Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilikuwa nafuatilia na kusema hii kitu inaonekana kama ya kitoto kwa Urusi, vile imechukua miezi sasa toka alipokuwa anatamba kuipokonya nchi yote.

Putin anajipa moyo sana alikuwa anajiapiza kuichukua Ukraine yote ndani ya muda mfupi but mpaka leo hasemi kitu zaidi ya kujipambanua anachukua aridhi yao ya mababu ila ana kazi kubwa sana, maana kuna vinchi vya pembeni navyo vimeanza kuota mapembe kutaka kujiunga NATO.
Usiwe na haraka kijana tunakwenda tartiibu tunaharibu uchumi wa watu wa magharibi kwanza....
 
nimegundua muda huu baba yangu naye ni team putin, muda ametoka kumpigia simu rafiki yake baada ya kumaliza kusikiliza dw. "wale panya 240 wote wamejisalimisha na 50 kati yao wamefanyiwa vipimo vya x ray, ultrasound, ct scan na vyenginevyo hapo hapo kiwandani. wengine wamekutwa na minyoo". Halafu akawa anacheka
FAZA akili KUBWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na waliopotea Ukraine ni kiasi gani?Mbona hizo takwimu hazitoki?
Ukraine Kuna idadi ya vifo vya wanajeshi inapunguzwa na kuwekwa kwenye kundi la Civilians!😂
Sisi tunaangalia hasara aliyepata mvamizi sababu ya ujuha wake🤔
 
Tunashabikia vita inayotuathiri kiuchumi vibaya and in a long run tutaumia zaidi kwa msimamo wetu wa kujifanya neutral, nchi za Baltic zimetusaidia mno nasi tunajifanya neutral, vita hii ikiisha ndio tutaelewa na kujuta kwa kosa hili,ningekua no 1 vita hii ningewalaumu Russia kwa uvamizi na ningeungana na western countries to condemn Russia.
Ukijakua utamlaumu MKUU [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wizara ya Ulinzi ya Urusi iliharibu maghala ya vifaa vya kijeshi vya Marekani na Ulaya kwa kutumia makombora ya majini ya "Kaliber", na kuripoti kujisalimisha kwa wanamgambo 265 wa Kiukreni kwenye mtambo wa "Azovstal".

Urusi imetangaza leo, Jumanne, kulengwa kwa shehena za silaha za Marekani na Ulaya, karibu na mji wa Lvov, magharibi mwa Ukraine.

Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake: "zimekuwa zikilengwa na kuharibu shehena za silaha za Amerika na Ulaya karibu na jiji la Lvov kwa makombora.

Kulingana na taarifa hiyo, makombora ya Jeshi la Wanaanga ya Urusi yaligonga base mbili za command na kituo cha mawasiliano, pamoja na kikosi cha 30 cha mechanized katika mkoa wa Bakhmut, maeneo 28 ya mkutano wa kijeshi, na bohari mbili za Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine.

Marekani hutoa idadi kubwa ya siraha za kijeshi katika nchi za Ulaya zikiongozwa na Ujerumani na Uingereza silaha hizo za kisasa upelekwa Kyiv.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa wanamgambo 265 wa Ukraine, wakiwemo 51 waliojeruhiwa vibaya, walijisalimisha na kuweka chini silaha zao, baada ya kunaswa katika kiwanda cha Azovstal huko Mariupol.

Urusi ilitangaza jana, kufikia makubaliano na jeshi la Kiukreni katika eneo la kiwanda "Azovstal" ili kuwahamisha waliojeruhiwa kwa taasisi za matibabu katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk.

Pia, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilionyesha kwamba vikosi vyake viliua, wakati wa saa 24 zilizopita, "zaidi ya wanamgambo wa itikadi kali 470, na kuharibu vitengo 68 vya vifaa vya kijeshi."
Piga hao kenge
 
Mpaka sasa Ukraine imepoteza majimbo ya uzalishaji kwa ukubwa na bandari na wanajeshi wengi sana,Hilo unalisemeaje mkuu?😁
Kyiv,makao makuu ya nchi,pamoja na mji wa pili Kharkiv, adui kafurushwa,askari zaidi ya elfu 27 wa mvamizi wamefariki na vifaa vingi vya kijeshi kuharibiwa.
Mapambano yanaendelea 🤔
 
Ukraine alikuwa anawapoteza mateka wa kirusi atabadilishana na nani?
Mbili wale majenerali watabadilishana na nini.
Wale wanapelekwa Arctic kujenga mahandaki
Wale majenerali waliotekwa Maripoul sa ivi wananukia mafuta ya nazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1652878175866.png
 
Turkey wanajua kutumia Fursa

[emoji779]️Bloomberg published Turkey's demands for approval of Sweden and Finland joining NATO:

[emoji835] Declaration by Sweden and Finland of the Kurdistan Workers' Party and its derivatives as terrorist organizations;

[emoji835] Approval of a new package of purchases of F-16 fighters;

[emoji835] Re-entry into the F-35 fighter program;

[emoji835] Lifting of the arms embargo;

[emoji835] Lifting of sanctions against the S-400 air defense system.
Jamaaa wajinga sana hawa nahawaaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom