rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Putin aliongea kwenye mkutano wa wakuu wa nchi un kuwa usa anaharibu amani ya dunia na nchi pekee inayoweza kuisimamisha ni russia.Mchango wa Iran kijeshi kwa Syria huwezi kuulinganisha na mchango wa Urusi kwa Syria.kama unabisha haya .
Lakini Urusi ndio iliyo wafukuza USA,France na UK.
Sio Iran.
Kama Ingekua Iran bila Urusi Leo hii Assad angekua mkimbizi au marehemu.
Baada ya hiyo kauli russia alishambulia syria kwa meli huku makombora yakipita nchi tatu na kupiga target bila kukosea