Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji91][emoji91][emoji91]They say that the Ukrainian group Kalush Orchestra "winning" at Eurovision after the mass surrender of the Azovstal defenders decided to change their clip[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91] https://t.co/9OncQ02i7v
 
[emoji91][emoji91][emoji91]They say that the Ukrainian group Kalush Orchestra "winning" at Eurovision after the mass surrender of the Azovstal defenders decided to change their clip[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91] https://t.co/9OncQ02i7v
 
Kupiga Makombora na kukosekana mstari salama au Kambi salama na eneo la mstari wa mbele rasmi kwa mvamizi ndio hatua za kushindwa vita
 
French President Emmanuel Macron has accepted Jean Castex's resignation as prime minister, the Elysee Palace has announced.

According to French media, the new Prime Minister of France will appoint Elizabeth Born, who holds the post of Minister of Labor.View attachment 2229077
Hii inshu ingetokea MOSCOW
natamani nikumbuke yule jamaa aloshaa resignation ya magavana wakule MOSCOW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni operation,wewe hayo ya vita umetoa wapi?
Pili,hivi kilikuwa na makubaliano kwamba operation hii zitatumika risasi tu?
Ingekuwa hivyo,US angekuwa anachapika kila anakokwenda!Military battle Kwa Sasa ni machines,mwenye nazo ndio mwenye nguvu!
US katoka wap tena ,bang hazijawah mwacha mtu salama
 
Huyu naye haishi kulialia?Mbona mwenzake Yuko kimya anakimbiza mwizi kimya kimya?Vita ni mbinu,sasa unampangia mpigane Kwa kurushiana risasi na mabomu ya mkono wakati wewe umechimba mashimo na kujificha ukisubiri asogee ndio umshambulie Kwa kushtukiza!
Yuko kimya? Wakati Kila siku anayishia atapiga nuclear.
 
Inavyoonekana mjamaa alikuwa amejipanga za chini, sasa kabadilishiwa za juu na hawezi kukinga ngumi nzito. Anafundishwa adabu ipasavho
Mkuu vita ya juu unapaswa kujua adui yako hatakoma mpaka umshukie chini ndio utamaliza mchezo sasa ni wazi russia amefeli kuliko kufeli, wacha Finland na Sweden wajiunge Nato putini azidi kusononeka
 
Mzigo huo tumedaka
20220518_150202.jpg
 
Uzuri ni kwamba ,Dunia inafuatilia sakata hili za Ukraine na Urusi kwa utulivu mkubwa sana,hatua kwa hatua.
Dunia inafuatilia vizuri sana juu askari hao waliokua wamejichimbia ndani ya handaki.
Unajua kwa Nini jambo hilo limevutia wengi?
Sababu ni moja kubwa.
Kwa mara nyingi,USA na UK na memba wengine baadhi wa NATO waliwahi kufanya baadhi ya Operation za kukomboa watu wao,Tena kwa kutumia Highly trained Special Forces na wakafanikiwa.

Mfano ni kama Ile ya Israel dhidi ya Uganda.maarufu kama 90 minute s in Entebe.
Na nyingine London,Na Ile iliyosifiwa sana ya kumuua Osama bin Laden.

Sasa watu wakawa wanasikilizia kuona je Hawa umoja wa nchi kubwa kabisa hapa duniani watafanya uokoaji dhidi ya Urusi kama walivyofanya huko awali?
Je Urusi itakua dhaifu kiasi hicho Cha vijiwanajeshi vingine kuja kuokoa watu wao mikononi mwao?
Hapa ndipo palipoifanya Dunia ifuatilie kwa makini sana sakata hili.
Na kwa halii hii,hata BBC wadanganye vipi Dunia haiwaelewi.wanajua abc zote za wale askari waliojificha shimoni.
Hakika MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom