Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mh for this pace EU itakuja kuvunjika soon or later

Lithuania called on Ukraine to stop the transit of Russian gas and oil.

📝 Foreign Minister Gabruelius Landsbergis is indignant because Hungary's position makes it impossible to impose an embargo on Russian energy carriers.

Therefore, he suggests to do it forcibly.

"If traffic from Ukraine is stopped, the problem will be solved by itself," the minister said.

That is, in fact, he proposed to leave Hungary without oil and gas, whether she wants it or not. Apparently this is within the framework of the famous "European solidarity".
 
🤗

🇷🇺 Russia will restore all the liberated territories of Ukraine.

Decisions on this have already been made, Deputy Prime Minister Khusnullin said during a visit to Melitopol.

▪️It is planned to launch the maximum turnover of the ruble in all the liberated territories — it will replace the hryvnia.

▪️All roads connected with Russia will be repaired according to the Russian program.

▪️The Zaporozhye NPP will continue its work:

"If the energy system of Ukraine is ready to accept and pay, then it will work for Ukraine. If he doesn't accept it, it means he will work for Russia."

The prospect of the Zaporozhye region is "to work in a friendly Russian family."
 
Hivi hizi Javelins zinatumikaje?
Inawezekana kweli Russians nao wakazitumia au zinaprogram ya tofauti.
Wajuzi tafadhari msaada.
Russia hawazitumii hizi, wakizidaka wanazisafirisha Moscow, Russia anazo zake kidogo nyembamba zaidi ya hizi ila moto wake balaaa, nyingi sana wanazitumia wale Jamhuri ya watu wa Chechnya ndio wanapigana sana vita ya mitaani, Jeshi la Moscow mara nyingi anatumi magari maalum jamii ya vifaru vyenye matairi ya pira magari hayo yana risasi kama kidole cha mamba mpevu, ndio anayoingia nayo street, risasi ikipiga ukutani lazima ichane na effects zitaonekana

Russia hazitumii hizi coz ya security, yaani hawaziamini wanahisi kama vile ni toys tu,
Ndio wanazipeleka Moscow kukaguliwa vizuri si unajua wenzetu Security mwanzo kuliko chengine

Pia Russia hana shida ya Silaha especially kutoka Nato maana wao ni taifa kubwa na wauzaji wakubwa wa silaha, pengineeeeee baadae sana baada ya uchunguzi wanaweza kutumia
 
Aaah pro NATO where are you siwaoni mkicomment yaani mnashadadia NATO hawahawa walio tumia makanisa kunyonya watu wengine, hawahawa walioupitisha ushoga hadi makanisani, hawahawa wanaotujonya mbaka kesho aaah kweli pro NATO ni hopeless kabisa yaani nyinyi ni wajinga kwa Kila Kila kitu sielewi Nini mnaelewa history ya dunia chenga, Imani chenga, science na technology chenga na uchumi chenga. kweli yinyi ndio mnaoturudisha nyuma kilasiku ni hasara kubwa sana kuwa na watu Kama nyinyi
 
Wanatamani kuiba lakini wanaogopa 😂

🇺🇸 It turns out that American laws prohibit stealing.

The head of the US Treasury Department said that the country's legislation does not allow to confiscate Russian property seized in the States and direct the proceeds to support Ukraine.
Ila Afghanistan,Libya n.k n ruksa kuchukua.
RUSSIA nasema ivii I feel blessed kushuhudia haya keep doing what you do mimi na familia yangu tunawaombea.
 
Nawakubali sana hawa wanyama hawana propaganda
Si ndo izo habari bila picha.kila siku wanasema wanalipua afu tuna zikuta fronline
ukraine_defence-20220518-0008.jpg
 
Wizara ya Ulinzi ya Urusi iliharibu maghala ya vifaa vya kijeshi vya Marekani na Ulaya kwa kutumia makombora ya majini ya "Kaliber", na kuripoti kujisalimisha kwa wanamgambo 265 wa Kiukreni kwenye mtambo wa "Azovstal".

Urusi imetangaza leo, Jumanne, kulengwa kwa shehena za silaha za Marekani na Ulaya, karibu na mji wa Lvov, magharibi mwa Ukraine.

Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake: "zimekuwa zikilengwa na kuharibu shehena za silaha za Amerika na Ulaya karibu na jiji la Lvov kwa makombora.

Kulingana na taarifa hiyo, makombora ya Jeshi la Wanaanga ya Urusi yaligonga base mbili za command na kituo cha mawasiliano, pamoja na kikosi cha 30 cha mechanized katika mkoa wa Bakhmut, maeneo 28 ya mkutano wa kijeshi, na bohari mbili za Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine.

Marekani hutoa idadi kubwa ya siraha za kijeshi katika nchi za Ulaya zikiongozwa na Ujerumani na Uingereza silaha hizo za kisasa upelekwa Kyiv.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa wanamgambo 265 wa Ukraine, wakiwemo 51 waliojeruhiwa vibaya, walijisalimisha na kuweka chini silaha zao, baada ya kunaswa katika kiwanda cha Azovstal huko Mariupol.

Urusi ilitangaza jana, kufikia makubaliano na jeshi la Kiukreni katika eneo la kiwanda "Azovstal" ili kuwahamisha waliojeruhiwa kwa taasisi za matibabu katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk.

Pia, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilionyesha kwamba vikosi vyake viliua, wakati wa saa 24 zilizopita, "zaidi ya wanamgambo wa itikadi kali 470, na kuharibu vitengo 68 vya vifaa vya kijeshi."
Kila siku wanasema wamelipua afu vitu tuna vikuta front
ukraine_defence-20220518-0006.jpg
ukraine_defence-20220518-0002.jpg
 
Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.

Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.

Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]

Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?

Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.

Unajua the longest distance between two point kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.

Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.

Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...

Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
Nakukosoa kidogo mkuu hapo kwenye speed of light ni 300,000,000 m/s au kama tulivyokuwa tunaandika school 3×10^8 au 3E8.
Ila ni ukweli hakuna kitu kinachokaribia speed ya mwanga kwenye hii known universe.
 
So Western media ndio wanaongea ukweli. Hii vita IPO siku itashangaza wengi, maana si kwa majigambo ya western media. Unataka uniambie wa-Ukraine hawafi maana ndio western media propaganda muda wote
Labda kama mvivu kusoma na kusikiliza habari.zaid wanajeshi wa Ukraini elfu35k wameshakufa.ila kikubwa kinacho shangaza Ukrain kuwa imara na rudisha nyuma Russia.
 
Back
Top Bottom