Mkuu, nachobishana na hawa warusi wa TZ ni kwamba wanafikiri Urusi yeye haitegemei dunia hasa watu wa Marekani na magharibi kufanya biashara, leo hii mrusi yupo hapo sababu ya gas na oil - Jiulize hiyo gasi alikuwa anamuuzia mchina na mkorea peke yake yake?
Mataifa makubwa duniani hata 10 tu yakijuinga kukudhibiti ni lazima utadhoofu - ni ujinga kusema Mrusi hatadhoofu ila mataifa ya magharibi ndiyo yatadhoofu sababu yananunua gas toka Urusi.
Putin ataondoka, yes ni suala la muda tu na wala si kwa NATO bali ataondolewa na warusi wenzake.
More than 2,000 arrested at anti-war protests in Russia
https://www.aljazeera.com/news/2022/2/27/more-than-2000-arrested-at-anti-war-protests-in-russia
Rights watchdog says more than 5,000 demonstrators detained across the country since Putin launched the Ukraine war.
View attachment 2239297