Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

hawa jamaa wana hasira na US, kisa alivyombokoa Saddam na Gadaffi

US atabakia kuwa US tu as long as bado unaishi hapa duniani ni lazima umpende - utake usitake. Kwanza angalia misaada yake kwa Africa kwa mwaka.

In Fiscal Year 2020, USAID and the U.S. Department of State provided $8.5 billion of assistance to 47 countries and 8 regional programs in sub-Saharan Africa.

Haya tafuta na Mrusi wako basi tuone !! 🙂🙂🙂

Ndomana mnaambiwa mgeuzwe nyuma na mnakubali lait mngekua mnajua masharti ya hio misaada usingeandika pumba hizo. Dogo nadhani huijui US vzr na agenda zake za NWO.

US=SATAN unajua hizo taasisi za US kazi zake hasa hapa Africa ni nini? shida yako wewe hutaki kujifunza unapenda ubishani. US utawala wake utaanguka na ushetani wake hakuna marefu yasiyo na ncha. Zilipita falme zenye nguvu hapa duniani na zilikuwa tishio sembuse US??
 
hatakama amna cha bure but uwezi ku deny misaada yao kwetu, kuhusu kuchukuliwa raslimali zetu dunia aijwai na autokuja kuwa fair kama unavyotaka wewe lazima utoe ndio upewe
Hivi nyieee ndio maana mnatukanwa alafu mnakasirika.
Yeye marekani alitoa kitu ganii na kwa nani ndio akawa hapo alipo????

Nchi yako imebarikiwa ila imelaaniwa kua na kiumbe kama wewe kisichojua utajiri wa ardhi ya mababu zake.
NB
Wewe apo unavyompaga demu /mke wako zawadi,pesa na huduma mbalimbali ni upendo tuuu au n kuhofia atadanganyika na wengine
Hicho ndio anachokifanya marekani
 
Huoni aibu?? Mchina alitusaidia bure reli ya TAZARA ambayo mpaka leo tunanufaika nayo, we unaongelea vyoo??

Hiyo misaada wanatoa lakini mkono wa pili wanatuibia pakubwa. Huko kwao wako homeless wasio na makazi na yako makazi yanashida ya clean water sasa jiulize kwanini wasimalize shida kwenye nchi zao waje wakusaidie wewe bure bure tu..
Mchina reli akutusaidia bure ebu rudisha kumbukumbu vizuri tulichomsaidia UN kwenye mgogoro na hongkong na Veto
 
#update 5/26/22
[emoji1255] #Soldiers of the Armed Forces of #Ukraine do not receive heavy weapons, food and medical supplies. There are no cars, evacuation is not possible. Command is silent on questions.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
As of today 26/5/22 na bado ngano yote tunapeleka West Ukraine hatuachi kitu

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Putin will be fixed, hana uwezo wa kuisumbua Dunia kwa vitisho vyake !! Mara ntakata gas supply, mara ntauza gas kwa Ruble tu, mara kitengo cha nuclear kaeni tayari , mara atakayemsaidia Ukraine ntamfanyia kitu hatakaa asahau milele.....

vitisho vya kitoto hivi, vita mwezi wa 3 sasa na bado mambo magumu.
Mambo magumu na wa ukraine wamekubali show kali
 
Putin sio Urusi baba,
Putin atakuja kufa lkn Urusi Itabaki palepale.
Kulikua na wababe Urusi Putin ni Cha mtoto.

Kilichopo Urusi ni kuwa hawataki upumbavu.

Kulikua Kuna Marais wa Urusi hawasemi mara mbili.
Kama wangekuwepo Leo hii Ukraine Ingekua Jimbo la Urusi.

Nakupa simulizi moja ndogo TU ya unyama wa hao Marais wa Urusi waliopita.

*Magaidi wa kiarabu waliwateka maafisa wa Ubalozi wa Urusi huko moja ya nchi za arabuni.
Magaidi wakaanza kutoa masharti na madai Yao yasikilizwe la sivyo watawaua mateka.

Majasusi wa KGB wakafanya ujasusi wao, wakawajua watekaji wote.
Baada ya kuwajua magaidi nao KGB wakaenda kuwakamata au kuwateka ndugu wa magaidi hao.
Kisha wakawaambia watekaji kuwa,ndugu zenu tunao hapa,tunataka muwaachie hao Russian mliowateka,msipo waachia tutawaua ndugu zenu.
Kumbuka katika hao ndugu wa magaidi kulikua Kuna baba,kaka wadogo na ndugu wengine.
Magaidi wakazikaza shingo zao,wakakataa kuwaacha mateka.
KGB wakaanza kazi,wakaua ndugu mmoja, magaidi walipojifanya jeuri KGB wakaua ndugu mwingine.
Magaidi wakao Ohooo! haya majamaa hayatanii haya,wakawaachia mateka wote bila kuua hata mmoja.
Chezea KGB wewe?.

Usipoelewa ntakupa kisa kingine jinsi Marais wa zamani wa Urusi walikua vichwa ngumu Putin Mtakatifu.

Mgogoro wa makombora ya Urusi nchini Cuba.
Wanajeshi wa Urusi waliokuwepo Cuba na zana za nyukilia walipewa Ruhusa kabisa na Serikali ya Urusi kuweza kuyatumia makombora hayo ya nyukilia kama wataona Kuna hatari yoyote dhidi Yao na kisiwa Cha Cuba,bila kusubiri amri kutoka Kwa wakubwa zao mjini Moscow nchini Urusi.
"Hii ni Hali ya hatari sana"

Marekani kwa kujaribu kupeleleza kuhusu silaha hizo za nyukilia za Urusi ilituma mara mbili kwa nyakati tofauti ndege za upelelezi kama sijakosea ni U2.
Amini nakuambia wanajeshi wa Urusi waliokua Cuba walizipiga ndege hizo na kupoteza marubani kabisa.
Hakuna kitu USA walifanya,waliishia kupiga kimya TU na baadae kuomba mazungumzo yafanyike juu ya mgogoro huo.

Mgogoro ulikua mkali sana,ilibaki kidogo tu new York na Washington zipigwe kwa makombora ya nyukilia.

Unajua matokeo yake?

Matokeo yake ni USA ilikubali kutoa silaha zake za nyukilia Uturuki ndio Urusi nae akatoa silaha zake za nyuklia cuba.

Akifa Putin Leo, watakuja Marais watata sana Urusi, Putin Mtakatifu.

Dah...umenikumbusha mbali Sana kwa andiko lako hili...congratulations...Hii JF Ina watu wanaojua mengi...thanks...
 
Mnakosea kulinganisha misaada ya US, na uwezo wa russia kutoa misaada, russia hana uwezo huo maana kiuchumi kazidiwa mara 1000, angalau hata mchina tunaona amewekeza sana hasa sector ya miundombinu
 
Hakika nakusihi kubali kuwa kunatofauti kati ya unachotamani kitokee na uhalisia.

Unaujua mchango wa Russia katika ukombozi wa Bara la Afrika? Tena kutoka kwa baazi ya wana-NATO wa leo.
Ukombozi wa nnchi gani? Taja moja
 
Ameshika mpini

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Jeshi la Ukraine limevurugwa . Russia amepiga makombora mengi kwenye strategic points kama maghala ya silaha, mawasiliano, command pts, radar. Miundo mbinu ya usafiri, kambi za jeshi za muda na za kudumu, akiba za mafuta , majengo ya utawala nk amefanya more than two weeks wajinga wakasema huwezi shinda vita kwa makombora ya mbali.

Sasa pamelainika anapiga kwa karibu akijua jamaa tayari hawawezi kupata sapoti . Askari waliojifanya kusogea front aliwaacha tu wasonge mbele blindly . Sasa anawazingira 50000 huko Donbass . Sasa hivi zelensky atajipiga shaba

Uko donbass sehemu gani?
 
Ukombozi wa nnchi gani? Taja moja
Unasikitika kwa nini tulipata hata huo uhuru. Kwa sasa tungekuwa kama New York.
Unajua why Abraham Lincolin was assassinated? Then hao majamaa unadhani leo hawapo ambao wangependa wakugeuza monkey wachukue chako na kukupa ndizi.
Kitu tunachofurahia kwenye misaada? is like utunzaji wa wanyama porini kwa kuwa wanatuingizia pesa.
 
Back
Top Bottom