Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
⚔️⚔️⚔️Russian mobile operators have started working in Kherson region — head of administration Volodymyr Saldo⚔️⚔️⚔️
Itabidi asikilize wanazotaka Russia zitolewe na sio apange yeye, kwana anayeweweseka nani..!Hapa sanction ambayo marekani ataitoa ni ile ya mifumo ya malipo. Maana inamtoa kwenye ramani ya petrodolar.
Wizi unyanganyi ujangili kwa kifupi kila aina ya njia mbovu ipo pale.US anaendesha uchumi kwa wizi
😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣Naona urusi katoka kwenye stage ya ubabe na Sasa kashahamia kwenye utabe utabe ni ile hali unapiga mke wa jirani mmewake akija unamtuma Kwanza akakuwashie sigara
Wale jamaa yaani USA wapo kiujanjaujanja TU.Wizi unyanganyi ujangili kwa kifupi kila aina ya njia mbovu ipo pale.
Intelligence zote za NATO, zinazochungulia Kremlin kila sekunde wameshindwa kuotea safari ya Putin nchini hapo (Ukraine) ila wanatushawishi kua wanaijua afya ya kiongozi huyo kiundani.Aisee Raisi vladmir Putin Yuko Ukraine MDA huu[emoji4]
Juzi intelligence za UK na USA walisema Ni mgonjwa Yuko mahututi[emoji28]
Singa singa utakimbizwa na Semitrailer, FUSO imepata ajali pancha kila wakati [emoji23]Ila tuache uongo hii vita Russia anashinda
labda nato waingie front kabisa ila kwa kuishia kutoa misaada tu sioni Ukraine akitoboa
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
I love my wife anajua kupika, I admire Russia vile venye anawaadabisha wababe uchwara mabeberu wa NATO!Hurraaaah mother Russia....
We are united to the core...
How I love Russia...
Kuwa hata na akili kidogo Mkuu yaku reason vitu,hivi vitu vinaonekana Viko juu ya ewezo wako Wa ufahamukwa hiyo unataka kutuambia itachukua miaka mingapi chief? Maana tunashangaa si mlisema mna makombora yanaweza kutandika hadi km 6,000 yaani urefu Dar - Mwanza mara 5; sasa kwa nini msitume moja tu likatandika ikulu ya Zelensky ili yaishe tushike na mengine ?
vita vinapigana sehemu ya wazi, mchana inaonekana, Mrusi kaminywaa mwezi wa 3 sasa Ukraine kaminyaa dadadeqKuwa hata na akili kidogo Mkuu yaku reason vitu,hivi vitu vinaonekana Viko juu ya ewezo wako Wa ufahamu
Mkuu, warusi wa Tanzania watakubishia, kwamba Ujerumani na Ulaya hawawezi kuishi bila gasi ya Urusi. kwamba Mrusi anasubiri wakati wa baridi kali ili wakate mabomba ya gesi watu wa magharibi wapukutike kwa baridi - haya ni mawazo mgando kabisa tena ya karne ya 14.Scholz: We will make Germany independent of energy imports from Russia. We have already abandoned Russian coal. By the end of the year we will give up Russian oil. As for gas, we are also working to become independent.
Unadhani kifaru kinatembea km ngapi kwa saavita vinapigana sehemu ya wazi, mchana inaonekana, Mrusi kaminywaa mwezi wa 3 sasa Ukraine kaminyaa dadadeq
Wewe ni mkenya wa Nakuru au Turkana!?Mkuu, warusi wa Tanzania watakubishia, kwamba Ujerumani na Ulaya hawawezi kuishi bila gasi ya Urusi. kwamba Mrusi anasubiri wakati wa baridi kali ili wakate mabomba ya gesi watu wa magharibi wapukutike kwa baridi - haya ni mawazo mgando kabisa tena ya karne ya 14.