LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mimi huwa naangalia hapa ndio najua nani yuko na hali mbaya.
20220228_151251.jpg
 
Anachotaka kufanya urusi Kwa akili yako ni sahihi ??? Huwezi kumchagulia ex wako Bwana wa kuishi naye 😊
Kiukweli NI KOSA TENA SANA...NA NDIO MAANA NIKASEMA PUTIN IS A COWARD...LAKINI TULIO WENGI TUNGEFURAHI KAMA HAO NATO WANGEINGIA DIRECT KWA KUTUMA ARMED-TROOPS ZIKAPAMBANE NA URUSI ZIKIWA UPANDE WA UKRAINE DHIDI YA RUSSIA...NA SIO HIVI WALIVYOJIWEKA KANDO NA KUJIFANYA WANATOA MSAADA WA FINANCIAL NA SILAHA UKIZINGATIA UKRAINE ANA JESHI DOGO ILA AMEWAHIMIZA RAIA KUINGIA KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA WANAJESHI WA RUSSIA LAKINI KUMBUKA HAO NI RAIA HAWANA MAFUNZO YA KIJESHI SASA WATAWEZAJE TUMIA HIZO SILAHA WANAZOPEWA KWA MISAADA 100% EFFICIENTLY...KAMA SIO KUTARAJIA VIFO KWA WINGI NDUGU?...IVYO NATO IACHE UNAFIKI IKAINGIE DIRECTLY UKRAINE NA SIO HIVYO WANAVYOFANYA SASA.
 
Latvia, UK, na maitaifa mengi yameruhusu watuwake waende vitani Ukraine
 
Kwaio na wewe unaiamini io tovuti kwa kila kitu.? Yani mzaliwa wa chato burigi akatambuliwe jina na mkenya wa kisumu huko kiraisi raisi tu.? Maiti zinaungua moto hovyo uo utambuzi wanatumia njia gani kuwatambua.? Au ndio unaamini propaganda za kua warusi 5000+ wameuwawa na ao kiev.? Unaamini data za kiev au urusi ambae hajatangaza hata idadi ya wanajeshi walioko huko wala walio kufa.?

Punguza kua mjuaji ktk mambo ya wanaume.

Wanajeshi wote huwa na vitambulisho na pia dog tags zenye service number, kwamba hata akiuawa achomwe hadi kuwa majivu, hizo dog tag number zinasomeka.
Kimsingi ni kuingia kwenye tovuti uone picha ya maiti ya ndugu yako na namba yake ya usajiri jeshini kisha umwombe Putin amrejeshe mwanao/ndugu yako umzike mwenyewe, kauawa huko alikopelekwa akapigane vita vya kuonyesha ubabe wa Putin.
 
Wanajesh wote huwa na vitambulisho na pia dog tags zenye service number, kwamba hata akiuawa achomwe hadi kuwa majivu, hizo dog tag number zinasomeka.
Kimsingi ni kuingia kwenye tovuti uone picha ya maiti ya ndugu yako na namba yake ya usajiri jeshini kisha umwombe Putin amrejeshe mwanao/ndugu yako umzike mwenyewe, kauawa huko alikopelekwa akapigane vita vya kuonyesha ubabe wa Putin.
Sasa weka hiyo Tovuti mzee acha porojo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii vita mitandaoni URUSI askari wanauawa kama M23. Ila sasa wenyewe UKRAINE muda wote wanaomba msaada wa vifaa, askari na hata kugawa silaha kwa Raia wao, wafungwa nk. URUSI wameteka miji kibao ya UKRAINE lkn huku ndani wanasema wamepigwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Screenshot_20220228_140733.jpg
 
Attachments

  • The_base_of_the_Ukrainian_Navy_in_Ochakiv%2C_which_was_built_and_controlled_by_the_United_Stat...mp4
    3.5 MB
Kwenye media hii vita urusi anachezea kichapo kweli kweli ila kwenye uwanja wa vita ukraine maji yamemfika shingoni
View attachment 2134045
Haya mambo mbona yanafahamika mkuu...haiewezekan wewe uwaambie watu wachukue silaha wakapambane na wanajeshi wakati wao ni raia wa kawaida wasio na mafunzo na mbinu za kijeshi hicho ndo ki achoenda kutokea, GOD SAVE THEM ALL!!!
 
Waziri wa Ulinzi wa Russia amemuambia Rais Putin nuclear triad is on 'standby alert duty' na ameshatoa maelekezo ya kufanya kwa wa husika, hivyo tutegemee lolote kuanzia muda huu...[emoji24]
 
Anachotaka kufanya urusi Kwa akili yako ni sahihi ??? Huwezi kumchagulia ex wako Bwana wa kuishi naye 😊
Hata kama huyo bwana anahatarisha Maisha yako, familia yako na mtoto uliyempata na x wako

Ila marekani akiwachagulia watu namna ya kuishi mnaita demokrasia

Ukraini Hadi aombe poo na kuachana na penzi la bwana ake mpya
 
[emoji298]️ Footage reportedly shows artillery shelling raining down on Kharkov – unverified social media clip
View attachment 2133984
Hizo ni Grad rockets. Ziko dumb sio precision guided munitions kwahiyo zina tabia ya kukosea. Waliofyatua unakuta hawakupanga kupiga makazi ya raia. Smart munitions huwa ni gharama sana zinaepukwa kutumiwa kwa wingi au zinatumiwa kwenye kuhitaji accuracy kubwa mfano wakigundua chimbo alipo Zelensky.

Mrusi bado hajatumia silaha kali hapo unaona katumia Grad wakati anazo hata Smerch uko kwake. Kuna hiyo Koalistiya self propelled howitzer inafyatua aina fulani ya shell mpaka kilomita 70 na iko accurate. Kwenye list za howitzers duniani huwa naamini ni ya kwanza
 
Hata kama huyo bwana anahatarisha Maisha yako, familia yako na mtoto uliyempata na x wako

Ila marekani akiwachagulia watu namna ya kuishi mnaita demokrasia

Ukraini Hadi aombe poo na kuachana na penzi la bwana ake mpya
We umeona amehatarisha wapi au ni kujistukia mana Bwana aliye naye ana hela na yupo vizur kimaslah , we kazi kuringa na kifua pamoja na six park hela huna😊
 
Back
Top Bottom