelezo ulipoishia George.

Putin: Sio utani kijana wangu, nataka nikurudishie mikoba umri umeenda.

Medvedev: Haina shida kaka, nipe kijiti niwanyooshe hawa makima [emoji23], Ujue kaka mara ya kwanza ulivonipa kijiti walijua nitauzima upepo ulioanza kuupuliza. Wali enjoy kufungulia A/C kisa joto sasa wanalalamika baridi.

Putin & Medvedev: (All laughing out loud)

Pro Russia: Mzee baba wanyooshe hao Magasho, wanyooshe baabeki.

Pro US/NATO: (Huku jasho likiwatoka kwa kitete) Hamtuezi, tutakaa vikao 120172910370016291791027302 kujadili vikwazo vya kuwapa.

Kremlin Spoke Person from JF: Tusubirini hapa hapa tukafute vumbi kwenye Samart a.k.a Satan 2.

Pro US/NATO: Aaaa bros kwani hamtaniwi, kidogo tu hivo mnanuna, basi bana, basiii tunaenda somalia sisi. Hatutaki mbichi hizi.

V. Putin, Medvedev, Pro Russia, Other smart people all Over the world: View attachment 2229078
Umetisha jomba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri ni kwamba ,Dunia inafuatilia sakata hili za Ukraine na Urusi kwa utulivu mkubwa sana,hatua kwa hatua.
Dunia inafuatilia vizuri sana juu askari hao waliokua wamejichimbia ndani ya handaki.
Unajua kwa Nini jambo hilo limevutia wengi?
Sababu ni moja kubwa.
Kwa mara nyingi,USA na UK na memba wengine baadhi wa NATO waliwahi kufanya baadhi ya Operation za kukomboa watu wao,Tena kwa kutumia Highly trained Special Forces na wakafanikiwa.

Mfano ni kama Ile ya Israel dhidi ya Uganda.maarufu kama 90 minute s in Entebe.
Na nyingine London,Na Ile iliyosifiwa sana ya kumuua Osama bin Laden.

Sasa watu wakawa wanasikilizia kuona je Hawa umoja wa nchi kubwa kabisa hapa duniani watafanya uokoaji dhidi ya Urusi kama walivyofanya huko awali?
Je Urusi itakua dhaifu kiasi hicho Cha vijiwanajeshi vingine kuja kuokoa watu wao mikononi mwao?
Hapa ndipo palipoifanya Dunia ifuatilie kwa makini sana sakata hili.
Na kwa halii hii,hata BBC wadanganye vipi Dunia haiwaelewi.wanajua abc zote za wale askari waliojificha shimoni.
Absolutely correct
 
West na media zao ni washenzi kwa maana halisi ya neno ushenzi...they are uncivilized...bullish...arogant...murderers...exploiters, propagandists, selfish and thieves...they don't care for world peace...what they care is to serve their own interests...Yale majamaa ya Azov yamesalimu amri au kusurrender pale Mariupol...lakini media za west zinasema eti wanakuwa evacuated...very stupid indeed...
MBWA kabisa wale[emoji51][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom