LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

 

Attachments

  • Melitopol_https___t.co_xtAngTrJKS.mp4
    499.1 KB
Oyoooo, mazungumzo ya amani kati ya Russia na Ukraine yamekwisha sasa pasi na matokeo chanya.

Team Putin tunaingia mzigoni kama kawaaaa.

Tayari tumewazingira Ukraine, hawana cha kufanya ni kuwachapa hadi twakata kichwa cha nyoka

Wale wakulialia huruma endeleeni kulialia tu

 
Aisee mnafurahisha
Kuna watu wanaweza kuuana hum kisa vita isiyowahusu
Hahaa warusi wa buza Mara wamarekani wa ....teh teh
 
Katumika vipi? nayeye nchi yake ndio imevamiwa! ulitaka wote wakimbie wamuachie ardhi mrusi?
 
Tanzania ndo intellijensia yetu imekufa.. tumeshindwa hTa kutumia intellijensia ya US kuwataka watanzania waondke Ukraine kabla ya vita.Kliko hivi sasa wanatoa matamko... Yasyo na maana
 
kuna mizigo mipya imeingia
 

Attachments

  • Alarming_video_from_the_western_part_of_the_Belarusian-Ukrainian_border._A_convoy_of_38th_Air_...mp4
    3 MB
  • This_is_what_they_are_doing_now_to_Kharkiv_-_a_city_that_they_totally_believed_was_part_of_the...mp4
    266.1 KB
Una mashaka?? Nenda SYRIA ndio utajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…