Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Tokea vita imeanza,mwamba umemsikia mara ngapi akiongea?Yuko kimya? Wakati Kila siku anayishia atapiga nuclear.
Tokea vita imeanza,mwamba umemsikia mara ngapi akiongea?Yuko kimya? Wakati Kila siku anayishia atapiga nuclear.
Jibu swali,umeshaona wapi battle mnakubaliana zitumike risasi tu?Hiyo imebaki Kwa Boko Haram au waasi wakiwa wanapambana na majeshi huku Africa!US katoka wap tena ,bang hazijawah mwacha mtu salama
Utakosea sana tena zaidi ya sana sababu huo uloniita utakurejelea mwenyewe MKUU tena utakua umejikosea mwenyewe
Tokea juzi sijatulia ila nikitulia nitautafta ule uzi nikuletee huo unaouita UPUMBAVU wako MKUU
Jamaa umekuaje wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumedaka mzigo huoView attachment 2229495
[emoji23][emoji23][emoji23] Momentum ya kuleta Bing Bang Theory nyingineVijana wanakurupuka na kuandika vitu hata wasivyoelewa!Hawajui hata physics!
Speed ya mwanga ni 3*10^8 m/s,au 1,080,000,000km/hr!
Sasa tuseme mbu,ana uzito wa approximately 5 mg sawa na 5/10000000 kg!
So tukisema momentum,kama mbu atasafiri Kwa speed ya light itakuwa MV,yaani Mass ×Velocity,ambayo utapata 1080km/kghr!
So momentum ya mbu akitembea Kwa speed ya light ni 1080 units!
Tuje Kwa binadamu mwenye kg 108,akiwa anakimbiza Kwa 10km/hr,Momentum yake ni 1080 units!
Hii maana yake nini,kwamba binadamu mwenye uzito wa 108kg akiwa anakimbia Kwa speed ya 10km/hr akakutana na mbu anayetembea Kwa speed ya mwanga basi on impact binadamu atasimamishwa na mbu(will be brought to rest)!
Is that possible?Sijui huyo jamaa atanielewa logic yangu!
Hapo nimetolea mfano wa mbu Ili achukue tu kitu chenye size ndogo kama hiyo,sasa imagine Kwa kombora lenye significant weight!Hiyo momentum yake itakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23] Vipi jomba![emoji1][emoji1][emoji1]mkuui!!![emoji119][emoji119][emoji119]
Kabisa mkuu😃[emoji23][emoji23][emoji23] Momentum ya kuleta Bing Bang Theory nyingine
Sababu ni nini?Hii ni vita nyingine..
Hivi hizi Javelins zinatumikaje?Tumedaka mzigo huoView attachment 2229495
Hapo ndo nawashangaa mabepari yaani ni kulana wao kwao hawana huruma...ujinga wako unaulipia kwa gharama kubwa saana ...Maskini UKRAINE [emoji23][emoji23][emoji23]
hawa majamaa kumbe wajinga hv eeeeh!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ni gharama Sana na Ukraine pay it biglyBelgium used the war in Ukraine as an excuse to dump 280.000 expired medication to Ukraine, camouflaged as a €3 million donation.
This is your “ethical” European country ladies and gentlemen. https://t.co/xkBFuLd1nK
Kaka hakuna dalili kwamba masimulizi yako yana ukweli wowote. Putin alipoteza kikosi cha Speznaz huko Hostomel kwa sababu walipanga vibaya. Kama wangetumia jeshi la anga kwenye siku ya kwanza kwa namna inayoeleweka , wangetawala leo anga juu ya Ukraine. Hapa walishindwa hadi leo.....Mauripol ilikua na special forces 100000 . So Putin diverted the target to deceive Nato. As if wanted to concur Kieve. So Nato reinforced Kieve in expens of Mauripol and other cities in south East. Putin is Super . A real KGB legend
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Halafu kuna watu wanaopenda misaada ya kutoka kule. Hawajui wanachukua nini in returnHapo ndo nawashangaa mabepari yaani ni kulana wao kwao hawana huruma...ujinga wako unaulipia kwa gharama kubwa saana ...
Sasa wanatengeneza tatizo la njaa Ukraine ili wamkopeshe na chakula halafu Ukraine ita default in 4-5 years from nao...halafu akina Murdoch,. Roccafela, and the likes wata own Ukraine ....Slava Ukraine