NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Mchango wa Iran kwa hali na mali ndio ulibadilisha mwelekeo wa vita vya Syria.Maslahi Gani Tena zaidi ya Ukraine?
Hivi unajua kilichofanyika Syria?
Unajua kua ilibaki miji miwili TU Assad aondolewe madarakani?
Allepo na mji Mkuu wa Syria?
Hapo waasi wa Syria walisaidiwa na USA,UK na France.
Unajua kilichotokea?
Nakuambia Sasa.
Huku waasi wakisaidiwa na USA ,UK na Fr walishashika mikoa yote ya Syria wakibakisha. allepo na Damascus TU.
Yakaanza kuja maneno yakisema "Assad must go", "Assad must go", "Assad must go"haya yalisemwa kutoka USA,UK na Fr.
Putin akasema Assad hatoki.
Putin akapeleka jeshi lake peke yake,akishirikiana na askari watiifu kwa Serikali ya Assad,wakaanza kukomboa mji mmoja baada ya mwingine. Hatimae wakafanikiwa kuwatikomeze waasi na USA ,UK na Fr.
Assad bado yupo bana.
Kichekesho🤣
Tukio la kukumbukwa USA kwa kutumia meli Yao walirusha makombora 59 ndani ya Syria sijui walilenga Nini ,lakini Cha ajabu zaidi ya nusu ya makombora hayo yalipotea na hayakujulikana yalipotelea wapi.
Lakini sisi wafuatiliaji wa mambo tunajua Urusi ana teknolojia ya kupoteza malengo ya makombora.
Kama sijakosea Makombora hayo ni "Tomahawk"
aliekuambia afghanistan USA ameshindwa ni nani tulichokuwa tunakitaka tulishakichukua tukaona kwanini tupate hasara na ku risk maisha ya wanajeshi wetuWalishashinda vita Gani mkuu hebu tuambie au Afghanistan [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kumbe unakubaliana na mimi kuwa bado direct Russia ajagusa maslahi ya USAKuguswa ni kuguswa tu iwe indirect au direct. Urusi ni hatari sana katika ST ya vita. Acha ubishi. Jifunzeni kutofautisha kati ya mnachotamani kitokee na uhalisia uliopo
Huwa najiuliza hawa maboya waliwezaje kuwatawala babu zetu!!!Kwamba n [emoji89] hao.... Napoleon ,hitler , wote hao walikua defeated
Hawana uspesho wwte kila zama na kitabu chake mwanzo wa mwisho wao ndio sasa.
Aliekuambia USA ameondoka Syria ni nani? USA bado yupo syria na Russia analijua ilo wamegawana territory hakuna anayeweza kumtoa USA sehemu yenye maslahi yake hayupo na atokuja kutokeaMaslahi Gani Tena zaidi ya Ukraine?
Hivi unajua kilichofanyika Syria?
Unajua kua ilibaki miji miwili TU Assad aondolewe madarakani?
Allepo na mji Mkuu wa Syria?
Hapo waasi wa Syria walisaidiwa na USA,UK na France.
Unajua kilichotokea?
Nakuambia Sasa.
Huku waasi wakisaidiwa na USA ,UK na Fr walishashika mikoa yote ya Syria wakibakisha. allepo na Damascus TU.
Yakaanza kuja maneno yakisema "Assad must go", "Assad must go", "Assad must go"haya yalisemwa kutoka USA,UK na Fr.
Putin akasema Assad hatoki.
Putin akapeleka jeshi lake peke yake,akishirikiana na askari watiifu kwa Serikali ya Assad,wakaanza kukomboa mji mmoja baada ya mwingine. Hatimae wakafanikiwa kuwatikomeze waasi na USA ,UK na Fr.
Assad bado yupo bana.
Kichekesho[emoji1787]
Tukio la kukumbukwa USA kwa kutumia meli Yao walirusha makombora 59 ndani ya Syria sijui walilenga Nini ,lakini Cha ajabu zaidi ya nusu ya makombora hayo yalipotea na hayakujulikana yalipotelea wapi.
Lakini sisi wafuatiliaji wa mambo tunajua Urusi ana teknolojia ya kupoteza malengo ya makombora.
Kama sijakosea Makombora hayo ni "Tomahawk"
hawa jamaa wana hasira na US, kisa alivyombokoa Saddam na GadaffiAliekuambia USA ameondoka Syria ni nani? USA bado yupo syria na Russia analijua ilo wamegawana territory hakuna anayeweza kumtoa USA sehemu yenye maslahi yake hayupo na atokuja kutokea