ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,261
Wewe ndo uwe na akili maana hutumii ubongo wako kuufikirisha vizuri!!Kuwa hata na akili kidogo Mkuu yaku reason vitu,hivi vitu vinaonekana Viko juu ya ewezo wako Wa ufahamu
Wewe ndo uwe na akili maana hutumii ubongo wako kuufikirisha vizuri!!Kuwa hata na akili kidogo Mkuu yaku reason vitu,hivi vitu vinaonekana Viko juu ya ewezo wako Wa ufahamu
putin kuondoshwa madarakani ni suhala la muda tu never underestimate the power of NATO
Mkuu, nachobishana na hawa warusi wa TZ ni kwamba wanafikiri Urusi yeye haitegemei dunia hasa watu wa Marekani na magharibi kufanya biashara, leo hii mrusi yupo hapo sababu ya gas na oil - Jiulize hiyo gasi alikuwa anamuuzia mchina na mkorea peke yake yake?putin kuondoshwa madarakani ni suhala la muda tu never underestimate the power of NATO
Anaingia Medved mtata mara miaputin kuondoshwa madarakani ni suhala la muda tu never underestimate the power of NATO
Nimekuuliza swali wewe ni mkenya wa Nakuru au Turkana!?Mkuu, nachobishana na hawa warusi wa TZ ni kwamba wanafikiri Urusi yeye haitegemei dunia hasa watu wa Marekani na magharibi kufanya biashara, leo hii mrusi yupo hapo sababu ya gas na oil - Jiulize hiyo gasi alikuwa anamuuzia mchina na mkorea peke yake yake?
Mataifa makubwa duniani hata 10 tu yakijuinga kukudhibiti ni lazima utadhoofu - ni ujinga kusema Mrusi hatadhoofu ila mataifa ya magharibi ndiyo yatadhoofu sababu yananunua gas toka Urusi.
Putin ataondoka, yes ni suala la muda tu na wala si kwa NATO bali ataondolewa na warusi wenzake.
More than 2,000 arrested at anti-war protests in Russia
More than 2,000 arrested at anti-war protests in Russia
Rights watchdog says more than 5,000 demonstrators detained across the country since Putin launched the Ukraine war.
View attachment 2239297
mimi ni mrusi tena kwa YekaterinburgNimekuuliza swali wewe ni mkenya wa Nakuru au Turkana!?
"Russian president speaks to officers in Moscow hospital..."Kinachowaumiza KICHWA westerns,
Ni suala la Putin kutembelea ukraine kimya kimya.
Kisha baadae ya kufika kule,
Hajahamaki Wala Hajaongelea chochote. Kile kuhusu Vita inayoendelea Ukraine.
Zaidi zaidi aliwauliza wanajeshi waliojeruhiwa kuhusu majeraha Yao na wake zao na Mambo mengine ya familia zao. Pamoja na ucheshi wa Hapa na pale
Yaan Ni kana kwamba putin amekwenda kwenye matembezi ya kawaida uko Ukraine.View attachment 2239028
Jibu swali nililokuuliza, usijifiche kwenye kichaka cha mche wa karanga.mimi ni mrusi tena kwa Yekaterinburg
Warusi wa tandahimba na fake news zao"Russian president speaks to officers in Moscow hospital..."
Moscow ipo Ukraine Pro Russia mwenzangu!!?
au siyoputin kuondoshwa madarakani ni suhala la muda tu never underestimate the power of NATO
Yaguswe mara ngapi😂😂😂😂😂kwisha habari yao ni zamu ya Russia,china etc kula mema ya dunia.Wanachoshindwa kuelewa awa pro Russia ni kuwa USA mpaka kuwa superpower dunian ajafika kwa bahati mbaya ayo machuma Russia anayowatishia west USA anayo tena zaidi ya ayo anasubiria siku Russia atakapogusa masilahi yake direct ndio mtajua USA ndio nani
Na bado joti anazunguka kuomba misaada akifika huku kuna manati za kutungulia jet za RUSSIA tumemuandalia.😂😂😂😂View attachment 2239316
The Ukrainian military recorded a video in which they show weapons from the First World War and the Great Patriotic War and ask for a legal assessment of the orders of their command.
"This is a weapon from the times of the First World War and the Second World War, with which we had to fight against helicopters and artillery, which, the farther, the more caliber leveled our trenches with the ground"
According to them, when helicopters, planes and Grads began to attack the positions, the company commander decided to retreat.
"If we had remained in our positions, absolutely no one would have survived. Now our command wants to make deserters out of us. We ask our higher leadership to make a decision and give a legal assessment to our command"
ndio mda huu sasa amalize kazi si mmesema Russia kaingia kwenye 18 tayari wanasubiri nini sasa au hadi zifike 20 iwe kaingia kwenye 20 . Sababu ya kupita na adui si imepatikana mbona wakisikia nchi fulani inatengeneza nuke ni fasta fasta washafika wafanye hivyo na huko, sio ooh tunasubiri ashike sijui wapi mara atege kichwa. Kama wao vidume waende direct sio kutuzugaWanachoshindwa kuelewa awa pro Russia ni kuwa USA mpaka kuwa superpower dunian ajafika kwa bahati mbaya ayo machuma Russia anayowatishia west USA anayo tena zaidi ya ayo anasubiria siku Russia atakapogusa masilahi yake direct ndio mtajua USA ndio nani
yajayo yanafuraisha uko mbele usifanye mchezo na NATO wakiamua jambo lao ..pro russia bakisheni akiba ya maneno ili baadae msibaki midomo waziYaguswe mara ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwisha habari yao ni zamu ya Russia,china etc kula mema ya dunia.