Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,085
Mnateseka nyie Warusi/Wamarekani/Waukraine wa Buza. Mimi Mkurya inanihusu nini? Nachukia tu uongo wako!!
Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.
Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....
Omusolopogasi na Glenn piteni hapa mteseke tena🤣🤣😂😂😇😇😇
View attachment 2239469