LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hizo ni Grad rockets. Ziko dumb sio precision guided munitions kwahiyo zina tabia ya kukosea. Waliofyatua unakuta hawakupanga kupiga makazi ya raia. Smart munitions huwa ni gharama sana zinaepukwa kutumiwa kwa wingi au zinatumiwa kwenye kuhitaji accuracy kubwa mfano wakigundua chimbo alipo Zelensky.

Mrusi bado hajatumia silaha kali hapo unaona katumia Grad wakati anazo hata Smerch uko kwake. Kuna hiyo Koalistiya self propelled howitzer inafyatua aina fulani ya shell mpaka kilomita 70 na iko accurate. Kwenye list za howitzers duniani huwa naamini ni ya kwanza

Rais Muugizaji Zelensky, sasa ndio katambua kuwa katumika na mataifa ya magharibi baada ya Ukraine kubebeshwa maafa makubwa ya vita vya wakubwa wa dunia
 

Attachments

  • Melitopol_https___t.co_xtAngTrJKS.mp4
    499.1 KB
Oyoooo, mazungumzo ya amani kati ya Russia na Ukraine yamekwisha sasa pasi na matokeo chanya.

Team Putin tunaingia mzigoni kama kawaaaa.

Tayari tumewazingira Ukraine, hawana cha kufanya ni kuwachapa hadi twakata kichwa cha nyoka

Wale wakulialia huruma endeleeni kulialia tu

 
Aisee mnafurahisha
Kuna watu wanaweza kuuana hum kisa vita isiyowahusu
Hahaa warusi wa buza Mara wamarekani wa ....teh teh
 
Rais Muugizaji Zelensky, sasa ndio katambua kuwa katumika na mataifa ya magharibi baada ya Ukraine kubebeshwa maafa makubwa ya vita vya wakubwa wa dunia
Katumika vipi? nayeye nchi yake ndio imevamiwa! ulitaka wote wakimbie wamuachie ardhi mrusi?
 
Hao ni wananchi wa serikali zisizo proactive za Afrika. Biden aliposema Wamarekani wahame Ukraine maana vita ikianza itashindikana Marekani kuwakomboa hakuwa anatania. Serikali zote serious kina UK, Israel zilihamisha raia na kuwachukua. Waliobaki ni Ukrainians, Poland inawapokea bila visa kwa kuwa ni wakimbizi na imejipanga kuwapokea. Nyinyi Waafrika mnaenda kama kina nani? Wahindi serikali yao ilizubaa kuwachukua hadi sasa hivi inahangaika kuchukua kidogo kidogo, jana kuna wengine iliwapitisha Hungary badala ya Poland ambapo kuna msongamano.

Ukraine haipo responsible na watu wasio raia wake. Poland inapokea Ukrainians tu na at least EU member wana utaratibu wa migration, hata hapo unapoona weusi wanalialia kuna Asians kibao wamekwama.

Siku ukiwa nchi yoyote ukaona Israel, US na UK wamehamisha raia kaa chonjo. Mpaka leo kuna mitaifa yenye viongozi ovyo haijatoa namna ya kusafirisha watu wake, Poland iwapeleke wapi sasa. Wanafunzi wa East Africa leo ndio wamepewa utaratibu wa kuondoka baada ya raia kuruhusiwa kutoka kwenye bomb shelters. Wazungu hawafanyi vitu kiholela
Tanzania ndo intellijensia yetu imekufa.. tumeshindwa hTa kutumia intellijensia ya US kuwataka watanzania waondke Ukraine kabla ya vita.Kliko hivi sasa wanatoa matamko... Yasyo na maana
 
Oyoooo, mazungumzo ya amani kati ya Russia na Ukraine yamekwisha sasa pasi na matokeo chanya.

Team Putin tunaingia mzigoni kama kawaaaa.

Tayari tumewazingira Ukraine, hawana cha kufanya ni kuwachapa hadi twakata kichwa cha nyoka

Wale wakulialia huruma endeleeni kulialia tu

kuna mizigo mipya imeingia
 

Attachments

  • Alarming_video_from_the_western_part_of_the_Belarusian-Ukrainian_border._A_convoy_of_38th_Air_...mp4
    3 MB
  • This_is_what_they_are_doing_now_to_Kharkiv_-_a_city_that_they_totally_believed_was_part_of_the...mp4
    266.1 KB
,
Screenshot_20220228-190156_Twitter.jpg
 
Mimi nina mashaka sana na Russia kuhusu ukweli wa Silaha zake. Ninaona kama Fix hivi. Hii vita ikiendelea halafu NATO waingie unawezakuta hizo silaha alizoaminisha dunia huenda sio za kihiiiivyo. Hata nuclear unawezakuta zipo lakini low grade. Na akicheza hao NATO/USA wanaweza kum surprise wakazipiga hapohapo Russia.

Kuna uwezekano NATO wameshajua uwezo halisi wa RUSSIA na kugundua mbona ANAPIGIKA KIRAHISI TU.
Una mashaka?? Nenda SYRIA ndio utajua.
 
Back
Top Bottom