Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mnakosea kulinganisha misaada ya US, na uwezo wa russia kutoa misaada, russia hana uwezo huo maana kiuchumi kazidiwa mara 1000, angalau hata mchina tunaona amewekeza sana hasa sector ya miundombinu
Eeeeeeehh unajisikiliza kinachotoka kwenye medulla oblongata yako umezungumza maji na mafta taa
Uwekezaji/Misaada.
Ivi unakumbuka babu zako zama za mawe walisuvive vip?
 
Nawakumbusha tu Pro russia kuwa yale makombora yali hit target zote zilizopangwa na USA na story zilizoelezeka ni kuwa Assad na famili yake wote walihamishiwa kwenye base za Russia . narudia tena USA akihamua jambo lake hakuna binadamu anayeweza kulizuia
Hata mimi nakubaliana na wewe. Anaebisha atuambie mbona kaweza kuwafanya wote wanaomshabikia kuwa wapenzi wa mapenzi ya jinsia moja. Urusi anapinga lakini kashindwa kumzuia kuwageuza mashoga
 
Nasomaga huu uzi sijawahi kujibu lakini huyo mpuuzi amenifanya niandike hapa.. Bila aibu anashangilia vyoo, mtu wa ajabu kabisa huyu
Miaka kama 12 hivi iliyopita enzi hizo na mie nazinduka usingizini kuona tunavochezewa. Niliiingiwa na shauku sana ya kua mwana harakati kuamsha wengine waliolala ila kila ukiwatizama unaotaka kuwapigania sasa [emoji23]...

Ni aina ya watu wakiona ukijani wa mchicha wanasema hii rangi ya lumumba, wakiona jersey ya simba fikra zote ziko ufipa.

Tunajimilikisha rangi na kubaguana kwa mitazamo, wajuzi wapo wachache wapumbafu wako wengi, na wale wajuzi wachache wanatwist habari kua mlengo wa mihemko yao. Lini tutaja ungana kumpjga vita adui wa pa1?

Kwenye kizazi ambacho kinapigania kukuza vipaji mlengwa wa starehe, just Muziki na kula bata fedha zikiisha hakuna kulima twende tukabet [emoji23][emoji23][emoji23]...

Bado sana, bado mno labda vizazi kadha wa kadha huko mbele baada yetu. Ila kama sie ni bomu kiasi hiki hao wanaokuja ni zaidi ya Samart 2.
 
Another #Ukrainian group, this time the 2nd company of the 46th separate rifle battalion, complains about the lack of weapons - supplies, inadequate bosses, etc.

The guys went to #Zaparozhye, but in the end they ended up plugging the front near #Popasna.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Company ni platoon 3 ama 4 . Platoon ni section 4 ama 5
Section ni askari 9 mpk 14 inategemea muundo wa jeshi na mazingira.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa iyo tusubiri vitukuu vyetu vinaweza kututoa kimasomaso au ndio basiii
[emoji23][emoji23][emoji23] Huwa unazunguka mara kwa mara mtaani kuwaangalia hawa watoto zao la Covid kweli? Ha ha ha bora hawa wakina fuso hicho kizazi kijacho ni size ya bajaji ama bodaboda ukizidisha lazima upate ajali.

Dah unazungumzia kizazi cha Tiktok kuleta mabadiliko miaka ijayo? Wewe shangazi wewe [emoji849]... You can't be serious ase.
 
pro Russia kujitetea kwao wanakuambia china wametujengea Reli ya bure[emoji23][emoji23], ivi kuna watu wanyonyaji na cruel kama wachina ni afadhali ya west kuliko wachina, siku wachina watakapomilikishwa migodi yetu ata wachimbaji wadogo wadogo awatokuwepo wachina uwa awaachi kitu
 
Hakuna anayependa kutegemea misaada awa wachina unaowaona leo na uchumi wao ni zao la west, niwape history kidogo kipindi Russia alivyo invade Afghanistan mchina alikuwa upande wa west na aliwasaidia silaha mujaheedina ili wawapige Russia, mchina ajafika apo alipo from nowhere kama chafya alikubali kuwa upande wao ili na yeye asome na apate technlogy waliokuwa nayo west ndio kama mlivyowai kusikia wachina wakawa wanapewa scholarship sana na nchi za west pamoja na USA ndio akafika apo alipo
 
Putin sio Urusi baba,
Putin atakuja kufa lkn Urusi Itabaki palepale.
Kulikua na wababe Urusi Putin ni Cha mtoto.

Kilichopo Urusi ni kuwa hawataki upumbavu.

Kulikua Kuna Marais wa Urusi hawasemi mara mbili.
Kama wangekuwepo Leo hii Ukraine Ingekua Jimbo la Urusi.

Nakupa simulizi moja ndogo TU ya unyama wa hao Marais wa Urusi waliopita.


*Magaidi wa kiarabu waliwateka maafisa wa Ubalozi wa Urusi huko moja ya nchi za arabuni.
Magaidi wakaanza kutoa masharti na madai Yao yasikilizwe la sivyo watawaua mateka.

Majasusi wa KGB wakafanya ujasusi wao, wakawajua watekaji wote.
Baada ya kuwajua magaidi nao KGB wakaenda kuwakamata au kuwateka ndugu wa magaidi hao.
Kisha wakawaambia watekaji kuwa,ndugu zenu tunao hapa,tunataka muwaachie hao Russian mliowateka,msipo waachia tutawaua ndugu zenu.
Kumbuka katika hao ndugu wa magaidi kulikua Kuna baba,kaka wadogo na ndugu wengine.
Magaidi wakazikaza shingo zao,wakakataa kuwaacha mateka.
KGB wakaanza kazi,wakaua ndugu mmoja, magaidi walipojifanya jeuri KGB wakaua ndugu mwingine.
Magaidi wakao Ohooo! haya majamaa hayatanii haya,wakawaachia mateka wote bila kuua hata mmoja.
Chezea KGB wewe?.

Usipoelewa ntakupa kisa kingine jinsi Marais wa zamani wa Urusi walikua vichwa ngumu Putin Mtakatifu.

Mgogoro wa makombora ya Urusi nchini Cuba.
Wanajeshi wa Urusi waliokuwepo Cuba na zana za nyukilia walipewa Ruhusa kabisa na Serikali ya Urusi kuweza kuyatumia makombora hayo ya nyukilia kama wataona Kuna hatari yoyote dhidi Yao na kisiwa Cha Cuba,bila kusubiri amri kutoka Kwa wakubwa zao mjini Moscow nchini Urusi.
"Hii ni Hali ya hatari sana"

Marekani kwa kujaribu kupeleleza kuhusu silaha hizo za nyukilia za Urusi ilituma mara mbili kwa nyakati tofauti ndege za upelelezi kama sijakosea ni U2.
Amini nakuambia wanajeshi wa Urusi waliokua Cuba walizipiga ndege hizo na kupoteza marubani kabisa.
Hakuna kitu USA walifanya,waliishia kupiga kimya TU na baadae kuomba mazungumzo yafanyike juu ya mgogoro huo.

Mgogoro ulikua mkali sana,ilibaki kidogo tu new York na Washington zipigwe kwa makombora ya nyukilia.

Unajua matokeo yake?

Matokeo yake ni USA ilikubali kutoa silaha zake za nyukilia Uturuki ndio Urusi nae akatoa silaha zake za nyuklia cuba.

Akifa Putin Leo, watakuja Marais watata sana Urusi, Putin Mtakatifu.
Origachi mmoja wa kirusi aishie UK, aliiambia UK baada ya kushikilia mali zake kuwa "ni ujinga pekee kufikiri kuwa maorigachi wa kirusi wanaweza kuzuia mikakati ya serikali ya Russia anaefikiria hivo atakuwa haijui vizuri Russia na namna inavyoendeshwa"

Na ongeza na kauli ya Lavrov Juzi alisema "anaezani kuwa urusi inaweza ikashindwa katika uwanja wa mapambano Ukraine huyo atakuwa na elimu duni na haijui urusi nini na historia yake"

Kwakweli ukifuatilia historia ya viongozi wa Russia tangu ikiwa kwenye Soviet union mpaka leo, basi utaona Putin ndo mpole na mtakatifu kuliko watangulizi wake.

Tujaribu tu kujiuliza hivi Rais angekuwa Dmitry Medvedev halafu jenerali wa majeshi ni Ramzan Akhmadovich Kadyrov (The great Chechnya warrior) Ukraine ingekuwa bado ni nchi kweli?

PUTIN IS A LEADER AND FATHER FOR EX-SOVIET COUNTRIES AS WELL AS WHOLE WORLD.
 
Halafu mkoa gani huo watu wanajengewa choo? Wako OK vichwani ? Yawezekana msaada ni kuwapeleka Mirembe sio kujengewa vyoo. Wanashindwa kutumia majembe kuchimba shimo miti na udongo kupata choo.
Unless choo unachotaka ni cha maji ambacho hata ukiingia leo suburb za Washington District of Colombia ni bado issue hasa kwa wale waishio kwa kadi .
Hivyo misaada inapumbaza haina mwendelezo.
Halafu hizo scholarship ambazo ujazaji wa gender ni option zaidi ya 5 na [emoji304] ni added advantage hapana aisee.
wapo watu tanzania hii bado wanajisaidia porini na kampeni ya kuwajengea vyoo ili wasinye porini ipo
 
Kuna ukoloni mambo leo na sababu n sisi sisi kutokujikubali kama tunaweza tena mara million zaidi ila kuna karibia kukucha Russia anatuonyesha njia.
Kuivamia Ukraine ndio kuwaonyesha njia?
 
Back
Top Bottom